Yanayojiri kwenye siku ya kuzaliwa kwa Diamond Platnumz

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Msanii Diamond Platnumz ambaye anasheherekea siku ya kuzaliwa kwake Uko kwao Tandale.Mambo yamekuwa si mambo Wageni walikwa mbalimbali wamealikwa ikiwemo
Haji manara
Vanesa Mdee
Reginald Mengi
Eric Shigongo
Ghalib Said Mohamed
Nancy Sumary
Le Mutuz you know
Na wengineo wengi makampuni binafsi pamoja na Serikali wamehudhuria Sherehe hiyo. Na ambapo Baadhi ya vitu ambavyo amehaidi Daimondd Platnumz vimeanza kufanyiwa kazi ikiwemo pikipiki na vinginevyo.
Kwa wale waliopo karibu na WasafiMedia watashuhudia live. Kuanzia sasa 3:10 Masaa ya Afirka Mashariki.
 
Ina maana hawa watu wote hawajui chochote kuhusu kingsMusic leo....
 
Mambo yanaendelea we kaa karbu na wasafitv kuona matukio yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…