uoga wa?acha woga wewe
Tiyari mkuu usilale njaaMshahara!?
uoga wa?
hivi kumbe kuna watu wanapata mshahara before 25th
Tarehe 23 unaingia.yeah serikalini
dadekii af tunarud speed kwa mangi kwenye daftari lake.Tarehe 23 unaingia.
Ikifika 30, tumeshakufa
Hapana.dadekii af tunarud speed kwa mangi kwenye daftari lake.
ahaa senti zipo ila tatzo hzo zinazopatikana huko sa hv unawekeza kwenye kingne wateja wenyewe siku hzi hakuna.Hapana.
Ina maana huna mradi hata wa kukuingizia hata senti per day?
Ila jamani kuna bar zingine kila siku zinawaka.
Hivi pale kwa Peter Moo, East 24,mbona sioni watu wakipungua hata 'tarehe mbaya'?
Wanakunywa nyumba (kila bia 1 tofari 2) na kuendelea kuwa wapangaji!Halafu hao jamaa siku wakisitishiwa ajira waanze kulalamika hali mby wkt pesa waliwekeza kwenye pombe na anasa
Basi huu ukitoka nitafute jamaniahaa senti zipo ila tatzo hzo zinazopatikana huko sa hv unawekeza kwenye kingne wateja wenyewe siku hzi hakuna.
tatzo hzo bar zinapokea wengi wasio subir mwisho wa mwez na kama wa mwisho wa mwezi ujue anapokea parefu mama
Sasa kiongozi naona umepoteza mwelekeo kwa sababu badala ya kujikita kwenye mambo ya msingi unahangaika na mambo ya watu. Na kwa aina ya watu kama wewe uwezo Wa kufikiri bado mdogoo, uswahili mwingi.Katika hali isiyo ya kawaida, baada ya Sinza kupoa kwa muda mrefu kidogo sasa jioni hii katika hali ya kuashiria mishahara imeshatoka.
Nilichojifunza, sasa Hivi asilimia kubwa ya watumishi wameegemea kwenye mishahara.
Cha pili, usumbufu Huu ni wa wiki hii tu, kuanzia wiki ijayo Amani inarudi.
Namba inasomeka.
VP umeshamaliza frutooo?Katika hali isiyo ya kawaida, baada ya Sinza kupoa kwa muda mrefu kidogo sasa jioni hii katika hali ya kuashiria mishahara imeshatoka.
Nilichojifunza, sasa Hivi asilimia kubwa ya watumishi wameegemea kwenye mishahara.
Cha pili, usumbufu Huu ni wa wiki hii tu, kuanzia wiki ijayo Amani inarudi.
Namba inasomeka.
..we usiekunywa una nyumba ngapi??Wanakunywa nyumba (kila bia 1 tofari 2) na kuendelea kuwa wapangaji!
Kupanga ni kuchagua..we usiekunywa una nyumba ngapi??