LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israel alikuwa anapeleka Silaha Ukraine, kama anaheshimu hio mikataba asingefanya hivyo “Snitches get stitches”
 
Kuna vitu havihitaji ushahidi hata wewe unajiongeza, Hamas walivamia Israel sababu walijua stock yao imekwisha, baadae uliona Israel anaomba silaha kutoka kwa collective west,
Kwahyo huu ndio ushahidi Israel ali supply stock yake yote Ukraine? Ni silaha gani alipeleka miongoni mwanzo au alivunja store zote?

Mkuu vitu vingine kama hujui/huna uhakika unakaa pembeni wengine waseme.
 
Russia ipo against israel na miaka michache hilo litajidhirisha 100% kwa vitendo ambapo russia ataungana na waarab kuivamia israel lakini watashindwa kwa muujiza wa Mungu
Mungu yupi ndg. Kwamba watu wengine hawana Mungu isipokuwa Wazungu wa Ulaya na Wayahudi feki au1!!
 
Mungu yupi ndg. Kwamba watu wengine hawana Mungu isipokuwa Wazungu wa Ulaya na Wayahudi feki au1!!
Mungu aitwaye Yesu, Yehova, Yahweh atamkung,uta shetan anayewakilisha iman mbalimbali
 
Nishakujibu na mpaka nimekwambia wayahudi feki WA kizungu wengi wanauawa na siraha za Irani hicho ni kisasi Tosha.
Kwenye Vita ya Israel na hao wavaa makobasi mara Nyingi ambaye hupoteza uhai wao pamoja na Miundombinu ni hao wavaa makobasi siyo Israel na ndo maana mnapigwa pamoja na kunyang'anywa aridhi mlio iba.
 
Kwenye Vita ya Israel na hao wavaa makobasi mara Nyingi ambaye hupoteza uhai wao pamoja na Miundombinu ni hao wavaa makobasi siyo Israel na ndo maana mnapigwa pamoja na kunyang'anywa aridhi mlio iba.
Unamatatizo mengi Sana mpaka hapa nishajua najidiliana na mtu Gani wew punguza mahaba na acha kukaza fuvu.
 
Mungu aitwaye Yesu, Yehova, Yahweh atamkung,uta shetan anayewakilisha iman mbalimbali
Sasa huyu yesu mwenyewe wayahudi hawamkubali lakini halafu tena ndio awe mungu anaewapigania waisrael huyo mungu anaejipendekeza kwa binadamu mpk wamemsulubesha lakini yy bado tu
 
Jiulize kwanin baada ya vita vya Dunia ilitakiwa waje Uganda wakagoma.
Unawezaje kumpa mtu aridhi ambayo siyo yake,, wakati huo aridhi yake ipo?

Israel alikataa kwa sabab alitaka kurudi kwenye aridhi yake ya Israel, aridhi ya mababu na Mabibi zake na Chimbuko lake lipo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…