Wako kwenye vizuizi vya wamarekani1. Hiroshima & Nagasaki.
2. Lessons well-learned a hard way; history is a cherished tutor among the Japanese
3. Modern warfare is fast changing and transforming into economic one.
4. The role the United States plays in the world's geopolitics
5. Socioeconomic development within Japan itself
Ww vua nguo lkn hamas Wana misimamo YaoHAMAS KUNDI LAKISENGE LA KIGAIDI NAVUA NGUO ZANGU ZOTE NAKUWALAANI HAPA CHUMBANI KWANGU.
HAMAS NDIO WATESI WA RAIA WA PALESTINA AMBAO HAWANA HATIA.
HAMAS DOESN'T REPRESENT PALESTINIANS.
MAUMBWA HAWA.
Utakufa utaacha Palestinian mkuu Yani hyo kitu futa akilini mwakohakika naona Palestina yote ikiondoka jumla katika utambulisho wake duniani. Naona ardhi yote ya palestina Israeli ikija kutambulika kwa jina moja la Great Israel.
umeweka historia nzuri. na kwa historia hii, maana yake wapalestina kwa maana ya waarabu hawajawahi kumiliki hilo eneo. karne nyingi baada ya Yesu, na hata kabla, eneo lote lile lilijulikana kama caanan, ila wapalestina ambao ni wafilistia (wafilist) walikuwepo wachache sana kama minority chini ya GAZA na waliishi sio kama wamiliki wa eneo, kwasababu mfalme alikuwa herode wa kiyahudi ambaye pia alikuwa chini ya warumi. imekuwa hivyo hata baada ya ottoman empire waliokuwa kuwafukuza kabisa wayahudi. quran haijawahi taja neno Palestine, halimo kabisa, ila wanataja kama ni ardhi takatifu ya kiyahudi na wanaing'ang'ania zaidi kwasababu ya msikitiw a al aqsa uliojengwa baada ya kuvunja hekalu la suleiman mfamle wa waisrael. walivunja wakabakisha ukuta ambao upo hadi leo, ukuta wa maombolezo ambao wayahudi upande wa pili huwa wanaenda kuombolezea hadi kesho.Isingekuwa rahisi kiasi hicho. Palestina baada ya kutawaliwa na Roman Empire ikawa chini ya Dola ya Ottoman (Waturuki) kwa miaka 400 (1517 - 1917).
After Ottoman Empire wakafuatia Waingereza, then UN kimsingi ikaidhinisha mtawala mpya ambaye ni Myahudi (1947 hadi kesho).
Katika kipindi chote hiki Wapalestina wameishi kwa mateso mithili ya utumwa.
Wengi walikodishiwa ardhi kama wapangaji ambapo hata hivyo walinyang'anywa na kubaki mafukara na wategemezi na wasio na ajira baada ya Wayahudi wahamiaji kuinunua kwa wamiliki wa awali waliokuwa ughaibuni.
1) The Churchill white paper (1923): ^idadi ya wahamiaji haipaswi kuzidi uwezo kiuchumi wa Palestina.^
2) Sir John Hope-Simpson report (Oct. 1930): ^zoezi la uhamiaji lisitishwe; kusiwepo ongezeko la makazi ya Kiyahudi.^
3) Passfield white paper: ^Wayahudi na Waarabu wako katika mizani sawa kiutu. Ardhi isiruhusiwe tena kwenda kwa wahamiaji wapya. Zoezi la uhamiaji na uendelezaji wa makazi ya Wayahudi lidhibitiwe vilivyo.^
4) Peel Commission (June 1937): Kuna haja ya kuwepo taifa huru la Israel na Palestina.
5) The British government white paper (Feb 1939): ^Uhamiaji usitishwe. Uhuru wa Palestina ndani ya miaka 10.^
6) Biltmore Program (May 1942): ^Kuanzishwe haraka Jumuia ya Madola ya Wayahudi Palestina.^
7) UN 29 Nov 1947: 56% ya ardhi ya Palestina chini ya Wayahudi wachache kwa idadi.
Yehova ahimidiwe pekee. Kwa maana, amezikata ngebe za magaidi yanayojifanya kumpigania Allah.. Moto waliouchokoza umewalamba vibaya mno. Nani kama Mungu wa Israel, mwenye kustahili heshima na adhama.Safari inaendelea ya wana wa Parestina..masaa yanazidi kuyoyoma kabla ya mtwango kuanza.. hii ni hatari sana haya mambo yasikie kwa wenzio tu.
View attachment 2781866
china ni wapagani wasio na dini ya maana, confusionists jinga kabisa. pia wao wanachojali ni maslahi tu.l unategemea wangesemaje kama wanakunywa mafuta mengi toka kwa waarabu/waislam zaidi ya kokote kule? unataka kitumbua kijae mchanga?
Yehova ahimidiwe pekee. Kwa maana, amezikata ngebe za magaidi yanayojifanya kumpigania Allah.. Moto waliouchokoza umewalamba vibaya mno. Nani kama Mungu wa Israel, mwenye kustahili heshima na adhama.
