LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wanasema USA wanataka kuivamia ndo maana wako tayari kwa lolote.
 
Hakuna vita ngumu kama urban warfare, imagine unapita katikati ya barabara ya mtaa na silaha halafu kulia na kushoto kuna majengo mabovu, mbele kuna magari mabovu. Hujui adui yupo kajificha wapi, unashangaa tu risasi zinatokea upande wa kulia kwenye kadirisha ka ghorofa lillilotelekezwa, unaanza kukimbia ku take cover kuja kuangalia wenzako kama wanne wapo chini.

Hii inapelekea Israel kupiga kila mahala baada ya kuchanganyikiwa, Hawa Hamas wanatoka nyumba nyingine kuelekea nyingine kupitia tunnels.

Lakini ukimwambia myahudi wa Namtumbo hakuelewi, Hamas hadi kuchimba hizo tunnels ina maana wanazifahamu sana sehemu nyingi na hayo mazingira kuliko hao vijana wa IDF, hata mission ya Navy Seal kwenda kummaliza Osama walifanya mazoezi kwa miezi kwa mfano wa nyumba ya Osama, hivyo vitani kufahamu maeneo au mitaa hasa urban warfare ni advantage kubwa,Hamas wanajua pa kuingia na kutokea, ku take cover, hao madogo wa IDF lazima waujue tu utamu wa asali.
 
HAMAS YASEMA IMESHARUSHA MPIRA,UKO MIKONONI MWA ISRAEL.NETANYAHU AKUTANA NA BARAZA LAKE KUUCHEZA MPIRA WA MATEKA.
wa kundi la Hamas linaloendelea na vita na Israel limesema wameshapeleka mapendekezo yake kwa viongozi wa Israel ili waweze kuwaachia mateka 50 wa mwanzo kati ya zaidi 240 wanaoendela kuwashikila.
Katika maelezo yao,Hamas wamesema wanachotaka ni kuachiwa kwa wafungwa 150 tu wa kipalestina walio ndani ya magereza ya Israel na pia kusitishwa kwa vita kwa siku 4-5 ili waweze kuwakushanya mateka hao na kuwakabidhi kwa Israel.

Sharti lao jengine ni kuruhusiwa kwa misaada muhimu japo kidogo iweze kuwafikia watu wao walio hatarini kufa kwa njaa na kwa kukosa matibabu.

Katika tamko lao hilo lililonukuliwa na vituo vya habari ikiwemo Aljazeera,Hamas wamesema hayo ni masharti mepesi sana waliyoweka ili kufanikisha kupatikana kwa mateka hao.

Jioni hii baraza la kivita la Israel linalojumuisha wabunge machachari wa kiyahudi limekutana chini ya mwenyekiti wake,jwaziri mkuu ,Benjamini Netanyahu

Kwa mujibu wa mwandishi Mahmoud Jamjoun anayefuatilia maendeleo ya kikao hicho cha Netanyahu ni kwamba mawaziri wawili tu wahafidhina ndio waliotoa matamko makali ya kupinga masharti hayo ya Hamas,lakini wengi wao wamesema watapiga kura kufanikisha mapendekezo hayo ya Hamas.

Kuachiliwa kwa mateka hao 50 kunaweza kukampa nafuu waziri mkuu,Benjamin Netanyahu ambapo ndugu wa mateka walioko mikononi mwa Hamas wameendelea kumuandama waziri mkuu huyo kuwarudisha ndugu zao ambao mpaka leo ikiwa ni karibu mwezi wa pili wa vita vikali hawakuweza kuwafikia na kuwaokoa.
Baadhi ya masharti hayo ya Hamas ni hayo


View: https://www.youtube.com/watch?v=m8ykj36uG2E
 
Hezibolla wameteketeza kambi na kikosi kizima Cha Israel

View: https://youtu.be/MVZwqDW8Ijw?si=EUoj_KZRwVF2ClgL
 
Kwa hiyo Hamas kaingia makubaliano ya kusitisha mapigano peke yake,we unafikiri kweli!?..netanyahu kaitisha vikao na Baraza la mawaziri na usalama kujadili sitisho la Vita
 
Qur'an ni kitabu takatifu hakishikwi na wenye mavi mpa akajitawaze awe msafi.

We ukisha wacha tembea na mavi karibu ukisome kitabu hicho utapata faida.
Ninyi hamna tofauti na makaburi yaliyopakwa chokaa, ila kwa ndani mifupa mitupu. Huko kutawadha kwawafaa nini ili hali uchawi, ubakaji, kufuga majini na uzinzi /uasherati kwa tamaa za kuoa wake wengi vyote vyenu.?.
 
Hamas ndio anabembelezwa sasa hivi na Israel vita isimame, na Hamas inasema lazima makubaliano yaendano ya wanayohitaji sio Israel inavyohitaji, hapo kazi ipo.
Yani shujaa Netanyahu abembeleze magaidi, you can be serious. No cease fire anywhere mpaka pedo zote za Wafilisti zikatwe.
 
Kwani hukuwahi ona parade za Hamas
 
Yani shujaa Netanyahu abembeleze magaidi, you can be serious. No cease fire anywhere mpaka pedo zote za Wafilisti zikatwe.
We nae una vituko, unakataa wakati waziri wa ulinzi wa Israel na vyombo vyote vya habari vya Israel vimesema inabdidi Israel iingie kwenye maamuzi magumu kusitisha vita na kukaa mezani na Hamas.

Unajua maana ya maamuzi magumu? Israel hii vita kajichanganya, sasa hivi Israel ni lazima akubali tu, kwa maana Hezbollah ipo njiani kuanza mashambulizi mazito, na Israel haina uwezo huo, Houthi wa Yemen na wao wapo mbioni, hapo hatoki mtu, endelea kujidanganya.
 
Hezbollah has attacked 8 IOF positions in the past 2 hours, including a factory belonging to Israel’s army defense company (Rafael), a tank & an israeli intelligence building!

It’s crazy to even think that these attacks are small compared to what Hezbollah is capable of!
 
Abu Hamza: We announce the death of the settler, “Hanna Katzir,” whom we had previously expressed our willingness to release - for humanitarian reasons - but the enemy’s procrastination led to the loss of her life. In light of this announcement, we renew our affirmation of disclaiming our responsibility towards our enemy prisoners in light of the barbaric and frenzied bombing on every inch. In the Gaza Strip

November 21, 2023
 
Daaaah😭sijui kwanini huyu nimeumizwa na kifo chake
 

Attachments

  • 20231121_234239.jpg
    44.4 KB · Views: 2
Makombora yao wamemua wakichelewa wataisha wote.
 
pic.twitter.com/ETemWN2106
[emoji736]heavy blow to Zionist evil invaders
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
good riddance
[emoji736]The killing of General "Daniel Sha'a", commander of the Rapid Intervention Division and the storming of complex fortifications...and his deputy, "Uri Noam", and more than 30 soldiers were killed or wounded, as they were targeted by the Qassam Al-Zuar suicide plane while they were gathering in Beit LahiaGood riddance.

Another general killed
General "Kamil Baram"... Commander of the Search and Rescue Corps of the Israeli Army. He is one of the pillars of the ground forces of the Israeli army
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…