Yanayojiri kwenye siku ya kuzaliwa kwa Diamond Platnumz

@lukambaofficial hilo gari ulilopewa and baba dula makabila tutakweaga wote ole uninyime lift.
 
Msanii Nyota wa Bongofleva Naseeb Abdul a.k.a Iiamond Platnumz akimsikiliza mmoja wa akina Mama ambaye ni mlemavu Evodia Nchimbi mkazi wa Mburahati alipokuwa akimshukuru huku akitoa machozi na kutoamini kwa kile kilichotokea.

Mama huyu alipewa zawadi ya Bajaji ili aweze kujikimu kimaisha na kuisaidia familia yake. Mama huyo mkazi wa Tandale amemshukuru Diamond kwa kumpa zawadi hiyo kwani hakutegemea na kwamba agalau sasa ataweza kuwa na ahuweni ya maisha.

Hongera sana Diamond Platnumz umefanya jambo kubwa katika jamii yako na Mungu atakuongezea pale palipo pungua.
 
Hiyo hereni sasa ndo imeharibu context ya bandiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…