Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Saudi kapiga mabomu kwa drones ,vifaru na ndege kama hana akili nzuri kwa miaka minne 4+ tena kafanya Hadi carpet bombing lakini kawashindwa hao watu na kainua mikono na kuomba mapatano nao kupitia IranWasije anza kulia Israel itakaposafisha huko Yemen. Waambieni mapema
Kuna jamii zimeshazoea kupigwa mabomu na kucheza na vifusi kila siku , ukiangalia Saudi Arabia akiwa supported na Marekani maafa aliyosababisha hapo Yemen kwa miaka zaidi ya minne akikabiliana na Houthis ni kufuru kubwa ,kaua watu wengi tena raia wasio na hatia , katumia phosphorus bombs , kabomoa majengo ya raia ,yet huwezi kupata hizo taarifa kwenye media hizi za kimataifa .Wasije anza kulia Israel itakaposafisha huko Yemen. Waambieni mapema
Israel maneno ya taarabu huwa hana yeye ni vitendo tuHao mbwa wafu watapata kichapo vile vile. Mungu ibariki Israel
Huwajui Houthis wewe , jifunze na uwafahamu ni kina naniHao mbwa wafu watapata kichapo vile vile. Mungu ibariki Israel
Hii Vita uliyoandika hapa ambayo itatokea baadae, ukisoma bible ipo kiroho zaidi (spiritually), hata mji mtakatifu wa 'Jerusalem' ni ule mji mpya ushukao kutoka mbinguni "Ufunuo wa Yohana 21"....sio huo unakaliwa na Israel na kugombewa na Wapalestina.Sasa kuna kizabinazabina mmoja anaitwa urusi na mwingine iran pamoja na turky dawa yao inachemka siku yao yaja watajaribu kuishambulia Israel huku wakiongozwa na mpinga kristo na nabii wa uongo pamoja na shetani na majeshi ya mapepo ndipo watakapojua Mungu Yehova ni Mungu na atabaki kuwa Mungu.
naelewa sana nilichoandika na nina uhakika nacho ahsanteHii Vita uliyoandika hapa ambayo itatokea baadae, ukisoma bible ipo kiroho zaidi (spiritually), hata mji mtakatifu wa 'Jerusalem' ni ule mji mpya ushukao kutoka mbinguni "Ufunuo wa Yohana 21"....sio huo unakaliwa na Israel na kugombewa na Wapalestina.
Kwanini haya mambo mnayatafsiri sana kimwili na sio kiroho.
zitto junior Mathanzua
Bado upo unajifunza, maisha na hata mambo ya 'rohoni' ni kujifunza kila siku.naelewa sana nilichoandika na nina uhakika nacho ahsante
Aisee hawa Muqawama wa Hamas ni balaa yaani unaambiwa wako fit kinoma.Israel hajafanikiwa kuua hata mmoja anabakia kuua raia na watoto wasio na hatia.Allahu akbar!Hamas walivyosema kwamba Gaza itakua ni kaburi la Wanajeshi wa Israel walikua hawatanii..Shambulizi moja tu wameuwa wanajeshi 67 wa Israel
#BREAKING Al-Qassam Brigades ambushed Israeli soldiers, captured 43 soldiers and killed 67 soldiers.
Source:Israel channel 14
Verfied by: War intel page on XView attachment 2799534
Kinachokusumbua sio chuki tu bali Pampus ulizovaa zishajaa sasa zinakuwasha, badilisha pampas mkuu ulale!!Halafu baadaye israel akiendelea kuwaangamiza wapalestina mnakuja hapa kulia lia.
Nimeona Aljazeera wakitoa taarifa hiyo kwa kusema alqassam wametoa vidio wakionesha wanavyowapiga risasi askari wa Israel lakini kwa miiko ya uandishi hawakuzionesha picha hizo.Hamas walivyosema kwamba Gaza itakua ni kaburi la Wanajeshi wa Israel walikua hawatanii..Shambulizi moja tu wameuwa wanajeshi 67 wa Israel
#BREAKING Al-Qassam Brigades ambushed Israeli soldiers, captured 43 soldiers and killed 67 soldiers.
Source:Israel channel 14
Israeli media and Military sources confirming the Ambush but denied any captured soldier
As a result of the attacks of the Al-Qassam brigade, a unit of the Givati Brigade had to withdraw from the north of Gaza —
Palestinian Source
Source:Israel channel 14,Palestinian Source.
Verfied by: War intel page on XView attachment 2799534
Sema akiuwa watoto..Halafu baadaye israel akiendelea kuwaangamiza wapalestina mnakuja hapa kulia lia.
Si haba…Hamas walivyosema kwamba Gaza itakua ni kaburi la Wanajeshi wa Israel walikua hawatanii..Shambulizi moja tu wameuwa wanajeshi 67 wa Israel
#BREAKING Al-Qassam Brigades ambushed Israeli soldiers, captured 43 soldiers and killed 67 soldiers.
Source:Israel channel 14
Israeli media and Military sources confirming the Ambush but denied any captured soldier
As a result of the attacks of the Al-Qassam brigade, a unit of the Givati Brigade had to withdraw from the north of Gaza —
Palestinian Source
Source:Israel channel 14,Palestinian Source.
Verfied by: War intel page on XView attachment 2799534
tatizo lake anaua raia na watoto ovyo ovyo hakuna atakayelalamika akiua HamasHalafu baadaye israel akiendelea kuwaangamiza wapalestina mnakuja hapa kulia lia.
Taarifa ya uwongoUpdates: The Battle of Beit Hanoun stopped a short while ago, during which the army and US Marines (Delta) launched a major attack by tanks and personnel. This battle ended with heavy losses, in which 43 soldiers were captured, including 26 Marines and 17 Israeli Army soldiers, and 67 Marines and Israeli Army soldiers were killed. This is considered a painful blow at the beginning of the ground movement. As a result, the US Chief of Staff was contacted and asked to stop the attack