fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
kwani nyerere alisaidia kudai haki ya msumbiji vipi?Mkuu, kwa hiyo haki inadaiwa namna hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani nyerere alisaidia kudai haki ya msumbiji vipi?Mkuu, kwa hiyo haki inadaiwa namna hiyo?
Ni nani alikuambia wapalestina wanarusha majini? kwani hayo makombora yaliyopigwa leo. kulenga makazi na ofisi ya natanyahu ni majini?Ndo nasemaje, rusheni majini na mapepo yote m ayoyaaminia, hamtompata Netanyahu maana Israel harogeki.
Mkuu, hakupeleka magaidi Mozambiq.kwani nyerere alisaidia kudai haki ya msumbiji vipi?
sisi hatuwaiti magaidi ila makaburu waliwaita magaidi,wapalestina wapigania nchi yao lakini wayahudi na wafuadinwao ukiwemo wewe unawaita magaidiMkuu, hakupeleka magaidi Mozambiq.
wareno waliwaita watu wetu magaidi,sisi tulisema ni wapigania uhuru,hali ni hivyohivyo kwa wapalestinaMkuu, hakupeleka magaidi Mozambiq.
Mkuu, kwa mantiki hiyo nani hamas na nani yahudiwareno waliwaita watu wetu magaidi,sisi tulisema ni wapigania uhuru,hali ni hivyohivyo kwa wapalestina
kama umeshindwa kujua,pole jifunze historia zaidiMkuu, kwa mantiki hiyo nani hamas na nani yahudi
imeandikwa na nani? imeandikwa wapi broo hizo ni propaganda za kijambazi za watu watu wezi na wanyang'anyi
hoja sio mimi kwenda kuwaporea haki yao,hii ni dhahiri hujui historia ya mapambano ya haki za watuBasi kawapore hicho unachodhani ni haki yako
Hata waliorganize na kutekeleza mauaji na utekaji wa octoba 7 wataadhibiwa na MunguUkanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli.
Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la kijeshi la Hamas limetangaza kuwa limeanzisha operesheni iitwayo "Mafuriko ya Al-Aqsa" dhidi ya Israel.
Ufyatulianaji wa risasi, kuanzia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Gaza, ulianza kabla ya 6:30 asubuhi saa za Mashariki ya Kati na kuendelea karibu dakika arobaini na tano baadaye.
Nchini Israeli, ving'ora vya onyo vimesikika katika miji kadhaa karibu na Palestina, pia huko Jerusalemu lakini pia ndani zaidi katika eneo hilo, kaskazini na mashariki, kulingana na jeshi.
Roketi imeanguka kwenye mji wa Yavne, kusini mwa Tel Aviv, ambapo mtu mmoja amejeruhiwa kidogo, kulingana na Magen David Adom, sawa na shirika la Msalaba Mwekundu nchini Israel. Mwanamke mwenye umri wa miaka sitini ameuawa "kwa pigo la moja kwa moja", na watu wengine 15 wamejeruhiwa kusini mwa Israeli, linasema shirika la Magen David Adom.
Jeshi la Israel limeripoti kupenya kwa "idadi isiyojulikana ya magaidi" kwenye ardhi ya Israel kutoka Ukanda wa Gaza. "Wakazi katika maeneo jirani ya Ukanda wa Gaza wametakiwa kusalia nyumbani," jeshi limeongeza.
Mwezi Mei, Israel ilianzisha mashambulizi dhidi ya Islamic Jihad ya Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vita vya siku tano kati ya jeshi la Israel, Islamic Jihad na makundi mengine yenye silaha katika eneo hilo, na kugharimu maisha ya Wapalestina 34 na mwanamke mmoja wa Israel.
Zaidi ya roketi elfu moja zimerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel, nyingi zikiwa zimenaswa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel. Israel kwa upande wake ilikuwa imeongeza mashambulizi ya anga katika eneo hilo dogo.
Hamas, ambayo ilichukua mamlaka huko Gaza mwaka 2007, ilikuwa imejitenga na mzozo huu.
Imechapishwa: 07/10/2023 - 08:13 Na:RFI
Video na TRT AFRIKA
View attachment 2786228
huna unalujua fisi weHata wale
Hata waliorganize na kutekeleza mauaji na utekaji wa octoba 7 wataadhibiwa na Mungu
🤣🤣🤣🤣Mods mna mahaba na Israel mkiona uzi wamepelekewa mto mnaunganisha lakini za kushambuliwa Gaza zimejaa tu😆