ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
mpyayungu village njoo uone ndugu zako huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ningemng'oa kichwa alafu ningechemsha supu hapo hapo shuleni kumbaf sana.Ningekuwa mzazi wa huyo mtoto ningeenda shule nimkamate mwalimu nimchape kama anavyomchapa huyo mtoto, tena ningemchapa mbele ya walimu wenzake. Ningemchapa mpaka ajikojolee.
Kampeni fichua maovu makaziniPongezi kwa mwalimu aliechukizwa na tendo hili na kuamua kulirekodi na kulirusha jamii ione
Mimi huyu mwalimu kitu ambacho ningemfanya asingesahau maisha yake yote. Labda kama wangemhamisha nchi.Wazazi wanatakiwa walipe visasi kwa walimu au watu wanaowafanyia unyanyasaji watoto wao.
Iruhusiwe kisheria.
Ni kosa gani anafanya mtoto aadhibiwe hivi kama mnyama? 😡Dorothy Gwajima wizara imekushinda
Dah kipindi nipo primary miaka ya 2000s niliwahi kupigwa stick na mwalimu mmoja hivi bonge yani alifanya kukusanya mzigo wa fimbo na kiti akakaa kabisa akaanza kushusha dose stick kama zaidi ya 50 kisa sikufika shule siku mbili nilikuwa natoka home fresh naishia mtaa kwenye mishe za games n.k.shule za mikoani zina viboko wale waliosoma miaka ya nyuma kabla internet kuingia mtakuwa mnajua
Watoto wanapigwa mpaka kufa mkuuInaitwa shule ya msingi Mbokoo aka stiki
Sijawahi ona mwanafunzi ama mtoto akichapwa unyayoniii
Naye kaenda na maji.Pongezi kwa mwalimu aliechukizwa na tendo hili na kuamua kulirekodi na kulirusha jamii ione
Mkuu huo udhalilishaji uliopitiliza ni tukio la lini hilo?Kuna hili la Mara nalo si la kunyamaziaView attachment 2496177
Zamani nlikuwa mtukutu sana mkuuSangu nimepiga Advance kule Soweto nilipaona pana dogo mmoja mtukutu Kambasonic wa mtaani alikua anapaongelea sana hapo na wakija Club Mount Livingstone akipiga mkwara Tura yeyote anamwambia atamvizia Soweto...Sangu ilikua na watu sana nimepita pale enzi za Mwalimu Bukuku Mtaalamu wa Uchumi..baada ya Mwalimu Mwakyulu Marehemu...RIP
Kupiga siyo kufundisha kuna kiwango fulani ukipiga mtoto ni kama una muabuse,mtoto ni kumfundisha kwa vitendo hata adhabu ukimpa unampa zile za kumjenga,huku una mnamuonesha upendoNinalea mtoto mtukutu mno wa ndugu yangu, mama yake ametoweka mwaka karibu wa nne hatujui alipo. Pamoja na utukutu wa mtoto sijawahi hata kufikiria kumpa adhabu ya kikatili namna hiyo. Huwa sielewi watu wanaofanya ukatili kwa watoto wanafikiria nini vichwani mwao
MHESHIMIWA WAZIRI NA MKUU WA MKOA WA KAGERA, HUKUMU MTAKAYOTOA IWAHUSU NA HAO WALIOKUWA WANAKENUA MENO NA KUCHEKA HAPO PEMBENI.