[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 717871
Kwa niaba ya wanaJf naomba kuwasilisha zawadi yangu ambayo ni Bima ya afya kwa mtoto wa wanandoa walomzaa kabla ya kufunga ndoa.
Nakuletea zawad mkuu mida yetu ile ya kaz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji818][emoji818][emoji818]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hahahaha.tunayoooooo
HahahaDaah nikajua wamekuita tuingilie kadi yako bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamuwez kuingia kilingen kama hauna tunguliDaah nikajua wamekuita tuingilie kadi yako bhana
Hongeraaaaa! Demie[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Jaman tumuwekee mtoto ulinzi asiwe anaonekana[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kwa uchoyo huo mmbea mwenzangu!![emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
HahahahHahaha
Mie sio mwanga bwana, labda ndo maana!! Tusubirie picha tuu
Pamoja sana mkuu nasubir zawad yakooNakuletea zawad mkuu mida yetu ile ya kaz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wanaingia wakiwa wamevaa makaniki dada utawezaaHahaha
Mie sio mwanga bwana, labda ndo maana!! Tusubirie picha tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamuwez kuingia kilingen kama hauna tunguli
Unaweza pita kilinge na usikionee kabisaa kama siyo mshirikaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo ungo hayooo! Kama huna ni basi tenaa!
Inabidi nimtafute mzizimkavu anipe ulozi aisee...Hahahah
Kutojua Mambo ya ulozi kumekukosesha harusi [emoji23]
Ukipata picha nistue.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wanaingia wakiwa wamevaa makaniki dada utawezaa
Kama huna macho ya pakaaa huwez kutuonaaaInabidi nimtafute mzizimkavu anipe ulozi aisee...
Picha ntakutumia nikizinyaka
Tunguli zinazopumua unazooooHahaha
Nitachungulia kwa mbaaali