Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Maeneo mengine ni kama kupiga kura si kwa hiari tena:




 
Huko hamuwezi huu mtiti, hebu niambie kama Lowassa au Mbowe athubutu kufanya anayoyafanya Odinga, atanyofolewa maken.de na viungo kama albino. Huko muendelee kuishi hivyo labda mtaokolewa siku ya kiama.
Nnyinyi ndo mnatakiwa muokolewe kwa ukabila
 
Kutojitokeza kwa ndugu kutafuta wapendwa wao haiondoi tuhuma zinazoilenga serikali moja kwa moja.

Kumbuka ukienda kumtafuta ndugu yako aliyepotezwa unaweza kupotezwa na wewe ili ukimya na utulivu utamalaki.

Serikali ya ajabu ajabu hii.
Nipe mfano wa mtu aliyejitokeza hadharani kwamba amepotelewa na ndugu yake na akapotezwa, mbona ndugu zake Ben Sanane hawajapotezwa?, mbona Roma alipotekwa ndugu zake au mke wake hakupotezwa?, mbona Dr. Ulimboka ndugu zake hawajapotezwa?, sasa kama hakuna hata mtu mmoja aliyepotelewa na jamaa yake, japo tusikie tu kichichini kwamba watu wanapotea, wewe unapata wapi nguvu ya kusema kwamba kuna watu wamepotea kama sio majungu?, hukumbuki miaka ya nyuma maiti za wahabeshi zilivyokuwa zinaokotwa maporini hujiulizi mbona siku hizi haziokotwi tena wakati bado wanaendelea kusafirishwa kwenye containers na wanaendelea kushikwa kwa wingi mipakani?
 
Kutoka Kibera ambayo ni stronghold ya NASA:

Running battles continue as protesters hurl rocks. Police are responding with water cannon and tear gas.

I have seen one person injured and treated by the Red Cross. It’s a localised clash around Olympic polling station.

Some ballot boxes have arrived by buses.

 
Huko hamuwezi huu mtiti, hebu niambie kama Lowassa au Mbowe athubutu kufanya anayoyafanya Odinga, atanyofolewa maken.de na viungo kama albino. Huko muendelee kuishi hivyo labda mtaokolewa siku ya kiama.
We unawaza kuokolewa, watu tunajiokoa wenyewe.
 
Usijisumbue na Wapuuzi wakutafuta Kiki
 

Wewe nawe acha kudanganya watu kha! Maiti zinazokotwa kama ni wa Ethiopia ni aje wameshindwa kutambulika kwa utaifa wao sasa ndugu watoke Ethiopia kuja kuwatambua? Balozi ya Ethiopia ipo wamepewa hiyo taarifa?
Ben Saanane Chadema wamelizungumza hili jambo hadharani serikali ipo kimya Lissu ni vile alidhulumiwa hadharani mchana
Usiwadhihaki Wakenya wakati ukijua hata Tz Hali si shwari. Kenya Mungu awasimamie awaepushe na kikombe hiki! Tunawaombea!
 
Vipi kupotezwa na kurejeshwa Kwa Roma, Chupuchupu kuuwawa kwa vijana wa Shilawandu kule Clauds na Kipenzi cha raisi Bashite AKA Makonda maliyamungu????
Wewe unazungumzia watu kutekwa na kurudishwa, au vitu kuvamiwa na watu kuendelea kuishi, jaribu Kenya ukisema kitu tu Kesho wanakuuwa, sasa ona hata Jaji wa mahakama aliyeshiriki kufuta matokeo ya uchaguzi walitaka kumuua juzi, bahati yake hakuwemo kwenye gari, sasa nchi gani hiyo isiyotaka watu kuzungumza au hata jaji kufanya kazi yake ya kutoa haki?, Juzi kule Kisumu Padre mmoja aliendesha misa ya mfu akamsema Uhuru Kenyatta, siku mbili baadae akakutwa porini ameuliwa na gari lake limechomwa moto, huku ni kiongozi gani wa dini aliyefanyiwa hivyo, pamoja na maneno ya hovyo anayotoa Gwajima?
 
Pambaneni na hali zenu
 
Reactions: a_z
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…