Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Sijakuelewa mkuu unamaanisha nn??Hivi kimaandili...hairuhusiwi kuwakaza hao magaidi?
Toa pumba za Biblia hapa.Kwa vipindi na nyakati tofauti, chunguza sana kwa umakini hali za kiuchumi na kijamii kwa nchi zote zenye mahusiano mabaya ya kidiplomasia na nchi ya Israeli. Aidha kwa upande mwingine chunguza zile ambazo zina mahusiano mazuri na nchi hii.
Ni vyema tukatafakari vyema nukuu ifuatayo kutoka katika maandiko matakatifu,
WARAKA KWA WARUMI 11
1 Kwa hiyo nauliza, je, Mungu amewakataa watu wake? La, sivyo. Mimi mwenyewe ni Mwisraeli, wa uzao wa Ibrahimu na wa kabila la Benjamini.
2 Mungu hajawakataa watu wake ambao aliwajua tokea mwanzo. Hamfahamu Maandiko yanavyosema kuhusu Eliya, jinsi alivyomlalamikia Mungu kuhusu Waisraeli akisema,
3 “Bwana, wamewaua manabii wako na kuziharibu madhabahu zako, nimebaki mimi peke yangu, nao wanataka kuniua?
4 Na Mungu alimjibuje? “Nime bakiza kwa ajili yangu watu elfu saba ambao hawajapiga magoti kumwabudu Baali.”
5 Ndivyo ilivyo hata sasa; wapo wachache wal iosalia ambao Mungu amewachagua kwa neema yake.
6 Lakini ikiwa wamechaguliwa kwa neema, haiwezekani tena wakachaguliwa kwa msingi wa matendo. Kama ingekuwa hivyo, neema isingekuwa neema tena.
......kasi yako ya utotoni leo unaikana ? ....mbona sio siri ? Suala la muda utaanikwa....muda kidogoNakubali lakini bahati mbaya uwa sitaki ushauri kutoka kwa Mashoga.
Wewe ndio mpumbavu fala kabisa.Mpumbavu Wewe.
Nakazia [emoji419][emoji375]Dini zimepumbaza watu. Israel wanafanyia watu unyama usio na mfano lakini dini zimepumbaza watu hawataki kuliona hilo, wanakesha wakiiombea Israel wakati mungu mwenyewe ameshindwa kuilinda Israel.
Mungu mwenyezi uwezo wa kuilinda Israel hana halafu mijitu mipumbavu inakesha kuiombea Israel na inapeleka maombi kwa huyo huyo mungu asie na uwezo wowote wa kuilinda Israel yake, hizi ni akili ama mavi?
Unakuja lijitu ligogo ama lihehe la huko iringa limeshindwa 'kuwaombea' (kitu kinaitwa maombi hakina msaada wowote kwenye maisha ya binaadam) wangoni ama wahehe wenzie, anakesha na kufunga kuiombea Israel na unakuta anatembea na bendera ya Israel kwenye gari ama nyumba yake.
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine kitu kinachoitwa Mungu hakipo na wala hakina uwezo wowote wa kufanya chochote.
Bila baba yako kuuangaikia uchi wa mama yako ww usingekuwepo kuwepo au ww bila kuhangaikia uchi wa mkeo hao watoto wanao kuita baba usingekuwa nao hivyo huo uchi usiuchukulie poa maana ni unaifanya dunia iendelee kuwepo.Mkuu sasa Israel kuvamiwa na hamas tarehe saba ni aibu?
Aibu katika lipi mkuu?
Wewe ni mnafiki maana matukio ya tarehe 07 ya Hamas unaunga mkono.
Ila wayahudi wakilipiza kisasi na kujilinda unaanza kulalamika eti hamad wanaonewa.
NB : HIVI KUNA UJINGA KAMA UNAJIUA ETI UKIFA UTAPATA WANAWAKE SABINI WA KULALA NAO?
YAANI UNAJIUA SABABU YA UCHI WA MWANAMKE?
Mungu hayupo na hakuna Mungu aliyeweka wapalestina Israel.Kuna wakati najiuliza kwanini Mungu akaenda kuwaweka wapalestina jirani na Israel?
