[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]No Erection kwani wakenya hawadindishi?
Vipi kupotezwa na kurejeshwa Kwa Roma, Chupuchupu kuuwawa kwa vijana wa Shilawandu kule Clauds na Kipenzi cha raisi Bashite AKA Makonda maliyamungu????Ni kweli kabisa suala la Lisu serikali haiwezi kukwepa lawama, ila maiti zinazookotwa baharini, hadi leo hakuna familia wala mtu yeyote aliyejitokeza kupotelewa na ndugu yake, dalili zinaonyesha kwamba maiti ni za wakimbizi wa ethiopia wambao huwa wanafungiwa kwenye containers wakisafirishwa kwenda South Africa, siku za nyuma maiti nyingi zilikuwa zinaokotwa porini, lakini siku hizi hakuna tena maiti zinazookotwa porini ila bado wanakamatwa kwa wingi mipakani.
Ila hata kama ni watanzania lakini ni wazi kuwa sio mauaji ya kisiasa kwa sababu ukiondoa Ben Sanane hakuna chama chochote cha siasa kilicholalamika kupotelewa na viongozi au wanachama wake, ukiondoa Lisu, niambia nani mwengine aliyeshambuliwa au kuuliwa?, ila Kenya kuanzia August 8 hadi leo wanaojulikana ni zaidi ya 70, hadi viongozi wa dini wanauliwa kinyama, hopeless country.
Basi mzee baba inatosha kwa maneno uliyoongea inauma sana. Acha tuendelee na maisha yetu ya kiajabu ajabu. 😀 😀Huwa nashangaa MACCM mnavyo onekana kujali sana kuhusu demokrasia ya Kenya na kujifanya watetezi ilhali huko kwenu madudu, mumekandamiza upinzani. Huku tunamuuguza jamaa wenu mliyempiga risasi 38 kisa anahoji, mara taarifa za miili 15 kwenu inapatika kwenye viroba inaelea kwenye fukwe, Maiti 15 Zaopolewa Zikiwa Kwenye Viroba - Global Publishers
Yaani matukio mengi ya kiajabu na mauaji ya kimya kimya lakini unatumia nguvu nyingi kukesha huku ukihangaika kuongea kuhusu matukio ya Kenya na kujifanya mwanademokrasia. Kwenu hata kiongozi wa upinzani kuhutubia watu watano tu kosa la jinai, Raila angekua hapo kwenu mngekua mshamnyofoa mapum.bu
Hivi ni nani aiache familia yake aajitoe swadaka?Bado hapa home 2020
$wissme
Hahahahaha nakuunga mkono 100% huku lazima wanyofoe vikojoleoHuko hamuwezi huu mtiti, hebu niambie kama Lowassa au Mbowe athubutu kufanya anayoyafanya Odinga, atanyofolewa maken.de na viungo kama albino. Huko muendelee kuishi hivyo labda mtaokolewa siku ya kiama.
Unajitoa sadaka kupigania haki katika nchi yako,Hivi ni nani aiache familia yake aajitoe swadaka?
moyo huo hatuna
Tuokolewe kwenye nini mkuu[emoji23] ?kwani tunaangamia?Huko hamuwezi huu mtiti, hebu niambie kama Lowassa au Mbowe athubutu kufanya anayoyafanya Odinga, atanyofolewa maken.de na viungo kama albino. Huko muendelee kuishi hivyo labda mtaokolewa siku ya kiama.
Kutojitokeza kwa ndugu kutafuta wapendwa wao haiondoi tuhuma zinazoilenga serikali moja kwa moja.Ni kweli kabisa suala la Lisu serikali haiwezi kukwepa lawama, ila maiti zinazookotwa baharini, hadi leo hakuna familia wala mtu yeyote aliyejitokeza kupotelewa na ndugu yake, dalili zinaonyesha kwamba maiti ni za wakimbizi wa ethiopia wambao huwa wanafungiwa kwenye containers wakisafirishwa kwenda South Africa, siku za nyuma maiti nyingi zilikuwa zinaokotwa porini, lakini siku hizi hakuna tena maiti zinazookotwa porini ila bado wanakamatwa kwa wingi mipakani.
Ila hata kama ni watanzania lakini ni wazi kuwa sio mauaji ya kisiasa kwa sababu ukiondoa Ben Sanane hakuna chama chochote cha siasa kilicholalamika kupotelewa na viongozi au wanachama wake, ukiondoa Lisu, niambia nani mwengine aliyeshambuliwa au kuuliwa?, ila Kenya kuanzia August 8 hadi leo wanaojulikana ni zaidi ya 70, hadi viongozi wa dini wanauliwa kinyama, hopeless country.
Yethu yethu yethu na mariaUnajitoa sadaka kupigania haki katika nchi yako,
Huo ni uzalendo tosha, kufa na kupigania kwa ajili ya watanzania wenzako.
[emoji14] 😀
Tatizo la waafrika hasa watz ukijitolea kwa ajili yao bado hawataonesha ushirikiano zaidi ya kukucheka na kujitenga,Yethu yethu yethu na maria
niache kuponda Raha nikapiganie watu wengine[emoji23] [emoji23] [emoji23]
moyo huo sina. kila mtu afe kivyake walai
Eastleigh ilishakuwa ngome ya rais Uhuru Kenyatta, maajabu ya Mungu. Ukijaribu kuleta nyokonyoko wasomali wanakuchanjachanja na visu vyao. Yaani Raila alivopendwa na wasomali zamani, walitambua rangi zake sasa hivi hawataki kabisa hata kumskiza.vip huko Eastleig?
mambo yanakwenda po?
We jamaa post yko imeniuma sana. Umeweza vizur kuelezea maisha yetu ya kuigiza na kujifanya wema kuwatakia nyie amani wakati huku kwetu hakuna amani ni uoga na kuoneana tu..!!Huwa nashangaa MACCM mnavyo onekana kujali sana kuhusu demokrasia ya Kenya na kujifanya watetezi ilhali huko kwenu madudu, mumekandamiza upinzani. Huku tunamuuguza jamaa wenu mliyempiga risasi 38 kisa anahoji, mara taarifa za miili 15 kwenu inapatika kwenye viroba inaelea kwenye fukwe, Maiti 15 Zaopolewa Zikiwa Kwenye Viroba - Global Publishers
Yaani matukio mengi ya kiajabu na mauaji ya kimya kimya lakini unatumia nguvu nyingi kukesha huku ukihangaika kuongea kuhusu matukio ya Kenya na kujifanya mwanademokrasia. Kwenu hata kiongozi wa upinzani kuhutubia watu watano tu kosa la jinai, Raila angekua hapo kwenu mngekua mshamnyofoa mapum.bu
Kwa wafuasi wa NASA, baba alisema hakuna cha mshedede wala nini hadi pale watakapofika Canaan.No Erection kwani wakenya hawadindishi?
Tuokolewe dhidi ya nani?Huko hamuwezi huu mtiti, hebu niambie kama Lowassa au Mbowe athubutu kufanya anayoyafanya Odinga, atanyofolewa maken.de na viungo kama albino. Huko muendelee kuishi hivyo labda mtaokolewa siku ya kiama.
Tuokolewe kwenye nini mkuu[emoji23] ?kwani tunaangamia?
yani huku kwetu anzisha hata mgomo wako,utanyooshwa siku hio hio....
No Bullsht allowed[emoji23] [emoji23]
Maisha yenu wewe na nani?Basi mzee baba inatosha kwa maneno uliyoongea inauma sana. Acha tuendelee na maisha yetu ya kiajabu ajabu. 😀 😀