Yanayojiri Sinza baada ya mishahara kutoka

Vp serekari haijawaongeze chengi zenu watumishi muendelee kuchapakazi vzr?
 
December....january.....february ..had march....hii miezi huwa haijakeketwa yan inakamua mfukovwa raia miaka nenda miaka rudi....na dawa yake haijapatikana.
Nn dawa ya kupambana na kukatika kwa hela hiyo miezi??
 
dadekii af tunarud speed kwa mangi kwenye daftari lake.
Hapana.
Ina maana huna mradi hata wa kukuingizia hata senti per day?
Ila jamani kuna bar zingine kila siku zinawaka.
Hivi pale kwa Peter Moo, East 24,mbona sioni watu wakipungua hata 'tarehe mbaya'?
 
Kufa kufaaana ...........wacha watumbue leo na kesho ss wauza soseji tunaneemeka sasaa.
 
Hapana.
Ina maana huna mradi hata wa kukuingizia hata senti per day?
Ila jamani kuna bar zingine kila siku zinawaka.
Hivi pale kwa Peter Moo, East 24,mbona sioni watu wakipungua hata 'tarehe mbaya'?
ahaa senti zipo ila tatzo hzo zinazopatikana huko sa hv unawekeza kwenye kingne wateja wenyewe siku hzi hakuna.
tatzo hzo bar zinapokea wengi wasio subir mwisho wa mwez na kama wa mwisho wa mwezi ujue anapokea parefu mama
 
Halafu hao jamaa siku wakisitishiwa ajira waanze kulalamika hali mby wkt pesa waliwekeza kwenye pombe na anasa
Wanakunywa nyumba (kila bia 1 tofari 2) na kuendelea kuwa wapangaji!
 
ahaa senti zipo ila tatzo hzo zinazopatikana huko sa hv unawekeza kwenye kingne wateja wenyewe siku hzi hakuna.
tatzo hzo bar zinapokea wengi wasio subir mwisho wa mwez na kama wa mwisho wa mwezi ujue anapokea parefu mama
Basi huu ukitoka nitafute jamani
 
Katika hali isiyo ya kawaida, baada ya Sinza kupoa kwa muda mrefu kidogo sasa jioni hii katika hali ya kuashiria mishahara imeshatoka.

Nilichojifunza, sasa Hivi asilimia kubwa ya watumishi wameegemea kwenye mishahara.

Cha pili, usumbufu Huu ni wa wiki hii tu, kuanzia wiki ijayo Amani inarudi.

Namba inasomeka.
Sasa kiongozi naona umepoteza mwelekeo kwa sababu badala ya kujikita kwenye mambo ya msingi unahangaika na mambo ya watu. Na kwa aina ya watu kama wewe uwezo Wa kufikiri bado mdogoo, uswahili mwingi.
 
Katika hali isiyo ya kawaida, baada ya Sinza kupoa kwa muda mrefu kidogo sasa jioni hii katika hali ya kuashiria mishahara imeshatoka.

Nilichojifunza, sasa Hivi asilimia kubwa ya watumishi wameegemea kwenye mishahara.

Cha pili, usumbufu Huu ni wa wiki hii tu, kuanzia wiki ijayo Amani inarudi.

Namba inasomeka.
VP umeshamaliza frutooo?
 
Back
Top Bottom