LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkuu ni rahisi sana kumlaumu Netanyaahhauu..ila shida yale majamaa ugomvi yalianzisha yenyewe.
Nakushauri usome historia vizuri,unajua kwanini walifanya vile?Ni kwasababu israeli imewakamata wapalestina zaidi ya laki moja,wamewanyang'anya wapalestina ardhi yao,na wapalestina wanafai haki yao
 
Nakushauri usome historia vizuri,unajua kwanini walifanya vile?Ni kwasababu israeli imewakamata wapalestina zaidi ya laki moja,wamewanyang'anya wapalestina ardhi yao,na wapalestina wanafai haki yao
Then they took a wrong path..
Attacking innocent civilians.
Wacha wakinywee
 
Mungu ni mmoja tu,kila mtu humpa jina lake,hata kwa kabila lako humwita kwa jina lenu

Mungu tunayemjua hawezi kusubiri miaka 500 baada ya Yesu kuondoka kisha aanzishe dini ya Uislamu inayohubiri kinyume na vyote alivyofundisha Yesu.
Yesu alifundisha mpende jirani yako ujipendavyo, ukipigwa kofi geuza upande wa pili, ila miaka 500 baadaye akaja Mohammed na kubuni Uislamu na kufundisha visasi ikiwemo ukataji wa vichwa.
 
Hakuna anayesema kurogwa hapa,hakuna Mungu mbaguzi wala Mungu muonezi hayo ni maneno ya binadamu,wapalestina ipo siku wataipata haki yao
Gaza na Wapalestina wote watatimkia Tunisia.

Israel itarudisha ardhi yake iliyoporwa na wavamizi.

Tusubiri.
 
imeandikwa na nani? imeandikwa wapi broo hizo ni propaganda za kijambazi za watu watu wezi na wanyang'anyi
Ndo nasemaje, rusheni majini na mapepo yote m ayoyaaminia, hamtompata Netanyahu maana Israel harogeki.
 
Nakushauri usome historia vizuri,unajua kwanini walifanya vile?Ni kwasababu israeli imewakamata wapalestina zaidi ya laki moja,wamewanyang'anya wapalestina ardhi yao,na wapalestina wanafai haki yao
Mkuu, kwa hiyo haki inadaiwa namna hiyo?
 
Back
Top Bottom