Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

Kweli Uhuruto walichakachua vibaya sana.
Haa haa.
Baba wa demokrasia shikamoo
 
This is Mabonde Primary which is in Kiminini constituency - Trans Nzoia county.

 
Acha maneno yasiyokuwa na msingi, maiti zinazopatikana zinakuwa katika hali mbaya ya kutotambulika kwa sura, ndiyo sababu serikali inasema kama kuna watu wamepotelewa na ndugu zao waende wakatoe mate ili wapime vinasaba, ndiyo njia pekee ya kuweza kulinganisha na kuzitambua, nimekuambia dalili zinaonyesha kwamba si watanzania ni waethiopia kwa kuzingatia mambo mawili
1)Hadi sasa hakuna mtu yeyote aliyejitokeza kupotelewa na ndugu au jamaa yake
2)Zile maiti za waethiopia zilizokuwa zikiokotwa kwa wingi porini, siku hizi hazipo tena huko porini, je zipo wapi na wakati biashara ya kuwavusha inaendelea?

Hii miili ilipokuwa ikiokotwa porini ilikuwa ikitambulika kwa sura zao, ila si rahisi hii ya baharini kwa sababu inakuwa imeharibika sana, hivyo sio rahisi kusema moja kwa moja ni wahabeshi wala watanzania.

Kuhusu Ben Sanane , Lisu na Roma, huko ni ukweli kuna kila sababu na ushahidi wa kimazingira kwamba serikali imehusika, kama ambavyo kuna kila sababu na ushahidi wa kimazingira vinavyoonyesha kwamba hii miili inayookotwa sio watanzania
 
Ili kuhakikisha uchaguzi haufanyiki, mageti ya vituo yamechomelewa kabisa kwa kutumia mashine!

 


St. Patrick's High school Iten - Elgeyo Marakwet
 
Gekendo Primary school in Nyamira County

 
Mwandishi wa channel Ten..Daudi Mwangosi,
Alphonce Mawazo ..chadema kqnda ya Ziwa
Daktari Ulimboka
Mhariri Absolom Kibanda
Bomu la Olasiti Arusha ktk mkutano wa chadema
Mwanachadema
Shekhe Issa Ponda
..n.k

Ukiwa muongo usiwe msahaulifu

chacha wangwe
 
Mwandishi wa channel Ten..Daudi Mwangosi,
Alphonce Mawazo ..chadema kqnda ya Ziwa
Daktari Ulimboka
Mhariri Absolom Kibanda
Bomu la Olasiti Arusha ktk mkutano wa chadema
Mwanachadema
Shekhe Issa Ponda
..n.k

Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Wewe lazima unaumwa na akili, kuhusu Mwangosi ulifuatilia kesi yake?, yule FFU aliyehusika kulipua bomu, alitiwa hatiani kuua bila kukusudia ila alifanya uzembe aliukumiwa kifungo cha miaka 15, uliza huko Kenya kama kuna polisi yeyote aliyehukumiwa kwa kuuwa watu hovyo, japo kanda za video zinaonyesha wakiua watu hadharani. Kuhusu bomu la mkutano wa Chadema kule Arusha, kama utakumbuka vizuri kipindi kile pia kulikuwa na mfululizo wa kulipua makanisa na bar zinazouza pombe, wahusika walikua ni waisilamu wenye itikadi kali, muhusika mkuu alikimbilia Morogoro kujificha, walimkamata na kuuliwa huko Morogoro, hadi leo mauaji yalikoma huko Arusha,

Kuhusu Mawazo na Kibanda na Ulimboka, hilo nimesema kuna kila sababu ya kwamba serikali inahusika, siwezi kuitetea katika hao, ila vipi kuhusu viongozi wa serikali na CCM waliouliwa Kibiti, je kuna siasa pale?, je vyama pinzani vinausika?, sio kila mauaji yanahusisha siasa au serikali
 
Marsabit had 90% vote to uhuru on august 8th less than 700 votes have been cast today in the whole county...

How did Uhuru win Elections again??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…