Yanayojiri kwenye siku ya kuzaliwa kwa Diamond Platnumz

Wacha kijana aendelee kufanikiwa kajitoa sana
[emoji15] uzi una viewer 863 reply 21
Hata ongera ya kinafki inatosh kijana kajitahid sana
 
This we Call............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni kweli makonda kasema bar hadi saa nane usiku?!
 
Ju kivipi.??? Kwa sababu kaowa mombasa nakupenda vile vitu vya kimombasa?? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata afurukute vipi, bado King KIBAKULI atabaki kuwa juu tu!
 
Hongera Sana kijana wa Tandale
 
This is how we do..... Mbangala inafuata
 
hayo masaa ni yapi maana wabongo huwa hatujui kutamka masaa ni saa 3 ya saa 09:00PM au ni saa 03:00 Pm?
 
Kuna watu huwezi kuwaona humu,sasa ndo ingekua uzi wa Diamond kamtukana Mobeto/Zari ungewaona na shingo zao kama nguchiro "Huyu anawazalilisha sana wanawake"
kila binadamu ana mapungufu yake,but anapofanya vizuri mpeni hata pongezi za kinafiki tu inatosha sio mnasubiri hadi akosee ndo muanze kuponda kunguni nyie!!
 
Basha wake GSM ndio katoa misaada kupitia domo..ndio maana waligombana na Dimpoz mpaka kuwekewa sumu....maana wote wanaukaribu na Huyo firauni
 
Basha wake GSM ndio katoa misaada kupitia domo..ndio maana waligombana na Dimpoz mpaka kuwekewa sumu....maana wote wanaukaribu na Huyo firauni
Hatar sana,kwa hiyo unamaanisha kuwa kuna mtu anapumuliwa?
 
[emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…