Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Ni kweli kabisa suala la Lisu serikali haiwezi kukwepa lawama, ila maiti zinazookotwa baharini, hadi leo hakuna familia wala mtu yeyote aliyejitokeza kupotelewa na ndugu yake, dalili zinaonyesha kwamba maiti ni za wakimbizi wa ethiopia wambao huwa wanafungiwa kwenye containers wakisafirishwa kwenda South Africa, siku za nyuma maiti nyingi zilikuwa zinaokotwa porini, lakini siku hizi hakuna tena maiti zinazookotwa porini ila bado wanakamatwa kwa wingi mipakani.

Ila hata kama ni watanzania lakini ni wazi kuwa sio mauaji ya kisiasa kwa sababu ukiondoa Ben Sanane hakuna chama chochote cha siasa kilicholalamika kupotelewa na viongozi au wanachama wake, ukiondoa Lisu, niambia nani mwengine aliyeshambuliwa au kuuliwa?, ila Kenya kuanzia August 8 hadi leo wanaojulikana ni zaidi ya 70, hadi viongozi wa dini wanauliwa kinyama, hopeless country.
Vipi kupotezwa na kurejeshwa Kwa Roma, Chupuchupu kuuwawa kwa vijana wa Shilawandu kule Clauds na Kipenzi cha raisi Bashite AKA Makonda maliyamungu????
 
Huwa nashangaa MACCM mnavyo onekana kujali sana kuhusu demokrasia ya Kenya na kujifanya watetezi ilhali huko kwenu madudu, mumekandamiza upinzani. Huku tunamuuguza jamaa wenu mliyempiga risasi 38 kisa anahoji, mara taarifa za miili 15 kwenu inapatika kwenye viroba inaelea kwenye fukwe, Maiti 15 Zaopolewa Zikiwa Kwenye Viroba - Global Publishers
Yaani matukio mengi ya kiajabu na mauaji ya kimya kimya lakini unatumia nguvu nyingi kukesha huku ukihangaika kuongea kuhusu matukio ya Kenya na kujifanya mwanademokrasia. Kwenu hata kiongozi wa upinzani kuhutubia watu watano tu kosa la jinai, Raila angekua hapo kwenu mngekua mshamnyofoa mapum.bu
Basi mzee baba inatosha kwa maneno uliyoongea inauma sana. Acha tuendelee na maisha yetu ya kiajabu ajabu. 😀 😀
 
Huko hamuwezi huu mtiti, hebu niambie kama Lowassa au Mbowe athubutu kufanya anayoyafanya Odinga, atanyofolewa maken.de na viungo kama albino. Huko muendelee kuishi hivyo labda mtaokolewa siku ya kiama.
Hahahahaha nakuunga mkono 100% huku lazima wanyofoe vikojoleo
 
Huko hamuwezi huu mtiti, hebu niambie kama Lowassa au Mbowe athubutu kufanya anayoyafanya Odinga, atanyofolewa maken.de na viungo kama albino. Huko muendelee kuishi hivyo labda mtaokolewa siku ya kiama.
Tuokolewe kwenye nini mkuu[emoji23] ?kwani tunaangamia?
yani huku kwetu anzisha hata mgomo wako,utanyooshwa siku hio hio....

No Bullsht allowed[emoji23] [emoji23]
 
Ni kweli kabisa suala la Lisu serikali haiwezi kukwepa lawama, ila maiti zinazookotwa baharini, hadi leo hakuna familia wala mtu yeyote aliyejitokeza kupotelewa na ndugu yake, dalili zinaonyesha kwamba maiti ni za wakimbizi wa ethiopia wambao huwa wanafungiwa kwenye containers wakisafirishwa kwenda South Africa, siku za nyuma maiti nyingi zilikuwa zinaokotwa porini, lakini siku hizi hakuna tena maiti zinazookotwa porini ila bado wanakamatwa kwa wingi mipakani.

