LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hii hali imewachanganya wazayuni kiasi cha kikosi maalumu kuamua kugombana na kubishana na hatimaye kumiminiana risasi na wanne wakatangulia kuzimu

Israel kwa sasa imechanganyikiwa siku ya leo hawatokuja isahau mpaka siku wanazikwa!!

Kweli siku za mwisho za utawala huo feki zinakaribia

Amid heightened confrontations, the Israeli occupation's special forces, in complete confusion, ended up exchanging fire with each other, resulting in the death of 4 soldiers.

#Palestine
#OperationAlAqsaFlood
#طوفان_الأقصى
 
Mzee wa speech nzito
 
Aibu kwa Israeli kutangaza ipo vitani na nchi ambayo haina jeshi. Alafu eti ndio mnaipambanisha na iran, Israel itapigwa kama ngoma
Nani anayeipambanisha na Iran? Iran mwenyewe ndiye aliyetangaza kupambana nayo na kuifuta kwenye ramani ya dunia, labda ukawaulize Iran ni kipi kimeshindikana hadi sasa.
Halafu ukae ukijua vita ni vita na kila mtu atatumia silaha aliyo nayo.
 
🇵🇸🇮🇱Israeli Media: 200 Israeli settlers were killed and over 1,100 were injured since the early morning
 

Attachments

  • IMG_20231007_234644.jpg
    203.8 KB · Views: 1
Mpaka sasa habari latest zaidi ya Waisrael 285 Wameshauliwa na 235 Wapelestina Wameuliwa... Baadhi ya Makamanda wa IDF wameuliwa na kadhaa wametekwa! Dunia mpaka sasa imeshangaa imekuaje HaMAS wanamgambo wameweza kuivamia Israel nchi yenye Teknolojia ya ulinzi wa hali ya Juu... habari toka Ynet news ni news outlet ya Israel inasema Radars and suverilence equipments ware jammed ya HamAs hivyo Iron Dome zilikua useless... HamaS ni sawa na Panya raod dhidi ya JWT (IDF)...Panya road akiua ata JWTZ mmoja ni ushindi tosha...Panya road akiweza kuvamia Lugalo na kambi yoyote yakijeshi ni ushindi tosha dhidi yao..

Washingon imechanganyikiwa na imesema ipo tayari kuipa msaada wowote Israel...
 
Tanzania tunafuata siasa za kutofungamana na upande wowote. Tunapinga mauaji na uonevu wa aina yeyote.
Btw, hivi Israel walijiziuka namna gani mpaka wakaviziwa na kuchezea kichapo cha nguvu kiasi hicho?
Mossad na Iron Dome zilikuwa kwenye mapumziko ya Yom Kippur ?
 
Mkuu huyo T14 Armata hata usipo mtag usitegemee kitu cha maana kutoka kwake alikuwa zamani sasa hivi ana chambua kwa mlengo wa kushabiki.
Unacho sema ni kweli jeshi la Israel kwa sasa limekuwa la kawaida sana kwenye medani na hilo tumelishudia mara nyingi kuanzia vita yake na Hizbulah mwaka 2006 na tumelishudia mwaka 2014 kwenye vita ya gaza kiufupi hakuna maajabu yeyote niliyo yaona kutoka kwa IDF kwenye hiyo vita.
Lakini pia hili shambulizi limeivua nguo Mosad maana kwa udogo wa kieneo wa Israel shambulizi hilo ni la aibu kubwa.

Kwa mujibu wa takwimu na vifo mpaka sasa ni vifo 250 kwa upande wa Israel na vifo 233 upande wa palestina na maelfu wengine wamejeruhiwa kila upande.
 
Huelewi unachokiandika, hao wote ni Ashkenazi wa kut9kea Ulaya.


Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Israel, popote duniani, kabla ya mwaka 1948.
 
Nani anayeipambanisha na Iran? Iran mwenyewe ndiye aliyetangaza kupambana nayo na kuifuta kwenye ramani ya dunia, labda ukawaulize Iran ni kipi kimeshindikana hadi sasa.
Halafu ukae ukijua vita ni vita na kila mtu atatumia silaha aliyo nayo.
Wewe endelea tu kujiita uko vitani na nchi ambayo haina jeshi. Vita ikiisha mkae vijiweni kama kawa na kujisifia uhimara wa jeahi lenu
 
There is something wrong with this conflict, especially what happened at the Gaza-Israel border.

That border is one of the most heavily defended on the planet with cameras everywhere and lots of soldiers manning the defenses. Are you telling me that Hamas got lots of soldiers through the border defenses with there was zero Israeli military response for hours? And Hamas took Israeli hostages and returned to Gaza?

Is it too crazy to wonder if Israel allowed this to happen for a few hours so they would have an excuse for a massive retaliation?

Let's wait and see.
 
Huelewi unachokiandika, hao wote ni Ashkenazi wa kut9kea Ulaya.


Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Israel, popote duniani, kabla ya mwaka 1948.
Acha story za vijiweni hizo wewe, Ashkenazi Ashkenazi, nyie ndiyo mlienda kuwatoa Ulaya na kuwapeleka kule?
Israel walikuwepo pale wayback, na hata wakati Wapalestina wanatawala pale, Israel walikuwepo na ndiyo walikua wanapambana warudishiwe ardhi yao. Hata style ya kujilipua waisrael ndiyo walikua wanaitumia kabla ya huo mwaka taifa lao lilipoanzishwa.
Danganyaneni na wengine huko, lakini msije humu kutudanganya sisi baba zenu kiumri na kimaarifa
 
Vita SI Lele mama
 
Hatari sana
 
Revenge against the Fools and Killers is one of our great doctrine so you wait and see what unforgettable Lesson We're going to teach the Hamas, Palestines and the Arabs.
Unajua walokole mnaipenda israel mpk mnakuwa kama machizi eti revenge against the fool sasa kati ya israel na palestine nani anae revenge hebu fuatilia vyombo vya habari tangu mwaka uanze israel anashambulia mpk msikiti kuwatoa wapalestine wasifanye ibada kila siku wapalestine wanauawa na askari wa israel lakini hakuna aliekuwa anaongea leo mnasema mnataka kulipiza kisasi kipi yaani mnataka muwauwe tu wanyamaze akili matope
 
Swali

Kwanin waisrael wanazidi kuwa na akili na watu wnapigna vita muda wote Ni wapi wanapata muda kuwafundisha watoto wao


Je Vita HV kwa Africa Ni nni arhari zake

Mnk ss tuko tuko tu hatujui tumuunge Nani mkono magaid au wahalifu was harmas
 
Tuna kauafadhali.Sisi maneno mengi kusemana tu.Wale, kuanzia Afghanistan,Pakistan,Sudan, Somalia na samples hizo ni shida.Mihadarati inawapa ujasiri feki wakiitumia.
Pakistan wana nuclear bomb sisi tuna nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…