johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katika hili la mwenge Mshana jr huwa upande wa CCM, anafaidika!Hili zindiko la mwenge ndilo linalotuongezea TU umaskini watanzania.
Hapa Watu wataambukizana Corona, ukimwi na magonjwa ya Kila Aina, Kila eneo ili dubwasha litakapopita.
Cha ajabu,
Kuna watu humu wanafaidika na hili zindiko, watakuja kulitetea[emoji45]
Michango ni lazima!Cha ajabu Kuna watu wataanza kuchangishwa michango kwa ajili ya kugharamia ili zindiko.
Inasikitisha kuona Tumegeuka Taifa la kishirikina
Hama nchi mkuu ili usiambukizwe corona na ukimwiHili zindiko la mwenge ndilo linalotuongezea TU umaskini watanzania.
Hapa Watu wataambukizana Corona, ukimwi na magonjwa ya Kila Aina, Kila eneo ili dubwasha litakapopita.
Cha ajabu,
Kuna watu humu wanafaidika na hili zindiko, watakuja kulitetea[emoji45]
Vipi na Mwenge wa Olympic nao ni ushirikina au kwa kuwa ni wa wazungu!!? Slavery Mentalic inakuhusu wewe dada!!Cha ajabu Kuna watu wataanza kuchangishwa michango kwa ajili ya kugharamia ili zindiko.
Inasikitisha kuona Tumegeuka Taifa la kishirikina
Haiwezi kua suluishoHama nchi mkuu ili usiambukizwe corona na ukimwi
Ndo Mana nkasema, limekuja Kututia time umaskini wananchi wanyongeMichango ni lazima!
Mwenge ukizimikia wilayani kwako kwa kukosa wese DC kazi huna!
Nitake radhiVipi na Mwenge wa Olympic nao ni ushirikina au kwa kuwa ni wa wazungu!!? Slavery Mentalic inakuhusu wewe dada!!
Usifananishe Olympic na hii jimshumaa lenu la kienyeji.Vipi na Mwenge wa Olympic nao ni ushirikina au kwa kuwa ni wa wazungu!!? Slavery Mentalic inakuhusu wewe dada!!
Wanga, walozi na washirikina ndo kwa asilimia KUBWA wanafaidika na ili dubwasha.Katika hili la mwenge Mshana jr huwa upande wa CCM, anafaidika!
mwenge ni relics. kitu cha kukaa makumbusho. hii kitu ya kuingia gharama kuukimbiza nchi nzima ni ujingaCha ajabu Kuna watu wataanza kuchangishwa michango kwa ajili ya kugharamia ili zindiko.
Inasikitisha kuona Tumegeuka Taifa la kishirikina