Nice nyingi kwakuwa hazijawa compressedHii mvua kubwa leo Dar es Salaam ni ishara ya ujio mpya na Moshi mweupe hivyo ni Ishara ya LISSU. Lakini kiuhalisia nafatilia live hapa kura za Mbowe ni nyingi zaidi
🙏Kwa mujibu wa watu waliopo hapo ndani ni kuwa Lissu ameshinda sasa tusubiri mwakajoka amtangaze
Yoshua 1:2Chadema ni kiikundi kisicho makini
Tundu hafai hata kuwa kiongozi wa Kaya.... yaani kama mume wa Abigail vile
1 Samweli 25:2-44
Na jina la mtu huyo aliitwa "Nabali; na jina la mkewe aliitwa Abigaili, na huyo mwanamke alikuwa mwenye akili njema, mzuri wa uso; bali yule mwanamume alikuwa hana adabu, tena mwovu katika matendo yake; naye alikuwa wa mbari ya Kalebu.
Ndipo hapo Abigaili alipomwona Daudi, alifanya haraka kushuka juu ya punda wake, akamwangukia Daudi kifulifuli, akainama mpaka nchi.
Nakusihi, bwana wangu, wewe usimwangalie huyu mtu asiyefaa, yaani, Nabali; kwa maana kama lilivyo jina lake ndivyo alivyo yeye; jina lake ndilo Nabali, na upumbavu anao; lakini mimi, mjakazi wako, sikuwaona hao vijana wa bwana wangu aliowatuma."
Mbowe amekomaa kiuongozi kwa level ya chadema lakini sio kwa kuongoza dola
Tayari karani amenakili idadi. Sasa hapo kila mmoja ashajua tusubiri tu watuambieTusubiri atakaetangazwa mshindi!
Mbowe hajapata kitu
Tuondolee unafki wako hapa wa Ku quote Biblia .. Tapeli weweChadema ni kiikundi kisicho makini
Tundu hafai hata kuwa kiongozi wa Kaya.... yaani kama mume wa Abigail vile
1 Samweli 25:2-44
Na jina la mtu huyo aliitwa "Nabali; na jina la mkewe aliitwa Abigaili, na huyo mwanamke alikuwa mwenye akili njema, mzuri wa uso; bali yule mwanamume alikuwa hana adabu, tena mwovu katika matendo yake; naye alikuwa wa mbari ya Kalebu.
Ndipo hapo Abigaili alipomwona Daudi, alifanya haraka kushuka juu ya punda wake, akamwangukia Daudi kifulifuli, akainama mpaka nchi.
Nakusihi, bwana wangu, wewe usimwangalie huyu mtu asiyefaa, yaani, Nabali; kwa maana kama lilivyo jina lake ndivyo alivyo yeye; jina lake ndilo Nabali, na upumbavu anao; lakini mimi, mjakazi wako, sikuwaona hao vijana wa bwana wangu aliowatuma."
Mbowe amekomaa kiuongozi kwa level ya chadema lakini sio kwa kuongoza dola
Amemshinda kweli? tuwe serious jamanLissu wanachadema na Watanzania wamekuamini, always wamekutetea na kukupigania! Kawafanyie kazi kwa moyo wote, maarifa yote, nguvu zote, ujitoe kweli kweli. Kumshinda mbowe sio jambo dogo
Karibu Chadema ujifunze mengi
Kwa hiyo atawajibika kwa Mwenyekiti wa Mtaa!TAL kwisha habari yake haah
Siasa na vifungu vya dini wapi na wapi jamani....Chadema ni kiikundi kisicho makini
Tundu hafai hata kuwa kiongozi wa Kaya.... yaani kama mume wa Abigail vile
1 Samweli 25:2-44
Na jina la mtu huyo aliitwa "Nabali; na jina la mkewe aliitwa Abigaili, na huyo mwanamke alikuwa mwenye akili njema, mzuri wa uso; bali yule mwanamume alikuwa hana adabu, tena mwovu katika matendo yake; naye alikuwa wa mbari ya Kalebu.
Ndipo hapo Abigaili alipomwona Daudi, alifanya haraka kushuka juu ya punda wake, akamwangukia Daudi kifulifuli, akainama mpaka nchi.
Nakusihi, bwana wangu, wewe usimwangalie huyu mtu asiyefaa, yaani, Nabali; kwa maana kama lilivyo jina lake ndivyo alivyo yeye; jina lake ndilo Nabali, na upumbavu anao; lakini mimi, mjakazi wako, sikuwaona hao vijana wa bwana wangu aliowatuma."
Mbowe amekomaa kiuongozi kwa level ya chadema lakini sio kwa kuongoza dola
Wazo zuriAu wawe wote 😜
Haya maswala yakutoa maneno Twitter kuleta huku, muache. Subiri matokeo. Ya live huku.Lissu kashinda kwa kura 510. Kwa macho yangu nimehesabu. Hivyo nawatangazia jf kwamba mshindi ni Kamanda Lissu.
makofi kwake.
Tusubiri atakaetangazwa mshindi!
Mbowe hajapata kitu
Kati ya vitu huwa vinanifurahisha kwa Lissu always uso wake ni wa bashasha, habebi midhambi mingi ya kumsononesha kama akina late jiwe.
Ahamini anachokiona ,anarudia kuhesabu mara mbili mbiliOya mbona huyu Boni Mayai hamaliza kuhesabu"kula" zake bana
Hiyo haijawahi kuwa agenda ya chama ni agenda binafsi ya mtu.Siwezi kujifunza kulinda faragha za mashoga kama tundu kamwe
Wana mabadiliko wa kweli tumeongea kwa sauti kubwaSijaelewa huyu Lema hizo kura ni za maruhani au alikuwa na droo pale mezani? Au anazirudiarudia? Au ana printer inazalisha nakala hapo chini ya meza? Au... au... au... au...