Ila hata kama ni watanzania lakini ni wazi kuwa sio mauaji ya kisiasa kwa sababu ukiondoa Ben Sanane hakuna chama chochote cha siasa kilicholalamika kupotelewa na viongozi au wanachama wake, ukiondoa Lisu, niambia nani mwengine aliyeshambuliwa au kuuliwa?, ila Kenya kuanzia August 8 hadi leo wanaojulikana ni zaidi ya 70, hadi viongozi wa dini wanauliwa kinyama, hopeless country.
Kutojitokeza kwa ndugu kutafuta wapendwa wao haiondoi tuhuma zinazoilenga serikali moja kwa moja.

Kumbuka ukienda kumtafuta ndugu yako aliyepotezwa unaweza kupotezwa na wewe ili ukimya na utulivu utamalaki.

Serikali ya ajabu ajabu hii.
 
Unajitoa sadaka kupigania haki katika nchi yako,

Huo ni uzalendo tosha, kufa na kupigania kwa ajili ya watanzania wenzako.

[emoji14] 😀
Yethu yethu yethu na maria
niache kuponda Raha nikapiganie watu wengine[emoji23] [emoji23] [emoji23]

moyo huo sina. kila mtu afe kivyake walai
 
Tatizo la waafrika hasa watz ukijitolea kwa ajili yao bado hawataonesha ushirikiano zaidi ya kukucheka na kujitenga,

😀 bora kila mtu apambane na hali yake,
 
Wapigane kwann wakati kitendawili kaaingia mitini kujitoa kugombea akijua atoshinda katia hasara nchi kurudia uchaguzi kisha anaogopa debe.Angekaa kwa debe tu ngoja tuone asilimia atakazopata Uhuru zitalinganishwa na za kabla ya kufutwa uchaguzi.
 
Huwa nashangaa MACCM mnavyo onekana kujali sana kuhusu demokrasia ya Kenya na kujifanya watetezi ilhali huko kwenu madudu, mumekandamiza upinzani. Huku tunamuuguza jamaa wenu mliyempiga risasi 38 kisa anahoji, mara taarifa za miili 15 kwenu inapatika kwenye viroba inaelea kwenye fukwe, Maiti 15 Zaopolewa Zikiwa Kwenye Viroba - Global Publishers
Yaani matukio mengi ya kiajabu na mauaji ya kimya kimya lakini unatumia nguvu nyingi kukesha huku ukihangaika kuongea kuhusu matukio ya Kenya na kujifanya mwanademokrasia. Kwenu hata kiongozi wa upinzani kuhutubia watu watano tu kosa la jinai, Raila angekua hapo kwenu mngekua mshamnyofoa mapum.bu
We jamaa post yko imeniuma sana. Umeweza vizur kuelezea maisha yetu ya kuigiza na kujifanya wema kuwatakia nyie amani wakati huku kwetu hakuna amani ni uoga na kuoneana tu..!!

Maneno yko yanauma sn, ila hakuna namna mkuu.
 
Huko hamuwezi huu mtiti, hebu niambie kama Lowassa au Mbowe athubutu kufanya anayoyafanya Odinga, atanyofolewa maken.de na viungo kama albino. Huko muendelee kuishi hivyo labda mtaokolewa siku ya kiama.
Tuokolewe dhidi ya nani?
 
Tuokolewe kwenye nini mkuu[emoji23] ?kwani tunaangamia?
yani huku kwetu anzisha hata mgomo wako,utanyooshwa siku hio hio....

No Bullsht allowed[emoji23] [emoji23]

Asante kwa kuniongezea siku maana nimecheka mbavu zinauma, eti hata mgomo wako mwenyewe.
 
Vituoni kweupe Sana dah
IMG_20171026_110713_457.jpg
FB_IMG_1509002070023.jpg

Ila kuna wale wameshpampa Uhuru ajira[emoji116]
FB_IMG_1509004408143.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kisii turnout so nzuri, dogi wameamua kujinafas vituoni [emoji191] [emoji3] [emoji202]
FB_IMG_1509005748539.jpg
FB_IMG_1509005778517.jpg
 
Back
Top Bottom