Inawezekana alijua kabisa hawa jamaa watakuwa wachokozi, dawa yao ni kuwaweka karibu na mwenye nguvu ili awatandike vizuri, hakuna jambo lolote linalotokea hapa duniani kwa bahati mbaya ndugu zangu, yote ni mipango.
Ndio maana hata Prime Minister wa Egypt nae anakataa kuwaruhusu wakimbizi toka Palestina kuingia nchini kwao, wanafahamu wapalestina ni wachokozi, kaa nao mbali, matokeo yake sasa .....
View attachment 2799852
Huu ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuvunja mahusiano na Israel haraka sana kwa yanayoendelea huko Gaza!!
Huko nyuma tuliwahi kusema kuwa "kila mtu anastahili haki ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake". Pia tulisema kwamba kila watu wana haki ya kuwa na mahali ambapo watakuwa salama kutoka vitisho vyovyote vya utu wao na nafasi yao kama jamaa.
Tokea enzi za Nyerere tuliamini ya kwamba hakuna mwanadamu mwingine ambaye ana haki ya kumtawala kwa nguvu mwanadamu mwingine kwa kisingizio chochote kile. Hii ilikuwa ni falsafa yetu dhidi ya ukoloni.
Leo hii tunashuhudia yanayoendelea Palestina ambapo karibu maelfu ya watu wameshauawa. Je, Bunge linapokutana siku chache zijazo zilaani mauaji hayo? Je, serikali ilaani pande zote mbili kwa kusababisha mazingira ambayo yanamnyima mwanadamu nafasi ya kuwa huru kufanya lolote? Tunapaswa tuungane na nchi nyingine mfano Bolivia ambazo zimevunja uhusiano na Israel kutokana na suala la Gaza
Hatuwezi kuendelea kulisapoti taifa la kigaidi ambalo lina mchango mkubwa wa ubaguzi wa Rangi na.ambalo limeshiriki kuwaangamiza Waafrika wengi mfano wakati wa makaburi walitoa misaada ya kila aina kwa makaburu ili waendelee kuwauwa watu weusi kule Africa ya kusini bado zile cases za waafrika waethiopia kufungwa vizazi wasizae kwa nguvu!
Kwa yanayoendelea naiomba serikali ivunje uhusiano mara moja na huu utawala katili wa Israel View attachment 2799632View attachment 2799631View attachment 2799633View attachment 2799634
IdfHiyo ramani ni kwa mujibu wa nani?
Ndivyo ulivyo pumbazwa?Israel ni Taifa la Mungu, labda ungeshauri tutume Jeshi likawasaidie kupiga hao wahaini. Nakwambia hivi Israel itazidi kubarikiwa na haitoanguka,anayejaribu kuiangusha ataanguka yeye. Ailaaniye atalaaniwa,aibarikiye atabarikiwa.
Mkuu acha ujinga wewe unadhani Benjamini anaogopa ngonjera za waarabu na waajemi.Hakuna kitu kinachomtia hofu zaidi Netanyau kama maneno ya Abu 'Ubaydah (Msemaji wa jeshi la Hamas).
Mungu huyo hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Mkono wa Mungu uwe juu yako na ghadhabu ya Mungu iwake juu yake mpaka ukiri kuwa yupo Mungu akupaye pumzi hii bure. Mungu anakuhitaji,tena wewe utakuwa Mwalimu mzuri sana kufundisha wengine.
Quote my words.
Sasa hapo kwenye picha mbona hakuna ushahidi wowote unao onesha kuwa ramani imetoka kwa Idf?Idf
Idf
Mungu huyo, Alishindwaje kuibariki Israel isivamiwe na Hamas wapalestina?Mungu ibariki israel
Vita yeyote ile kupoteza ni lazima kwa pande zinazohusika nayo. Kwa hali ilivyo hata hao ni wachache.Jeneral wa Jeshi la Urusi Bwana Andrei Gorolyov ambaye pia ni afisa mwandamizi huko Urusi amekiri kuwa kwa taarifa zake rasmi ni kuwa wanajeshi zaidi ya 500 wa Israel washaangamizwa hadi sasa!!
