LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hii kauli ni nzito sana uenda ikachafua hali ya hewa.
Urusi kwasasa inajisogeza kwa waarabu na waafrika kwa nguvu zote.
Binafsi naona yupo kwenye kundi la kupoteza.
Kushirikiana na mtu Mweusi na Mwarabu ni dalili ya kushindwa vibaya.
Mbaya zaidi Waafrika ni kupe wanakunyonya tu na hawana cha kutoa, labda madini ambayo nayo ni gharama kuyachimba...akianza kuchimba leo faida itaanza kuonekana miaka 5 ijayo, miaka 5 inatosha nchi kuanguka kiuchumi
 
Rusdia amafaidika na hii vita..Kuna sehemu kashikilia haachii.
Russia inaonekana anatamani timbwili la ardhini Gaza litokee apigane Proxy.

Anyway Israel hana uwezo wa kumthreaten Mrussi. Netanyagu and co watakuja kusema si mawazo ya Isrqel ni mawazo ya huyo mwehu
 
Hawa viongozi wa Israel wawe makini sana kipindi hiki.

Russia ikiamua kwa 100% kuwa against na wao watakuwa wamefanya kosa kubwa sana
Hivi hujui Russia inaiogopa Israel?
HIli huwezi kuliewa kirahisi.

ANajua fika akiigusa Israel Us na Ulaya nzima ameigusa
 
Dogo kunywa hata maji basi?
Mbona hutulii kabisa?
 
Hivi hujui Russia inaiogopa Israel?
HIli huwezi kuliewa kirahisi.

ANajua fika akiigusa Israel Us na Ulaya nzima ameigusa
Kaishawagusa Ulaya marq kibao..Hebu acheni basi mzee.

Washamfanyia kila aina ya timbwili. Watafanyaje??

Watavamia Urussi, nani anaweza??
 
Hawa viongozi wa Israel wawe makini sana kipindi hiki.

Russia ikiamua kwa 100% kuwa against na wao watakuwa wamefanya kosa kubwa sana
Russia ipo against israel na miaka michache hilo litajidhirisha 100% kwa vitendo ambapo russia ataungana na waarab kuivamia israel lakini watashindwa kwa muujiza wa Mungu
 
Hivi hujui Russia inaiogopa Israel?
HIli huwezi kuliewa kirahisi.

ANajua fika akiigusa Israel Us na Ulaya nzima ameigusa
Hahaha ndo mnavyojidanganya, Russia hakuna mbwa anayemwogopa na ni one man Army hategemei misaada wa muunganiko kama NATO. Pale Ukraine wameshindwa mpaka sasa sembuse Israel anayesumbuliwa na kikundi, anaomba mpaka silaha ndo wakumsumbua Mrussi😂😂😂
 
Una horojoka tu, hujui hata Russia na Israel wana mkataba gani na kwanini
 
Nimekupata mkuu. Huenda ndio anaowapa silaha au? Au amewanyima silaha Israel?
Israel, India na Russia wana mikataba kadhaa ya kuuziana silaha...pamoja na Israel kutoruhusiwa kumuuzia au kumsaidia silaha Ukraine na Georgia.

Hivyo Russia hawezi mnyima Israel silaha kwani anamuuzia hadi S-300.

Hofu na taarifa zisizo rasmi ni kuwa Russia huebda ana mkino kwa Hanas kupitia Iran.....hii sio rasmi
 
Wewe ndo ulikurupuka chief, tutajie huo mkataba waliongia pamoja na proof ya huo mkataba sio kuleta maneno hewa
Israel na Russia wana kitu wanaita
(Military collaboration)
Soma hapa chini
In 1991, the Soviet Union offered to sell Israel its Mikoyan MiG-31 aircraft and S-300 missile system, although the deal never materialised.[191]

In 2004, a three-way deal was signed between Israel, Russia and India: Israel supplied the $1.1 billion EL/W-2090 radar to the Indian Air Force, with the radar fitted onto the Ilyushin Il-76 platform by Russia.[192]

On 6 September 2010, Russia and Israel signed a five-year military agreement.[193]

In December 2019, Israel revealed it had an agreement with Russia not to sell arms to Ukraine and Georgia, in exchange for Russia refraining from selling arms to Iran.[194]

DronesEdit

In April 2009, Russia purchased its first package of drones from Israel (the Bird Eye-400, eight I-View Mk150 and two Searcher Mk.2 UAVs). The deal was worth $53 million.[195]

In a second deal, at the end of 2009, Russia purchased an additional 36 drones from Israel, in a deal worth $100 million.[192]

In October 2010, in a third deal, Russia purchased an additional $400 million of drones from Israel Aerospace Industries. The Israeli drones are to be assembled in Russia.[196] The production of the Russian-Israeli drones began in 2012, and delivery to the Russian military is scheduled for 2014.[192]

In 2015, one of the drones was reportedly shot down by the Ukrainian military near the city of Donetsk, Ukraine. [197]

In September 2015, the Russian Army purchased another $300 million package of drones from Israel, its fourth purchase of Israeli drones.[198]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…