Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

Hamas wajinga Sana. Wanasababisha wanawake,watoto na wasiokuwa na hatia kuuwawa kwa sababu ya tricks zao za kishamba.
Kwenye kukabidhi mateka unakuta wanavaa combat kabisa na mbwembwe nyingi. Ila kwenye vita wanapigana wakiwa wamevaa kiraia. Ukiangalia kwenye account ya Telegram ya Gaza today utadhibitisha maana unakuta jamaa wanaowavizia IDF wamevaa kiraia.
Hamas wamechangia sana kuuwawa kwa raia wasio na hatia.
 
Kwenye teknologia unayoijua wewe sasa. Wenyewe wanaijua mara 70. Ni rahisi kumjua. Au hata kumfuatilia baada ya zoezi
 
Hao jamaa wamemjuaje kama ndio huyo
Unamkumbuka Jihad John enzi za ISIS?

Mbona aliangamizwa huku sura yake ikiwa inajulikana ingawa siku zote hakuvua ninja yake usoni.

Kuna teknolojia wanafanya , inavuliwa hiyo mask kwa teknolojia wanakutambua sura yako halisi.
 
Munir anaelezea kile kilichotokea katika kituo kipya cha usambazaji wa misaada hapo watu wa Gaza ni wakaidi, wagomvi, wanahitaji nguvu ili kuwaweka sawa!!!

Watu wa Gaza ni kama punda bila mjeledi hawawezi kwenda mbele kama wamarekani watasimamia zoezi la ugawaji misaada bila silaha basi kutatokea majanga makubwa sana!!!
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    13.9 MB
Munir anaelezea kile kilichotokea katika kituo kipya cha usambazaji wa misaada hapo watu wa Gaza ni wakaidi, wagomvi, wanahitaji nguvu ili kuwaweka sawa!!!

Watu wa Gaza ni kama punda bila mjeledi hawawezi kwenda mbele kama wamarekani watasimamia zoezi la ugawaji misaada bila silaha basi kutatokea majanga makubwa sana!!!
Anasemaje
 
Wafanya fujo wamefaamika walipangwa na Marekani yenyewe !!!!!!

Toka lini Taifa linalogawa silaha kwa Adui yao eti uyo uyo awe mwema kwa Wapalestina wewe umeona wapi!!!

MAREKANI NA ISRAEL wote wapo kwenye njama moja lkn Watashindwa tu Sababu Shetan kamwe awezi mshinda Mungu wawatu wenye Iman thabiti,,
 
Huu ndiyo mlionao mnawafanya wananchi wa Gaza wote ni wajinga wamechoka na vita, na kunyanyaswa na Magaidi wa Hamas wewe Mmatumbi mwenzangu ndiyo unajifanya unajua kuliko wao!!!!
 
Back
Top Bottom