Jenerali wa Urusi Andrei Gorolyov [emoji635]: "Kulingana na taarifa zangu, idadi ya wanajeshi wa Israel waliouawa ni takriban 500." "Ufadhili wa Hamas unatoka Uturuki na Qatar, hiyo ni kweli.
Kwa sababu fulani, kila mtu anazungumza juu ya Irani, kwa hivyo lengo ni Iran? Wanataka kuiingiza Iran kwenye mzozo na kuishinda ili kulishinda taifa hilo?
. Katika miongo kadhaa iliyopita, Iran imepata maendeleo makubwa katika uzalishaji wa silaha za kisasa, na ndio maana hata aircraft carrier za kubebea ndege ya Marekani hawafurukuti lakini Wamarekani hawajali hasara na uharibifu utakaotokea.
Bali wanataka Israel kupigana na kila mtu, kwa hivyo tuko vitani na America na amani haitakuja.
BREAKING[emoji599][emoji599]: Russian General Andrei Gorolyov [emoji635]: “According to my information, the number of Israeli army personnel killed is about 500.” “Hamas’ funding comes from Türkiye and Qatar, that’s true.
For some reason, everyone is talking about Iran, so the target is Iran? They want to drag Iran into the conflict and defeat this republic.
Over the past decades, Iran has made serious progress in the production of modern weapons, and that is why the American aircraft carrier groups do not approach, but the Americans do not care about the losses and destruction that will occur.
Rather, they want Israel to fight everyone, so we are at war with the United States, and peace will not come. On Earth, there is only a multipolar world and the departure of the hegemonic power.”View attachment 2799627
Maneno ya kuwafariji tu!Ujumbe wa Al-Azhar kwa muqawama Palestina: Nyinyi ni mashujaa, mnapigana na wanyama
Chuo Kikuu cha Al-Azhar cha Misri kimepongeza ujasiri na ushujaa wa wanamapambano na muqawama wa Palestina na kusema kuwa wanakabiliana na jeshi la kigaidi la kinyama.
Chuo Kikuu cha al-Azhar kimesema hayo katika ujumbe wake kwa vikosi vya muqawama katika Ukanda wa Gaza na kuwapongeza wanamuqawama wa Palestina kutokana na kusimama kwao kidete kutetea ardhi na nchi yao.
Kwa mujibu wa tovuti ya Rusiya Al-Yaum, sehemu moja ya taarifa ya Al-Azhar ikiwa taasisi ya juu zaidi ya kidini ya Sunni, inasema: "Pongezi na baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa muqawama wa Palestina na watu wasio na hatia wa Gaza, ambao ni kielelezo cha fahari, uthabiti na subira."
Taarifa ya Chuo Kikuu cha Al-Azhar imeongeza kusema kuwa, "Salamu zikufikieni enyi mashujaa, ambao kwa imani yenu mlikabiliana na manowari za kivita, meli za kubeba ndege na washambuliaji wa ndege na kuzisimamisha bila ya woga au wasiwasi wowote."
Umeanza na "ligogo ama lihehe" halafu ukamalizia na "wangoni ama wahehe". Tuombe radhi sisi wagogo.Dini zimepumbaza watu. Israel wanafanyia watu unyama usio na mfano lakini dini zimepumbaza watu hawataki kuliona hilo, wanakesha wakiiombea Israel wakati mungu mwenyewe ameshindwa kuilinda Israel.
Mungu mwenyezi uwezo wa kuilinda Israel hana halafu mijitu mipumbavu inakesha kuiombea Israel na inapeleka maombi kwa huyo huyo mungu asie na uwezo wowote wa kuilinda Israel yake, hizi ni akili ama mavi?
Unakuja lijitu ligogo ama lihehe la huko iringa limeshindwa 'kuwaombea' (kitu kinaitwa maombi hakina msaada wowote kwenye maisha ya binaadam) wangoni ama wahehe wenzie, anakesha na kufunga kuiombea Israel na unakuta anatembea na bendera ya Israel kwenye gari ama nyumba yake.
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine kitu kinachoitwa Mungu hakipo na wala hakina uwezo wowote wa kufanya chochote.
Hayo unayo ita Maandiko ni pumba.Sio mimi nimaandiko, atakaye ilaani israel atalaaniwa , atakaye ibariki atabarikiwa