LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums

mwisho wa serikali ya hamas umefika
 
Wafilisti wameyatimba mafuriko. Ngoja iron of swords iwafanyie kitu mbaya watajuta. Wakung'utwe halafu wazee wachukue Gaza na kujenga makazi yao
 
Duuh hawataamini
 
Wafilisti wameyatimba mafuriko. Ngoja iron of swords iwafanyie kitu mbaya watajuta. Wakung'utwe halafu wazee wachukue Gaza na kujenga makazi yao
Raia wote wameshaambiwa waondoke Gaza, kwani hakuna kinachoenda kubakizwa pale.
 
🇮🇱🇵🇸Official: The commander of the Nahal Infantry Brigade, Col. Yonatan Steinberg, was killed this morning during clashes with Hamas fighters in the Kerem Shalom area.

The Nahal Brigade is one of the main infantry brigades in IDF.
 
Attachments

  • IMG_20231007_232446.jpg
    39.4 KB · Views: 1
Sabato imeisha usiku wa kazi umeshaanza
 
🇮🇱🇱🇧The IDF Northern Command on the Border with Lebanon has been ordered to a State of Maximum Combat Readiness over fears that Hezbollah will invade.
 
Wafuasi wa munyaazi mungu shida yenu ni kwamba wakat wenzenu wanadamka asubhi kwenda shule nyie mnawahi madrasa, kama ubongo wako haujajaa maandishi ya kiarabu emu google #6 days war.
Information huko Google zinawekwa na akina nani? Nakushauri uwe una Google ktk mambo ya kielimu tu, sio huo ujinga
 
Leo hamas wamepiga hawa jamaa hadi wamesurrender imagine wazayuni karibia 500 washaangamizwa leo leo tuu hii ikiendelea hivi tujiandae kuona vifo vya wazayuni na kuheshimiana kukiwepo!!

Kudadeki kwa hasira Israel wataishia kuua raia tu
 
Aibu kwa Israeli kutangaza ipo vitani na nchi ambayo haina jeshi. Alafu eti ndio mnaipambanisha na iran, Israel itapigwa kama ngoma
 
Dhulma, labda huielewi historia, ilikuwa lianzishwe Uganda.
Achana na story za kubumba hizo. Yaani wakawabebe kutoka pale kwao kwao walipokuwa wanaishi miaka na miaka wakahamishiwe Uganda? Are serious kweli?
Au unadhani pale Israel hapakuwepo na Wayahudi?
Maana story nyingine huwa naona mnamezeshwa tu na nyie mnameza nzima nzima kama ndobe anavyomeza chambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…