Watu wamekesha vibanda umiza wakifuatilia uchaguziView attachment 3209131
Yaani mkutano unafuatiliwa kama mechi ya Mpira vile...
Dola sio muhimu kwasasa ila muhimu kwasasa ni kuwaambia wananchi ukweli kuwa wizi na ufisadi nani kafanya na kuleta shida kwenye maisha yao
Sasa hapo nimelinganisha sisiem na nini da mkubwa? Maandiko? Mungu? Au wewe? Au...
Duh.Za ndani sana zinasema Lissu kambwaga Mwenyekiti
We chalii unasema?Naona kura zake zimeisha asee kwa muda aliotumia hapa machame ni kilio 😁😁
Tunaweza kupata hata lunch hapahapa ukumbini.....Mnyika fanya haraka wajumbe wakanywe chai makwao sio kunywa tena chai hapo mlimani
Ndio aliyokufanyia hayo?Hana adabu
Hana uzalendo
Hana desturi njema
Hana amani popote alipo kivuruge tuu
HIyo sio ramli mkuu, tumefuatilia mwanzo mwisho. Za ndani ni kuwa ushindi unaenda SingaporeWe chalii unasema?
Unamchukia sana Lissu.Hamna mahali wanaenda
Hapo ndio wamefika mwisho wa siaa zao
Labda kama aongoze kwenye goleni ya ChaiAnaongoza kwa kura 510 dhidi ya kura 400 za FAM
Tupe na za OderoAnaongoza kwa kura 510 dhidi ya kura 400 za FAM
Tuandae suti?Anaongoza kwa kura 510 dhidi ya kura 400 za FAM