Uzuri tayari historia imeshaandikwa. Wababe wameweza kuwavamia asubuhi na mapema! Wakawatandika siku nzima, huku mayahudi wakijificha wasiuwawe!Walipo waua wa israel walitumia akili nyingi au upuuzi mwingi..? Hakuna kuhurumiwa pelekea moto mpaka gaza ichukuliwe mazima
Huna akili mkuu usihusianishe Mungu na wauaji wa IsraelYehova ahimidiwe pekee. Kwa maana, amezikata ngebe za magaidi yanayojifanya kumpigania Allah.. Moto waliouchokoza umewalamba vibaya mno. Nani kama Mungu wa Israel, mwenye kustahili heshima na adhama.
hapo wanasubiri tu hezbollah aseme SU, afu lebanon inakuwa kama gaza. wao pia ni waoga wanaiogopa sana israel na wanajua netanyau hana utani. kama umetembelea mitandao yao wanaiomba hezbollah isifanye icho kitu wakihofia makazi na biashara zao na wao kuwa wakimbizi.Israeli Residents along the Border with Lebanon have been told to take Shelter until further notice.
Huyu Mungu Yehova ambaye Israel ndio mzaliwa wake wa kwanza, yeye asiyelala wala asiyesinzia ndio mkuu. Wewe endelea kuabudu Allah anayewapa watu mito ya ulevi na mabikra 72 huko Jannah firdaus baada ya kuchinja, kuchoma moto, na kubaka watu wasio hatia. Kuabudu hilo dude lenye mguu mmoja ambapo Qur'an inasema ndie atakuwa wa kwanza kutupwa kwenye ziwa la moto baada ya kuwaingiza chaka lazima mtu awe Punguani kidogo. Mwaabudu msichokijuaHuna akili mkuu usihusianishe Mungu na wauaji wa Israel
China hatasaidia chochote ni watu wapenda maslahi sana.china ni wapagani wasio na dini ya maana, confusionists jinga kabisa. pia wao wanachojali ni maslahi tu.l unategemea wangesemaje kama wanakunywa mafuta mengi toka kwa waarabu/waislam zaidi ya kokote kule? unataka kitumbua kijae mchanga?
Wana wa Israeli hawajaanza kuwatandika leo. Tangu wakitoka misri kuja hapo nchi ya ahadi huko kote njiani walikuwa wanatembeza kipigo cha mbwa koko, muulize mzee Ogu mfalme wa bashan na sihon mfalme wa heshbon. Mbona hamas hawakwenda kwenye base za Israel wakaenda kwenye festival kubaka watoto, kuua kila waliyemwona huku wakisema Allah Akbar ni Punguani pekee anayeweza kumwamini huyu wa aina hiyo anayewaambia muue halafu mlalewe na kujifurahisha na ma bikra 72 my friend utashangaa utakapokaribishwa na moto wa milele huku.mayahudi wameona watumie sasa makombora kuua akina mama na watoto! Badala ya kuwaua hao wanamgambo qa Hamas. Kama wana ujanja, waingie Gaza kuwatafuta hao Hamas halafu waone kitakacho wakuta.
Acha Bangi.Huyu Mungu Yehova ambaye Israel ndio mzaliwa wake wa kwanza, yeye asiyelala wala asiyesinzia ndio mkuu. Wewe endelea kuabudu Allah anayewapa watu mito ya ulevi na mabikra 72 huko Jannah firdaus baada ya kuchinja, kuchoma moto, na kubaka watu wasio hatia. Kuabudu hilo dude lenye mguu mmoja ambapo Qur'an inasema ndie atakuwa wa kwanza kutupwa kwenye ziwa la moto baada ya kuwaingiza chaka lazima mtu awe Punguani kidogo. Mwaabudu msichokijua
Israel hawana tofauti na Hamas kwa kile wanachokifanya. Wote wanafanya sawa sawa.Mauaji ya raia yanayoendele Gaza kutokana na mashambulizi ya Israel kiukweli yanasikitisha na ki ubinadamu si sawa kabisaaa ni ya kulaani. Ila wakulaumiwa zaidi ni Hamas kwa kitendo ilichokifanya kuua raia wasio na hatia, kuwachoma moto/ kuwachinja watoto inatosha kusema hiki kikundi ni cha kigaidi dunia nzima ilipaswa kulaani pia kitendo kile walichofanya. Nina maswali wajuvi wa hizi mambo naombeni mnisaidie majibu yenye tija yasiyo egemea upande wowote.
Hao ni walowezi tu kutoka Marekani na Ulaya. Hakuna cha wana wa Israeli wala nini kwenye hii dunia ya sasa.Wana wa Israeli hawajaanza kuwatandika leo. Tangu wakitoka misri kuja hapo nchi ya ahadi huko kote njiani walikuwa wanatembeza kipigo cha mbwa koko, muulize mzee Ogu mfalme wa bashan na sihon mfalme wa heshbon. Mbona hamas hawakwenda kwenye base za Israel wakaenda kwenye festival kubaka watoto, kuua kila waliyemwona huku wakisema Allah Akbar ni Punguani pekee anayeweza kumwamini huyu wa aina hiyo anayewaambia muue halafu mlalewe na kujifurahisha na ma bikra 72 my friend utashangaa utakapokaribishwa na moto wa milele huku.
ajbu yake ni kwamba, pamoja na kutisha kwa sura namna hii, hadi sasaivi zaidi ya 2000 wameshasindikizwa jehanum. wanatisha tu, wana ari na moyo wa kupigana, ila hawana silaha na hawana technolojia. kwa lugha nyingine, wanajisumbua tu hawatashinda, na sasaivi wamejificha kwenye mahandaki wanaogopa kutoka.
Hao magaidi walitoa taarifa walipo vamia Israel?Kabla ya shambulizi lolote kutokea huko Gaza je, Israel hutoa taarifa ya tahadhali kabla ya shambulizi au hushambulia bila taarifa?
Kama jibu ni ndio, sasa ni kwanini raia wanakufa katika mashambulizi hayo?
Mara ya kwanza walisema Israel wakitupa mabomu Gaza wanaingia, mabomu yakaangushwa.