Yanayojiri kwenye siku ya kuzaliwa kwa Diamond Platnumz

Yanayojiri kwenye siku ya kuzaliwa kwa Diamond Platnumz

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Msanii Diamond Platnumz ambaye anasheherekea siku ya kuzaliwa kwake Uko kwao Tandale.Mambo yamekuwa si mambo Wageni walikwa mbalimbali wamealikwa ikiwemo
Haji manara
Vanesa Mdee
Reginald Mengi
Eric Shigongo
Ghalib Said Mohamed
Nancy Sumary
Le Mutuz you know
Na wengineo wengi makampuni binafsi pamoja na Serikali wamehudhuria Sherehe hiyo. Na ambapo Baadhi ya vitu ambavyo amehaidi Daimondd Platnumz vimeanza kufanyiwa kazi ikiwemo pikipiki na vinginevyo.
Kwa wale waliopo karibu na WasafiMedia watashuhudia live. Kuanzia sasa 3:10 Masaa ya Afirka Mashariki.
42745562_549953412101893_5379222300242078835_n.jpg
42080556_415200439010893_5804753079046051715_n.jpg
42578632_317127362411105_6938033230177498254_n.jpg
42002907_2187462958201725_6725061570614831046_n.jpg
41801080_269447710352168_2558925019677340673_n.jpg
 
Msanii Diamond Platnumz ambaye anasheherekea siku ya kuzaliwa kwake Uko kwao Tandale.Mambo yamekuwa si mambo Wageni walikwa mbalimbali wamealikwa ikiwemo
Haji manara
Vanesa Mdee
Reginald Mengi
Eric Shigongo
Ghalib Said Mohamed
Nancy Sumary
Le Mutuz you know
Na wengineo wengi makampuni binafsi pamoja na Serikali wamehudhuria Sherehe hiyo. Na ambapo Baadhi ya vitu ambavyo amehaidi Daimondd Platnumz vimeanza kufanyiwa kazi ikiwemo pikipiki na vinginevyo.
Kwa wale waliopo karibu na WasafiMedia watashuhudia live. Kuanzia sasa 3:10 Masaa ya Afirka Mashariki. View attachment 887440View attachment 887441View attachment 887442View attachment 887443View attachment 887444
Ina maana hawa watu wote hawajui chochote kuhusu kingsMusic leo....
 
Back
Top Bottom