LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Takbirrrr makobazi 😂😂😂😀😀😀😁😬, hawa watu wapo so hypnotized, maamuma watupu. Safari hii watakula kichapo cha kutosha waende Jannah firdaus kuwahi mito ya pombe na mabikra 72 Nonsense kabisa.
 
Wafuasi wa munyaazi mungu shida sana, nimewakuta kwenye kijiwe Cha kahawa jamaa kawakusanya kama 20 hivi anawaambia " Unaambiwa marekani alivyopeleka wanajeshi 20000 Putin akamwambia usinichezee na yy akatuma wanajeshi 20000 kwenda kuulinda msikiti wa Al aqsa " Kisha yanaitikia takbiiiir!!
 
IDF confirms strikes on Hezbollah military observation post and rocket launch sites in southern Lebanon, in response to the anti-tank missile fired at IDF soldiers a short while ago
 
Hamas wanatamani hii operation iishe mara moja ila ndio hivyo haiwezekani, juzi walidai watawaua mateka wote wa Israel kama Israel haitatoa onyo kwa raia wa Palestine kabla ya kushambulia kwa ndege. Baadae tena wakadai mateka wote wa Israel Wana masaa ma 4 tu ya kuishi kama Israel itaendelea na airstrike Jana tena eti wanawaomba wakazi wa Ashkelon waondoke kupisha mashambulizi ya maroketi kutoka Gaza.
 
Ndo walivyokuambia?
 
Unaposifia kitu Haina maana kimetoka dunia nyingine kikaja hapa ,Tunapo sema iron Dome ilinganishe na defence system zingine ndo utaelewa
 
Israel n taifa la hivyo sana, n dogo tu kama kipande cha tofari, yaani hao wanaovuliwa nguo ndio HAMAS kweli, mi nilidhani ni watu very intelligent.
 
Mbona nyie wavaa kobas mlishangilia hamas walivowachinja waisrael kisa tu hamas ni wavaa kobas wenzenu? nyie ndo mna chuki na dini nyingine, japokuwa kitabu chenu hakiwataki muwe hvo.
MTU ukiona ametseka sana na emeamua kujikomboa nilazma ufurahi lkn kinachoendelea ni kawaida Kwa Israel kufanya hvyo no other option ni kufaa au kupona lkn mapambano yanaendelea.
 
HAMAS STARTED SOMETHING THEY CANT FINISH, they cant even protects its people, why starting a war you cant win.. now they are back in caves leaving palestines alone, crying and suffering, why did they do that, did they expect 5000 missiles will finish off all Israelites and inherit the land?
what is happening in GAZA right now, Hamas and their sponsors are to blame.
 
🇮🇱☠️MADA(Israel's national emergency medical, disaster, ambulance and blood bank service. ):

More than 1200 Israelis killed, more than 3400 wounded, hundreds captured in Gaza.

🔴 @DDGeopolitics
 
Hamas atashindwa,....nimekaa palee...
Cha mhimu tusikimbiane hapa baada ya hii vita
900 Kwa 770.....mpk itapita hii idadi ...
Maana mlifurahia vifo
Na huko pia vifo vinaongezeka!
Vita ni malengo sio idadi ya watu , lengo la hamas ni kuipa israel sleepless nights na kuresist occupation, lengo la israel ni kuifanya israel iwe acceptable duniani na kuwa na hadhi kama ya europe, huku ikijinadi kuwa ina best intelligence duniani na kuwekeza budget kubwa na misaada kutoka europe na marekani kwenye intelligence na silaha ili iweze kuwa salama na kuvutia watalii na watu wengine kuishi , swali je kwa shambulio hili la hamas israel malengo yake yametimia? Unaweza leo kumshawishi mzungu atoke ulaya akaishi israel? Intelligence yao huoni kama imeonyesha weakness kubwa na kutia mashaka?
 
Hv ijumaa hii ndo wanaandamana??
Hv unaenda kuandamana kwa ajili ya watu wenye maisha yao matajiri, si bora tungeandamana kuhusu bandari yetu.
 
Kuna reports zinasema Mossad walikuwa wanajua.
Hapa duniani kuna watu wanajua mzee, Israel wanajua wanachokifanya.
Wakionesha hali ya kupanic ni kujihami tuu ili wasishtukiwe.
 
🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…