Two State solution inaonekana haitawezekana tena sababu walichokifanya waarabu ni kufanikiwa kuwafanya Wapalestina kuwachukia waisrael, kitu ambacho wamefanikiwa sana.Nimekupata mkuu, Ila hii ndoto ya two states solution ni kama vile imeshajifia tu, hata Israel hawaitaki tena ndio maana mazungumzo yote kuhusu hili yamekwama sababu ya kuendelea kwa upanuzi wa maeneo ya 'settlers' wa Israel kwenye ardhi za Wapalestina.
Mimi mwenyewe kuna sehemu nimesoma walikuwa wanajua.Kuna reports zinasema Mossad walikuwa wanajua.
Hapa duniani kuna watu wanajua mzee, Israel wanajua wanachokifanya.
Wakionesha hali ya kupanic ni kujihami tuu ili wasishtukiwe.
Kuundwa kwa taifa huru la Wapalestina kama ambavyo baadhi ya watu wanasema, vilevile kunaweza kusiwe suluhisho la kudumu la mgogoro uliopo.Huo mzozo umeanza hata kabla ya Hamas kuanzishwa, kilichotokea ni mwendelezo tuu wa huu mzozo.
Waondoke waende wapi?....
Suluhisho la kudumu ni kuundwa kwa taifa huru la Wapalestina lenye mipaka yake halali
Media mbalimbali zinasema Mossad walikuwa wanajua.Mimi mwenyewe kuna sehemu nimesoma walikuwa wanajua.
Sasa sijajua wanajua afu wanakaa kimya mpk watu wanauwawa.
Naomba ufafanuzi wa kina hapa, hasa kuhusu huo utofauti wa pande mbili ni upi?Kuundwa kwa taifa huru la Wapalestina kama ambavyo baadhi ya watu wanasema, vilevile kunaweza kusiwe suluhisho la kudumu la mgogoro uliopo.
Ndiyo ataweza.Vita ambayo tayari wameshashindwa hamas wamekuwepo na wataendelea kuwepo na palestine ataendelea kupata support ya hela na kujengwa kila siku , swali israel ataweza kuishi kwa amani na kushawishi dunia kuhusu intelligence yake na kuvutia watu wakaishi kama nchi zingine, they have failed miserably
wewe, mji hauna maji, hauna umeme, hauna mawasiliano, hosptali zimejaa - una nguvu ipi ya kupigana? Hao HAMAS tayari wako ndani ya box.The IDF will have to be clever if it launches a ground war in Gaza. Hamas likely planned for this scenario well ahead of time.
Hiyo misimamo ya kutoitambua Israel ilibebwa hasa na Misri, PLO ya Arafat (Rip)...ila baada ya makubaliano ya 1978 Misri iliitambua rasmi Israel jambo liliowaudhi Sana waarabu.Two State solution inaonekana haitawezekana tena sababu walichokifanya waarabu ni kufanikiwa kuwafanya Wapalestina kuwachukia waisrael, kitu ambacho wamefanikiwa sana.
Wapalestina walishakuwa na maeneo yao ambayo ndiyo wangeyatawala, lakini waarabu hawataki kabisa kulisikia hilo, wanachofundishwa ni Israel kufutwa kabisa, huku gharama ya misimano hiyo ikibebwa na wapalestina.
Kizazi cha sasa cha Wapalestina, kimeshasahau historia yao na sasa kimezaliwa na kukuzwa katika misingi ya Chuki.
Israel na wao wamelazimika kuwaonya watu wao kuhusiana na wapalestina, kwamba wale kiasili ni adui zao wenye lengo la kufanya kila wawezalo ili kuwafuta hivyo wanapaswa kuwa makini nao sana.
Wapalestina walikuja na mbinu ya kuanzisha mahusiano na waisrael na kupelekea kuoana. Lengo lao lilikua ni kuwa naturalised kama waisrael na kuupata haki zote na baadaye warudi kati maeneo waliyokua wakiishi kabla ya ile first Arab - Israel war.
Israel ilistukia mpango huo, ikaweka sheria inayoondoa naturalization. Wanasema Israel ni ya Wayahudi na itabaki kuwa hivyo. Ingawa sheria hii imekua ikilalamikiwa kuwa ni ya kibaguzi, inawabagua Waisrael wasio Wayahudi. Kuna 15 - 18%ya waisrael ambao ni waarabu hivyo sheria hiyo itakua inawabagua.
Mbona mama Abdu wamemtuniku hadi PhD ilhali ni muislam?Waindi asilimia kubwa hawapendi waislam