LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Thibitisha Mungu yupo.
 
Hata wapalestina wangekuwa wakristo kwa asilimia mia kwa walichokifanya 07/10 kinastahili kichapo kizito mno.Gaidi ni kansa kwa ulimwengu wa kileo.Magaidi wawahishwe kwenye bikra 72 tuu
 
1:6 SRUVDC​

Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waiiteka nyara kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu,Bwana atatuma moto juu ya Gaza uyateketeze majumba; Always bible prophecy Huwa inatimia

SRUVDC: Swahili Revised Union Version
Shirikisha
 
Wakristo mnapaswa kufahamu kuwa Jerusalemu yetu sio ile pale karibu na Gaza, ila ni Mbinguni, hivyo muache kushabikia vita vya Israel vs Palestina kwani hao wote ni wapagani na hakuna hata mmoja wapo ana upendeleo wa pekee kwa Mungu Mwenyezi. Mjue vilevile kuwa "Israel" wa sasa sio hao akina Netanyau, bali ni wale waliompokea Kristo Yesu na kuishi sawa na mapenzi yake!
 
Wewe bado hujajua mambo,ni kweli ila Mungu Huwa haachi agano lake hata kama Hawa jamaa walimtenda dhambi,mwisho wa nyakati watarudiwa tena na Bwana
 
Hata wapalestina wangekuwa wakristo kwa asilimia mia kwa walichokifanya 07/10 kinastahili kichapo kizito mno.Gaidi ni kansa kwa ulimwengu wa kileo.Magaidi wawahishwe kwenye bikra 72 tuu
Usiangalie kilichoanza tarehe 7, angalia miaka 75 iliopita, hayo ya tarehe 7 ni matokeo ya mateso ya zaidi ya miaka 70 imagine wewe ni mpalestina

1. Ndugu zako wanauliwa na Israel viungo vyao vinatolewa vinauzwa
2. Watoto wenu wanachukuliwa kama Target za Sniper mtu akijiskia tu anachukua bunduki yake anaenda kusnipe watoto, hii video inaonesha mtoto anachunguliani tu barabarani kauliwa, na hapo sio Gaza ni western Bank ambapo hakuna vita.
Your browser is not able to display this video.

3. Ardhi yenu inapokonywa kila siku watu wengine wanaletwa.
4. Hamna haki yoyote ndani ya Nchi yenu wenyewe ukitaka kusafiri tu mpaka Ruhusa ya Israel
5. Maji, umeme, na huduma Nyengine mpaka Israel akubali

Ungeweza kuishi mateso kama hayo kwenye Nchi yako mwenyewe? Sisi hatukupitia mateso kama hayo ila unaona kulikua na Vita vya Majimaji, kina Mkwawa, kimweri na wengine wakapigana sembuse wao?
 
Thibitisha Mungu yupo.
Sisi ni mungu, na maneno yetu ndiyo yenye uungu, kwa kubariki na kulaani, maneno yetu yakiambatanishwa na maneno ya malaika fulani fulani huweza kutengeneza au kuzua jambo, kufisha, kutia ugonjwa au kujulishwa yajayo!
-"HAPO MWANZO KULIKUWA NA NENO"
 
Watoto ni wengi sana humu utatumia nguvu kubwa kuwaelekeza lakini sifikiri kama wapo tayari kuelewa.
 
Hujathibitisha Mungu yupo, umeweka maandishi tu ambayo hayathibitishi Mungu yupo.

Hata mimi na baraza la wazee wa kwetu tunaweza kuandika "sisi ni Mungu", je, hilo linafanya Mungu awepo?
 
Kuna Video hata Siwezi kuiweka humu Inatisha, Israel amewaambia wananchi watoke North Gaza waende south, then Ule Msafara wa wanaokimbia vita akaupiga ni vitoto toto tu vimetapakaa kibao barabarani vimeuliwa. Barabara nyeupe kabisa huwezi sema labda kakosea Target
 
Watoto ni wengi sana humu utatumia nguvu kubwa kuwaelekeza lakini sifikiri kama wapo tayari kuelewa.
-Akili ya wapalestina kujitahidi kuonyesha Maiti za watoto ili waonewe huruma inanistaajabisha sana, ni jukumu la wapalestina kuikanya Hamas ikome kuanzisha mashambulizi ambayo mwishowe yanakuja kuleta maafa makubwa namna hii, pia dunia ni lazima iilaani Hamas kwa kusababisha vifo vya watu wasio na hatia., nashangaa dunia kutotoa karipia juu ya uchokozi wa HAMAS 7th October 2023.
 
Utoto una kusumbua siku ukikua na hayo mavuzi yako kuanza kuota mvi ndio utajua kwa nini wapalestine wana resist against walowezi, utajua kwa nini Babu na Bibi zako walikuwa tayari kuwa na imani ya kwamba risasi zitageuka maji ili tu kuwatia ujasiri kupambana against ushenzi wa wakoloni na wavamizi wa nyumbani kwao.

Babu na Bibi zako walikufa kutetea ardhi hii ambayo wewe upo hapa una jamba jamba tu upumbavu.

Watoto kubalehe na tumavuzi kuanza kuchomoza kuna waendesha vibaya mmejaza makamasi na upumbavu sana kwenye hayo mafuvu yenu.
 
Ndio nini hiki unaandika? Sisi kumfukuza Idd Amin ni makosa? Ukraine kumtimua Urusi katika ardhi yake ni makosa? Ila Palestina wakiwavurumusha wavamizi eti wanaitwa magaidi!!
 
Wanachapwa mno wee endelea kujifariji mzee.wangu
Hapo ndipo unposhindwa luelewa maana ya mpigania haki na mpigania tumbo.

"Shaheed" anatamani kifo kimkute akipigana na wenye kudhulumu. (unajuwa maana ya Shaheed)?

Labda clip hii itakupa fundisho:

Your browser is not able to display this video.
 
Hata wapalestina wangekuwa wakristo kwa asilimia mia kwa walichokifanya 07/10 kinastahili kichapo kizito mno.Gaidi ni kansa kwa ulimwengu wa kileo.Magaidi wawahishwe kwenye bikra 72 tuu
Ule ni ushindi mkubwa, na vijana wanaendelea kuwatia wazimu wayahudi, jionee kimbembe cha leo hiki:

Your browser is not able to display this video.
 
Ndio nini hiki unaandika? Sisi kumfukuza Idd Amin ni makosa? Ukraine kumtimua Urusi katika ardhi yake ni makosa? Ila Palestina wakiwavurumusha wavamizi eti wanaitwa magaidi!!
Sheria za kimataifa zinasemaje baada ya mtu/Jamii fulani kukaa / kuishi pahala kwa zaidi ya miaka 50.+........!
KWA JAMII ILIYOKAA MAHALI KWA ZAIDI YA MIAKA 60,NJIA YA KUMALIZA TATIZO NI KUJADILIANA PEKEE, KUWEKEANA MIPAKA NA KUHESHIMIANA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…