Hata Mandela aliitwa gaidi. Sikushangaini magaidi wenye itikadi kali za kiisilamu
Gaidi ni mtu anayefanya mauaji ya raia wasio na hatia haijalishi ni muislamu, mkristo, Budha, Hindu, n.kHata Mndela aliitwa gaidi. Sikushangai
Gaidi kwako ni mpigania uhuru kwa mwengine.
Hongera ww kwa kufungua macho.Kweli umefumba macho
Una hoja mkuu, hii serikali ya PM Netanyau imejaa wazuyuni wenye msimamo mkali, huenda Kuna mipango walitaka kuifanikisha kupitia hili tukio.Ndg yangu kuna kauli inasema usimwamini mwanasiasa, akikwambia nje kuna mvua, usikae kama zoba toka nje ukahakikishe ni kweli!.
Nyamizi 👇🏾
Alichokifanya PM-N ni jambo baya sana kwa raia wa Israel.
kwanza alipewa taarifa za ambush na Cairo state jamaa akavunga, pentagon wakamwambia umeingiliwa mzee akavunga akijua ngoja awaonyeshe why Benjamin still 😄!.
So Mosad walijua ila tusiojua deeper na wale wengine kule mashariki ya kati wanajua Israel imedoda kumbe huyu mzee alitaka kufika hapa, kisiasa na kimkakati kwa Israel.
Nimekupata mkuu, Ila hii ndoto ya two states solution ni kama vile imeshajifia tu, hata Israel hawaitaki tena ndio maana mazungumzo yote kuhusu hili yamekwama sababu ya kuendelea kwa upanuzi wa maeneo ya 'settlers' wa Israel kwenye ardhi za Wapalestina.Pale si Israel wala Palestina anayetakiwa kuondoka. Wote pale ni kwao kabisa pasipo na shaka.
Wapelestina hawakuwahi kufukuzwa pale. Miaka yote Wapalestina na Wayahudi wamekuwa pamoja kwenye ardhi ile pamoja na kuwa na tofauti zao.
Kulikua na Wapalestina Wakristo, wapagani pia wengi tu walioabudu katika Uyahudi, hata ulipokuja Uislam na wapalestina wakaamua kuupokea uislam, bado maisha yalikua ya kawaida. Tofauti na mikwaruzano miongoni mwao haikuwahi kuisha ila maisha yaliendelea.
Pressure kubwa iliyoleta chuki haikuwa sababu ya wapalestina kuwa waislam, bali walioupeleka Uislam pale, hao ndiyo walipelekea pressure ya kujenga chuki kwa wasioamini mpaka hapo watakapoamini kama wao.
(Tatizo kubwa halipo kwenye hizi dini au mafundisho yake, maana mafundisho ukiona haya tafsiri au nia nzuri au hayajengi, kama Mwanadamu unakuwa na akili na utashi wa kutambua Jema na baya na hivyo kufanya maamuzi sahihi. Tatizo kubwa la hizi dini (zote) ni wahubiri wake, hao ndiyo hupelekea madhara makubwa yanayoonekana kusababishwa au kuletwa na dini).
Waliokua wakiineza dini ndiyo walisababisha shida ma kujenga chuki dhidi ya wengine. Muda ulivyozidi kusonga na uislam kuzidi kujitanua, hali ilizidi kuwa tete, ingawa kwa Wapalestina, nguvu ya ya tofauti na mikwaruzano yao na Wayahudi haikuwa sababu ya utofauti wa dini zao, bali za asili na tamaduni zao ambazo walikuwa nazo hata kabla ya uislam kuja (Ikumbukwe, hata maisha ya Wakristo hayakuwa mepesi mbele ya Wayahudi, Wakristo waliwa treat vizuri sana Wayahudi, wakawakaribisha Ulaya, wakawapa fursa, lakini that has never been the same kwa namna Wayah7di wamekua wakiuchukulia Ukristo).
Kubwa kuliko yote ni wakati imeamuliwa Two State Solution, Israel hakuwa na shida pia wazo hilo lilitoka kwao, Wapaletina nao hawakuonekana kuwa na shida ila nchi za kiarabu ndiyo zilikua na shida, zililipinga hili kwa nguvu zote.
Hali hii ilipelekea Umoja wa Mataifa kuchelewesha Uhuru wa nchi hizo ambao ulikua utolewe tangu mwaka 1947, ndipo Israel wakaona ni upuuzi kuendelea kucheleweshwa kwa pressure za mataifa mengine. Tarehe 14 May, 1948, wakaamua kusimama na kujitangazia Uhuru wakijiita Israel, dunia ikiwa haijaipatapata vizuri hiyo taarifa ili angalau iamue kama waipokee kwa kulia, kushangilia, au namna gani? Ila wakati Israel wakiwa wanasherehekea Uhuru wao, ghafla mataifa matano ya kiarabu (Misri, Iraq, Jordan, Lebanon, na Syria) yakaivamia Israel. Vita ikapiganwa kwa miezi 9, wiki 3 na siku 2.
Vita hiyo ilipelekea nchi ile igawanyike katika sehemu tatu. Taifa la Israel, Ukingo wa Magharibi wa mto Jordan (West Bank) na Ukanda wa Gaza.
Israel ikitawala eneo la Israel ambalo ndiyo maeneo waliyokua wakiishi, huku Wapelestina wakibaki na maemeo waliyokua wakiishi ya Gaza na Westbank, huku wapalestina wengine wapatao 750,000 wakiondolewa kutoka Israel kupelekwa Gaza na West bank.
