atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,786
- 3,522
Me tooMond katisha sana aisee...yule mama aliyepewa bajaji kanihuzunisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me tooMond katisha sana aisee...yule mama aliyepewa bajaji kanihuzunisha sana.
....wise comedian.... Sina Shaka kabisa na jina lakoHata afurukute vipi, bado King KIBAKULI atabaki kuwa juu tu!
MI NIKO KATIKA UZINDUZI WA KINGMUSIC HAPA
inaruka live kupitia kiba tv.Ila imedorora kweli
Hata afurukute vipi, bado King KIBAKULI atabaki kuwa juu tu!
Kuna watu huwezi kuwaona humu,sasa ndo ingekua uzi wa Diamond kamtukana Mobeto/Zari ungewaona na shingo zao kama nguchiro "Huyu anawazalilisha sana wanawake"Msanii Diamond Platnumz ambaye anasheherekea siku ya kuzaliwa kwake Uko kwao Tandale.Mambo yamekuwa si mambo Wageni walikwa mbalimbali wamealikwa ikiwemo
Haji manara
Vanesa Mdee
Reginald Mengi
Eric Shigongo
Ghalib Said Mohamed
Nancy Sumary
Le Mutuz you know
Na wengineo wengi makampuni binafsi pamoja na Serikali wamehudhuria Sherehe hiyo. Na ambapo Baadhi ya vitu ambavyo amehaidi Daimondd Platnumz vimeanza kufanyiwa kazi ikiwemo pikipiki na vinginevyo.
Kwa wale waliopo karibu na WasafiMedia watashuhudia live. Kuanzia sasa 3:10 Masaa ya Afirka Mashariki. View attachment 887440View attachment 887441View attachment 887442View attachment 887443View attachment 887444
Hatar sana,kwa hiyo unamaanisha kuwa kuna mtu anapumuliwa?Basha wake GSM ndio katoa misaada kupitia domo..ndio maana waligombana na Dimpoz mpaka kuwekewa sumu....maana wote wanaukaribu na Huyo firauni
Kuna watu huwezi kuwaona humu,sasa ndo ingekua uzi wa Diamond kamtukana Mobeto/Zari ungewaona na shingo zao kama nguchiro "Huyu anawazalilisha sana wanawake"
kila binadamu ana mapungufu yake,but anapofanya vizuri mpeni hata pongezi za kinafiki tu inatosha sio mnasubiri hadi akosee ndo muanze kuponda kunguni nyie!!