christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Ndugu zangu embu naombeni ufafanuzi. Nikisoma maandio naona wazazi wake Yesu walikuwa ni wayahudi na miji iliyokuwa inatajwa kwenye biblia ambayo Yesu alikuwa akifanyia huduma ni Betlehem ambapo alizaliwa, Jerusalem, Galilaya nk. Na huko hii inaonesha kuwa hii miji ilikuwa ni ya Wayahudi. Sasa ilitokea nini hapa katikati ikamilikiwa na wapelestina hadi imesababisha vita isiyoisha maana hii miji ingekuwa ni ya Wapelestina basi hata kwenye maandiko naamini ingekuwa na majina ya kiarabu na sio ya Kiebrania.