LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israel kaweka records kawauwa watoto 3300 na wanawake 1756 na wengine wanaume ambao hawana hata silaha, hatujawahi kuona kwenye hayo majumba silaha.

Kumbe ukitaka kuwa Super power uvunje majumba nakuwauwa watoto wengi na wanawake na vizee 😂
Mbona bado sana!! Watakufa sana!! HAMAS, waache kutumia watu kama ngao yao, zamu hii wala hata asilimia kubwa ya dunia haiwaonei huruma hao Wapalestina, kwani huwezi kutumia mbinu ile ile ukategemea majibu tofauti!! Na kibaya zaidi zamu hii ni kama wao ndio wachokozi!!! Hao wenzao tu wa ukingo wa magharibi, wanawakataa hao Hams kwa ujinga wao.
 
Labda wakiwa makanisani huko wanadanganyana kuwa waisrael ni wakristo wenzao maana wagalatia Kwa kudanganyana hawajambo

Wakati Imani ya Kiyahudi hawautambui ukristo na Wala hawaamini kuwa Yesu ni mtume wa Mungu

Jews believe Jesus did not fulfill messianic prophecies that establish the criteria for the coming of the messiah. Judaism does not accept Jesus as a divine being, an intermediary between humans and God, a messiah, or holy.
 
Hii ya bongo kawe wanajeshi MP wale walivyokua wakichapa raia kwa uzembe mmoja wa mwanajeshi wao mmoja kupatwa na umauti kwa uzembe bila kua na selfie diefence unatudanya raia kutokua na Amani na kile wanachokirinda
 
Duh uchambuzi huu mbona kiboko?
Sasa hv mtu anachokifikiria kichwani kwake anakuja kuanzisha uzi inabidi humu kujiunga sasa hv kuwekwe umri kuanzia miaka 18+ maana uzi nyingne ukisoma unajua kabisa hz akili za kitoto
 
Sasa hv mtu anachokifikiria kichwani kwake anakuja kuanzisha uzi inabidi humu kujiunga sasa hv kuwekwe umri kuanzia miaka 18+ maana uzi nyingne ukisoma unajua kabisa hz akili za kitoto
Kwa kuwa Uzi haujakufurahisha vile utakavyo wewe?
 
umeandika upumbav wako wote huu lkn hujawai kukemea mauaji yanayofanywa na waislam hapo jiran tu msumbiji , ndio maana nakuita GAIDI huez guswa na wapalestina kisa uislam halaf usiguswe na waafrika wenzio waislam wanaouliwa na waislam wenzio hapa baran Afrika eg Somalia , Msumbiji na hata Drc
 
kwahiyo kule kwenye disco walipoua watu 260 ndo walipowateka magenerali wa kambi nne na wanajeshi ? hv kichwan upo timamu kwel?
 
Na nani kakuambia hao ni watoto zake? Hao ni watoto wa haramu wengi wamezaliwa nje ya ndoa.

1948 ndio muingereza kawapa nchi watakuwa watoto wa Muingereza.
ww utakuwa kichaa kama hujui kuwa walikwepo jamii mbali na waarabu hapo Palestine kipind cha utawala wa uingereza
 
Hawa jamaa akili zao kama zipo sawa. Nadhani aliyesema maandishi yaanzie kushoto kwenda kulia alikuwa sawa. Sasa akaibuka mtu baadaye akapindua Kila kitu. Maandishi yake yakatoka kulia kwenda kushoto. Maandiko aliyoyakuta kabadilisha badilisha ona Sasa na wafuasi wake akili zao zimepinduka ant clockwise
 
Sipendi Vita.
Lakini nawashangaa hawa waislam wanao wapinga watu walio waunga mkono Israel.
Kwa hivyo wanaona ni sawa HAMAS kuwaua waisrael wasio kuwa na hatia?
Hypocrites at their best.
 
Mimi ni mkristo ambaye siwezi dharau imani ya mtu mingine.

Wengine mnawezaje sijui.
kwahyo unaheshimy imani iliyoleta machafuko baran Afrika? kuna haja ya kukuchunguza , kibiti , Tanga na hata Mtwara washakuwa wahanga wa imani hii bado mnawaheshimu hawa?
 
Wanapigana na jeshi lipi?Hilo jeshi lina silaha zipi za maana?Hilo jeshi ni namba ngapi duniani kinguvu?Umetumia nini kuwaza hata uwalinganishe wanamgambo wa Hamasi wasiokuwa na hata kifaru kimoja na jeshi kamili la nchi ya Ukraine?.
hoja yako ni ipi? usitie huruma asee
 
mtume anapendaj nyapu za bure , huyo mtume anatofaut gan na Sele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…