inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Maghorofa ya kkoo ni Kama ya Gaza,hakuna styleMbona kama Kariakoo!!!
Wamezima internet,tungeona mengiHawa jamaa wanapiga sana huko Gaza, ila tu wanajifanya kichwa ngumu. Na washukuru sana walianza na mashambuli ya anga, wangetia buti za infantry soldiers mapema wangejua hawajui.
Ndo ujue jeshi la Israel ni nyanya sana kuwa pamoja na kupigana na wapiganaji wanao tumia silaha za kienyeji bado ameshindwa kuwashinda alafu unajiita jeshi bora duniani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hayaajinga ysilolijua ni kuwa bila kupiga hayo magari hayajulikani alipojificha .Uko na vita, halafu eti usiue hata mwanajeshi mmoja, usiharibu hata kifaa chochote cha adui yako, hata kama adui huyo ananguvu za aina gani, yasipotokea hayo! Basi hao wapiganaji ulio nao ni mambuzi yote
Wamepiga hizo silaha sawa kabisa! Ila ki ukweli hiyo nchi imesambaratishwa na magaidi yanakufa kama senene!
Hawajifichi shimoni Tena,unataka tuwaamini Israel!?.. Israel hawaaminiki,waongo tangu zamani,Sasa hivi wamepunguza idadi ya wahanga wa shambulio la Hamas kwa 200+,kuhusu kuchinja watoto ilikua uwongo tu hawana ushahidi,kombora lilitua hospital halikua la Hamas ni lao,bado unawaamini!?Swali langu kwa waarabu mliopo Tanzania, kwa nini hawa Hamas wanajificha kwa raia as hospitali, shule, makanisa nk?
Uzima wa milele ndiyo, wewe Mungu wa kweli na yesu uliyemtuma...so yesu ni mtume tu siyo Mungu,we kumwabudu umetoa wapi!?Yesu ndio njia ya kweli na uzima,kimbia upesi kabla hujachelewa.
Kumiliki Gaza!?..hapo watawindwa na kuchomwa mmoja baada ya mwingineHayaajinga ysilolijua ni kuwa bila kupiga hayo magari hayajulikani alipojificha .
Matokeo yamagari kupigwa na wanajeshi kuuliwa ni Idf kuingia na kuimiliki Gaza
Kupigana na gaidi inabidi na ww ugeuke Gaidi.Na hapo usisahau usa naye yupo ground anasaidia lakini wanapata tabu na kikundi cha mgambo ndio maana netanyahu mashambulizi ya hezbollah anayavumilia anajua akilianzisha kule patakuwa hapakaliki
Yamekuwa hayo tena kaka.Hawatakaa kwa amani katika hiyo ardhi
Pale Netanyau aliposema usalama wa Gaza itakuwa ni wajibu wao baada ya vita ,nilijua tu hii vita ipo kati ya 65 hadi 90 . Kazi imeisha kilichobaki ni kusafisha tu.Ndo kusema Hamas hana chake tena pale Gaza. IDF wapiga picha ya pamoja wakiwa ndani ya Bunge la serikali ya kijihad ya Hamas.
Kweli mwaka huu israel mtoa roho kakamia.
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.(Yohana 14:6)Uzima wa milele ndiyo, wewe Mungu wa kweli na yesu uliyemtuma...so yesu ni mtume tu siyo Mungu,we kumwabudu umetoa wapi!?
Hamasi imevunjika ,Gaza utatawaliwa kwa mpito hadi uongozi sahihi upatikane.Hawatakaa kwa amani katika hiyo ardhi
Sema yale magaidi ya Hamas ni jihadi kweli kweli inabidi uwe na roho ngumu kama jiwe kupambana nayo. Ogopa sana kupigana na jitu lisilogopa kufa 🤣.Pale Netanyau aliposema usalama wa Gaza itakuwa ni wajibu wao baada ya vita ,nilijua tu hii vita ipo kati ya 65 hadi 90 . Kazi imeisha kilichobaki ni kusafisha tu.
Ushahidi wa mateka umewanyamazisha waliokuwa wanasema Israel inaua raia
Gaza haitakuwa na tunnels wala viwanda vya kutengeneza rockets huu ndiyo mwisho wao Hamas kumbuka kilakitu kinakuja na sababu yake hata ule uchokozi ambao HAMAS wamefanya October 7 ilikuwa njia Tu ya kwenda kupotea Kwa kundi lao.Hawatakaa kwa amani katika hiyo ardhi
Propaganda za Wazayuni wa UkongaTuli kuwa tunaliswa matango pori kuwa vufaru vya Israel havipigiki ,na hapo Hamas wanatumia Ant_tank walizo jitengenezea wenyewe kienyeji hivyo hazina nguvu sana na zina hitaji kulenga target kwa ukaribu wa mita mia tu, hivyo kuwaweka hatarini ya kuuawa kwa walengaji wa shabaha.
Hamas wange kuwa na ant tank za kisasa na zenye nguvu kama walizo nazo Hizbulah tunge shuhudia kiama cha vufaru vya Israel ndani ya gaza.
Kapewa na nani!?Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.(Mathayo 28:18)
Mimi nipo kwa Mungu aliyemtuma yesu,we endelea kumuabudu yesu uone utavuna niniYesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.(Yohana 14:6)
Mkuu kimbia uje kwa Yesu maana hata sasa upo katika upotevu wa milele,nakuhakikishia hapo ulipo huna amani,njoo kwa Yesu upate amani ya nafsi duniani na Kisha upate uzima wa milele.