Mwaka 1967, mataifa matatu ya kiarabu Misri, Jordan na Syria yakastukiza na kuivamia tena Israel na kupelekea ile vita maarufu ya vita vya siku 6. Katika vita hivi, Israel ikawashinda waarabu, ikaenda mbele zaidi kwa kuikamata Sinai Peninsula yote, Ukanda wa Gaza, West Bank, Jerusalem Mashariki, na Vilima vya Golan (Golan Heights).
Baada ya vita hivyo kelele ziliendelea kuwa nyingi kutoka nchi za kiarabu kuliko Palestina. Hata UN ilipoleta mkataba wa amani wao wakaendelea kuja na madai mapya.
Vita zilizofuata zilikua ni kujaribu kurudisha maeneo yaliyotekwa na Israel, ambapo haikufanikiwa ila kwa yaliyorudishwa yalirudishwa kwa njia ya mazungumzo ya amani.
Kwa kifupi, Israel haijawahi kuwa against two state solution, ila Iran ambao wanaya backup makundi ya kipalestina hawapo tayari kwa hilo.
Wapalestina wenyewe wameshagawanyika tangu ule Mkataba wa Oslo.
Tangu uchaguzi wa mwisho wa Wapalestina uliopelekea HAMAS kushinda kule Gaza, walifutilia mbali habari za uchaguzi na tangu hapo wapo kinyume na utawala wa wapalestina, Gaza ni kama imeamua kujitenga na West Bank na inajiendesha yenyewe kuvyake wakipigana kuvyao.
Ngoja niishie hapa, maana nimeandika hadi ambavyo hukutaka kuvijua wala sidhani kama upo interested.
Haya unayoyaita malengo ya Israel umeyapachika wewe mwenyewe, Israel walishasema malengo ya hii Vita.Vita ni malengo sio idadi ya watu , lengo la hamas ni kuipa israel sleepless nights na kuresist occupation, lengo la israel ni kuifanya israel iwe acceptable duniani na kuwa na hadhi kama ya europe, huku ikijinadi kuwa ina best intelligence duniani na kuwekeza budget kubwa na misaada kutoka europe na marekani kwenye intelligence na silaha ili iweze kuwa salama na kuvutia watalii na watu wengine kuishi , swali je kwa shambulio hili la hamas israel malengo yake yametimia? Unaweza leo kumshawishi mzungu atoke ulaya akaishi israel? Intelligence yao huoni kama imeonyesha weakness kubwa na kutia mashaka?
Vita ambayo tayari wameshashindwa hamas wamekuwepo na wataendelea kuwepo na palestine ataendelea kupata support ya hela na kujengwa kila siku , swali israel ataweza kuishi kwa amani na kushawishi dunia kuhusu intelligence yake na kuvutia watu wakaishi kama nchi zingine, they have failed miserablyHa
Haya unayoyaita malengo ya Israel umeyapachika wewe mwenyewe, Israel walishasema malengo ya hii Vita.
Yes this is it!Mipaka halisi ya Utawala wa Islael; Philitia ndiyo hao wafilisti ambao ndiyo wa-Parestina wa leo. Ambapo mji mkuu ulikuwa ni Jerusalem.
View attachment 2778757
🤣🤣Vita ambayo tayari wameshashindwa hamas wamekuwepo na wataendelea kuwepo na palestine ataendelea kupata support ya hela na kujengwa kila siku , swali israel ataweza kuishi kwa amani na kushawishi dunia kuhusu intelligence yake na kuvutia watu wakaishi kama nchi zingine, they have failed miserably
Hawataki kusikia hiyoTunasema wapalestina wamekufa wengi but watu ubishi mwingine
Waisraeli 2000 vs wapalestina 1000 lTunasema wapalestina wamekufa wengi but watu ubishi mwingine
Israel siyo mgeni wa vita, hata Kama Palestine ikiwepo hawatakuwa na uwezo wa kuwaondoa waisrael hapo.Vita ambayo tayari wameshashindwa hamas wamekuwepo na wataendelea kuwepo na palestine ataendelea kupata support ya hela na kujengwa kila siku , swali israel ataweza kuishi kwa amani na kushawishi dunia kuhusu intelligence yake na kuvutia watu wakaishi kama nchi zingine, they have failed miserably
Sahihi! Mimi nina vyanzo vyangu mbalimbali ambavyo vinanitosha kupata updates za haraka. Humu nakuja kusoma maoni ya washiriki na kutoa ya kwangu pale inapobidi.Haoanambaonhawana upande na wanaongea ukweli ni wachache
Wengine Wana upande lkn wanaongea ukweli
Ila wengine ndo hivyo
Cha msingi aende utube tu huko na afuatilie habari media tofauti
Jamaa katili sanaPM Netanyau
Sawa!Mkuu, ukipata muda Gaza kukitulia nenda utembelee ujionee kamji kadogo.
Ni kama vile Kigamboni lakini Ukanda wa Gaza watumia lisaa tu kusafiri barabara kuu yaitwa Sharia Salah Al DIn kutoka Erez hadi Rafah kupitia barabara ingine kubwa ya Tariq Salah Al Din ambako pana daraja la kuvuka kwenda Misri na pana kambi kubwa ya wakimbizi ya Rafah ambayo ni ya pili baada ya ile ya Deir Al Balah.
Uwanja wa ndege wa Gaza waitwa Yasser Arafat na ndege nyingi tu zatua pale ingawa jeshi la anga la Israeli limeweka vikwazo vya hapa na pale.
Mungu akijaalia ntarudi kutembelea Gaza na ntatoa feedback nzuri tu, tuombe uzima.