LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkono wa Mungu uwe juu yako na ghadhabu ya Mungu iwake juu yake mpaka ukiri kuwa yupo Mungu akupaye pumzi hii bure. Mungu anakuhitaji,tena wewe utakuwa Mwalimu mzuri sana kufundisha wengine.
Quote my words.
Achana na hizo hadithi za kitaahira. Mungu hayupo.

Wewe kondoo wa bwana, ni quote your words? Mimi ni quote akili ya kondoo?
 
Naona unavyo ugulia maumivu bila shaka kisu kimepiga mpaka kwenye moyo.

Bila shaka na ww utakuwa miongoni mwa warokole wanao watajilisha akina zumaridi.
MM SIUGULII MSUMIVU BALI WAISLAMU NA WAARABU NDIO WANAOUGULIA MAUMIVU KUHUSU KINACHOENDELWA GAZA.
MIMI NACHANGIA HOJA KISOMI NA SIO KISHABIKI
NB: USHAHIDI UNAONYESHA KUA WAARABU NA WAISLAMU NDIO WATU WAJINGA KABISA WA MWISHO DUNIANI.
 
Bado upo unajifunza, maisha na hata mambo ya 'rohoni' ni kujifunza kila siku.

Aliyehitimu na kuyajua yote ni Yesu Kristo peke yake.
Kujifunza kweli ya Mungu sawa lakini kujifunza yasiyo kweli kwangu hapana kwani biblia inasema

Lakini pia walikuwepo manabii wa uongo miongoni mwa watu, kama watakavyotokea walimu wa uongo kati yenu. Kwa siri, wataingiza mafundisho ya upotovu hata kumkana Bwana aliyewakomboa, na kwa njia hiyo watajiletea maangamizi ya haraka. 2 Na wengi wata fuata tamaa zao potovu, na kwa ajili ya matendo yao njia ya kweli itadharauliwa. 3 Nao katika tamaa yao watajaribu kuwanunua kwa kuwaambia hadithi walizotunga wenyewe. Lakini hukumu yao imekuwa tayari tangu zamani, wala mwangamizi wao hajalala usingizi.
 
Hakuna kitu kinachomtia hofu zaidi Netanyau kama maneno ya Abu 'Ubaydah (Msemaji wa jeshi la Hamas).
 
Singing mkono hoja. Tanzania inafaidika zaidi na uhusiano wake na Israel kuliko mnavyofikiri.

Hizo siasa zenu msizipe nafasi katika mahusiano ya nchi yetu na nchi nyingine.

Hamas wameteka watanzania na kuna uwezekano wakawa wamewaua sasa kwa nini usiseme Tanzania ivunje uhusiano na Palestina?
 
Hao makamanda wa Hamas wanaokufa mbona humuhusishi Mungu? Mpuuzi mmoja wewe
 
Naona unavyo ugulia maumivu bila shaka kisu kimepiga mpaka kwenye moyo.

Bila shaka na ww utakuwa miongoni mwa warokole wanao watajilisha akina zumaridi.
Mlidanganya Humu kwamba israel imepigwa na kurudi nyuma ila mpaka muda huu jeshi la Israel inakaribia kuitaka kabisa Gaza.
 

Attachments

  • FB_IMG_16988203056951778.jpg
    297.6 KB · Views: 4
Tulieni ,vita haijaanza na kama mnadandia habari za cnn na aljazeela mtaburuzwa tu, tafuta chaneli za al manara au almadaayen sema zinanipa shida kwa lugha ila picha nazifahamu kama ninavyofahamu michezo ya kihindi,ila kuna ukweli mtupu ,na mpaka leo hamjajiuliza kwa nini mziraeli anapiga mabomu kwa hazira ???
Kusema ukweli wajeshi waziraeli wanapigwa vibaya sana sana na vifaru vyao vinakatwa pembe ,ndio mkaona ana hasira ,yaani mjeshi wa miguu anaeingia geza ulole basi hatoki.
 
MM SIUGULII MSUMIVU BALI WAISLAMU NA WAARABU NDIO WANAOUGULIA MAUMIVU KUHUSU KINACHOENDELWA GAZA.
MIMI NACHANGIA HOJA KISOMI NA SIO KISHABIKI
NB: USHAHIDI UNAONYESHA KUA WAARABU NA WAISLAMU NDIO WATU WAJINGA KABISA WA MWISHO DUNIANI.
Kama kuchangia kisomi ndo huku kwako basi elimu ya tz ni takataka zaidi ya kinyesi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3].

Kitendo cha ww kufurahia mauaji ya watoto yanayo fanyika gaza kinadhihilisha kile nilicho kisema kuwa ww na warokole wenzio hamna akili.

Bolivia,Chile,na Colombia ambao ni wagaratia wenzio na ambao hawana uhusiano wowote na waarabu wamekata uhusiano wa kidipromasia na Israel kwa sababu ya mauaji ya kijinga inayo yafanya ili kuficha aibu ya kushindwa October 7.

Hivi duniani kuna ujinga zaidi ya kuamini kuwa utajiri unakuja kwa kuombewa we sio kufanya kazi?

Hivi kuna ujinga zaidi ya kuamini eti chumvi ya upako wa mwaposa inaweza kukufanya ukapata kazi ya uinjinia hata kama hujasoma?

Hivi kuna ujinga zaidi ya kwenda uwanja wa ndege na kutaka kwenda Ulaya bila visa eti unaenda kuwahubilia injili?

Hivi kuna ujinga zaidi ya kushindishwa njaa mpaka kufa eti mnaenda kukutana na yesu hali yakuwa anaye waambia hivyo yy anakula ?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mlidanganya Humu kwamba israel imepigwa na kurudi nyuma ila mpaka muda huu jeshi la Israel inakaribia kuitaka kabisa Gaza.
Hiyo ramani ni kwa mujibu wa nani?
 
Mkuu sasa Israel kuvamiwa na hamas tarehe saba ni aibu?
Aibu katika lipi mkuu?
Wewe ni mnafiki maana matukio ya tarehe 07 ya Hamas unaunga mkono.
Ila wayahudi wakilipiza kisasi na kujilinda unaanza kulalamika eti hamas wanaonewa.
Usilazimishe wote wawachukie uislamu,hii idea wape waarabu tu na waislamu
NB : HIVI KUNA UJINGA KAMA UNAJIUA ETI UKIFA UTAPATA WANAWAKE SABINI WA KULALA NAO?
YAANI UNAJIUA SABABU YA UCHI WA MWANAMKE?
 
Acheni ni uongo Israel wanawakaza kinoma hao Hizbullah, na hawana uwezo wowote wa kumsumbua IDF make moto wanaokipata ni zaidi
Wanawakaza..😂😂😂sipati picha wanavyopiga kelele😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…