LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Waiarabu ni wajinga pengine tunalingana sisi waafrika katika ujinga
Hapana hivyo viumbe vinatuzidi sisi Waafrika kwa kukoswa akili, uliona wapi na lini Mwafrika akaharisha kwenye mdomo wa Binadamu mwenzake hata kama ana ukwasi namna gani?

Sasa yupo Mwarabu alifanya huo ushenzi 2021 April kwa Ke wa Nigeria akimpatia Tshs B 2.
 
Gaidi wa Hamas aliyeamuru uvamizi wa tarehe 7/10 huko Israeli auwawa🤔
.....
 
Unadhani hawa ngozi nyeusi waliokatika fyuzi za upeo kihekima wanaelewa hivyo?

Udini ni adui mkubwa sana kuliko hata ugonjwa, maradhi, ujinga na uchawa.
Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi katika dini, na wakawafukuza katika nchi zenu na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu, na wawafanyao marafiki, basi hao ndio madhalimu" (60: 8 - 9)
 
Kwanini hao Palestina hawashinikizi HAMAS kuwaachia mateka wa Israel ili Israel iache kushambulia?

Na kwanini hawapambani na HAMAS wanaowaponza? Mbona ni kama wanawakumbatia?
 
Kwanini hao Palestina hawashinikizi HAMAS kuwaachia mateka wa Israel ili Israel iache kushambulia?

Na kwanini hawapambani na HAMAS wanaowaponza? Mbona ni kama wanawakumbatia?
watu ni wamoja wacha wapigwe wachakae.Magaidi sio yakuyachekea kabisa
 
Waliingia jana wakarudishwa nyuma , leo tena wameingia kwa mujibu wa Aljazeera ila matokeo mpaka sasa hatu jayapata.
Houthis wamedeclare vita rasmi na wazayuni ,wasema wako tayari kukichafua
 
Kwanini hao Palestina hawashinikizi HAMAS kuwaachia mateka wa Israel ili Israel iache kushambulia?

Na kwanini hawapambani na HAMAS wanaowaponza? Mbona ni kama wanawakumbatia?
Yani hapo nikama unataka waendelee kutawaliwa kimabavu, hao hawana mawazo ya kumpnga hamas ni kumpongeza Tu. Yani unataka wakubali unyonge waendelee kutawaliwa hiyo kitu futa. Hao ni wapigania Uhuru Mzee unachukiona nimatokeo Tu lkn mioyo ya watu wagaza wako teyari wafe wote ndio maana huoni wakipnga.
 
Hamas wamewaponza waparestina maskini.....

‘They’re treating us like animals. And the world is silent’: Gaza writer​


Yousri al-Ghoul says since the war began, life for the people of Gaza has come to a complete halt.
“There are air raids everyday. We can’t sleep or eat,” the writer from Beach refugee camp, also known as al-Shati camp, told Al Jazeera. “We have no fuel, no electricity. We can’t even go to the bathrooms.”
“They are treating us like we are animals,” he added. “And the world is silent. The US is giving Israel legitimacy to do whatever they want to Palestinians.”
“This is collective punishment. Everything is being targeted.”

‘Wanatutendea kama wanyama. Na dunia iko kimya’: Mwandishi wa Gaza
Yousri al-Ghoul anasema tangu vita kuanza, maisha ya watu wa Gaza yamesimama kabisa.

"Kuna mashambulizi ya anga kila siku. Hatuwezi kulala wala kula,” mwandishi kutoka kambi ya wakimbizi ya Pwani, pia inajulikana kama kambi ya al-Shati, aliiambia Al Jazeera. “Hatuna mafuta, hatuna umeme. Hatuwezi hata kwenda kwenye bafu."

"Wanatutendea kama sisi ni wanyama," aliongeza. "Na ulimwengu uko kimya. Marekani inaipa Israel uhalali wa kufanya chochote wanachotaka kwa Wapalestina."

“Hii ni adhabu ya pamoja. Kila kitu kinalengwa."
 
Wasije anza kulia Israel itakaposafisha huko Yemen. Waambieni mapema
Baada ya Vita Yemen, itaanzisha Uhusiano na Waisrael.

Yemen iko vitan karibu miaka 10, Syria iko vitani miaka 12, watu hawaoni ila wanakazana na Gaza. Waarabu/Waislam ni wajinga sana huko middle east.

Israel ikiamua kuwasupport wapinzani wa hao Houthi wasianze kulalamika
 
Tulia tuone matokeo ww unaona ni wajinga. Unatumia kigezo gani? Ww unawajua sana kuliko wenyewe tulia vita vipigwe mwisho tuone. heshima itakuwepo Tu pnd zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…