Hivi wana CCM huwa mnamdanganya nani? hebu waacheni watoto wetu wasome, kitendo cha kufunga shule zote za secondary na zile za primary - watoto na wafanyakazi wote wa umma ati waje kujaza uwanja ni mambo ya kitoto.
Jibu la haya yote linakuja....! msimdanganye mgombea wenu, mwambieni ukweli kwamba amewakosea watanzania kabisa - kawawekea utamaduni si wa kwao kwa hivyo wanakwenda kumwadhibu hiyo kesho kutwa.