Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Kimtandao kura lissu ana mburuza mbowe!
Ila ngoja tusubirie mambo ya kwenye box

Ova
 
Kama vipi tutafute sehemu tuzichape tu tujue moja
zitachapwa kavu kavu ukumbini gentleman, kutafuta sehemu nyingine ni kuanza kutishika mapema,

tutafika hiyo sehemu utataanza kutoa masharti tena mara tuvue mashati, mara hakuna kurusha mateke, mara hakuna ngumi ya pua, yaani malalamiko kama ya lema tu mara wajumbe wamenyimwa vitambulisho, mara wajumbe wamekataliwa kuingia ukumbini n.k. kumbe kawafungia gest huko tandika na buza πŸ’
 
Atakae shindwa asihame chama. Uchaguzi ni huru na haki, CHADEMA wamejitahidi sana kuandaa huu uchaguzi kwa haki. Kila la kheri Chadema.
Vipi kuhusu wale wajumbe waliokuwa hawajapewa vitambulisho vyao, wamepewa?
 
Aise ngoja tusubirieeee
Maana kura za mtandaoni lissu
Anamkimbiza mbowe
Ngoja tuone huko kwenye box πŸ˜„

Ova
tangu mchakato kuanza iko hivyo gentleman but hiyo ni tofauti kabisa na matokeo ya wajumbe kwenye ukumbi wa uchaguzi pale mlimani City jijini Dar es salaam πŸ’
 
Nafatilia mubashara matangazo ya mkutano mkuu wa CHADEMA kupitia UTV, kiukweli hali ni ngumu sana kwa Mbowe! Kila mjumbe anayehojiwa anazungumzia mabadiliko na namna alivyojipanga kumpa kura yake Lissu. Kweli mchezaji bora ni yule anayejua wakati sahihi wa kushuka jukwaani.
Ikitokea Mbowe akashinda basi ajipange kuongoza chama mfu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…