Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

Hamna uchaguzi hapo,hapo wataishia kutandikana tu wakichoka wakale ugali na pondu wakirudi watandikane tena.
Tshisekedi na Moise wanajuana vizuri tu.
 
Mobutu aliiharibu sana DRC kuna siku alihojiwa na Mwandishi kuhusu utawala wake wa Kiimla,akamcheki yule Mwandishi k8sha akmwambia "Wabantu hawajali mambo ya Demokrasia" nilicheka sana.😆
bila upinzani kuunganisha nguvu ni ndoto za kimweri kuzing'oa serikali zilizopo Madarakani
 
bila upinzani kuunganisha nguvu ni ndoto za kimweri kuzing'oa serikali zilizopo Madarakani
Hata Wapinzani wakiungana bado haitasaidia kitu kwa tawala nyingi zilizopo ktk nchi za ki-Afrika, hususani kwa nchi kama Zaire(Congo DRC). Njia ile wanayotumia watu kama wale M23, ADF, au Mai Mai ndiyo inayofaa zaidi kwa siasa za bara hili la Afrika.
 
M23 wala maimai hawawezi kuvuka zaidi ya miji wanayoikalia ni vikundi vidogo visivyo kua na ushawishi wa nguvu za kijeshi, kisiasa au nadhari kupenya ndani ya jeshi la DRC na serikali kwa ujumla na kisha kufanya mapinduzi. Hilo haliwezekani congo na nje ya congo
 
Hivi Dikteta Mobutu Seseseko aliondolewa na nani kutoka madarakani huko Zaire (Congo DRC)?
 
Bora ufe kwanza wewe ndipo tume huru ipatikane
 
TsHisekedi aliingia kama mpinzani! Upinzani wake ni tangu enzi za baba yake!
 

View: https://www.instagram.com/p/C1jP025uwL6/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…