LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Rest in peace teammate[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mwanajeshi wa kiume Taifa teule akijiandaa kwenda vitani anajipodoa kwanza....Kama hawa ndo wateule wa God basi tumepigwa[emoji28][emoji1787].....Sijawahi ona jeshi lenye akili ndogo na uwezo mdogo kama hili duniani!!

Sasahivi wanataka ceasefire mara moja kwasababu washauona moto wa jiwe.....Wameanza kuomba ceasefire wakati ambao ndo vita ilikua ishakua tamu sana wakati ambao Hamas walianza kuwafundisha IDF maana halisi ya Vita

Siku ile nilivyosema Hamas waliwaacha Waisrael waingie zaidi ndani Gaza ili wawashughulikie ipasavyo nikasema hii mbinu ya Vita ya kumwacha adui ajae vizuri ndani...Wengi walinielewa humu wachache wakapingana na mimi...

.Matokeo yake mmeyaona Kwa siku wanafyekwa wanajeshi 30 hadi 40 wa IDF hadi sasa washakufa zaidi ya 4000 na majeruhi karibia elfu 12.

Naskia pia sababu ya kuomba mapigano yasimame ni kwasababu ya majaribio ya Makombora ya Supersonic kufanikiwa na ambalo haliwezi kutunguliwa na mfumo wowote ule duniani wakaona itakua soo Hezbollah au Hamas wakipata hizo missiles.

Kama ndo jeshi lenyewe ndo hili la wapaka poda mnatarajia nini?Sijawahi ona jeshi la hovyo kama hili hapa duniani...Hili sio jeshi bali ni mgambo tu hawa[emoji1313]
Your browser is not able to display this video.
 
Yani shujaa Netanyahu abembeleze magaidi, you can be serious. No cease fire anywhere mpaka pedo zote za Wafilisti zikatwe.
Sasa unachobisha nini? Kwamba netanyahu hajaitisha kikao kupitisha makubaliano yakw na hamas kwa kusitisha vita kwa siku nne na kubadilishana na wapalestina 150 ? Kabishane na tv yako sasa maana netanyahu keshasalimu amri, kashindwa kuwaokoa watu wake kwa njia ya vita
 
Kila mmoja anakumbuka October 7 wakati waziri Mkuu wa Israel akiitangazia Dunia kwamba hawatosikia kauli ya yoyote mpaka wawasagesage HAMAS na kuwachukuwa (kiwaokoa) mateka wao

Baada ya kipigo Cha mbwa Koko na kutejeshwa maiti Kwa makontena Israel na baada Vifaru kulipuliwa kama karatas wamepiga magoti mbele ya wanaume na kuanza kukubali masharti

Taifa teule limeanguka katika mikono ya vijana wachache wasio na chochote Zaid ya Hamasa na uzalendo


HAKIKA yajayo yanafurahisha
 
Kulikoni.?!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Why tellings viceversa!

ISRAEL IMEENDELEA KUPONDA PONDA TANNEL ZOTE, ZA HAMAS NI KWELI IDF ALMOST 400 WAMEFARIKI, HAMAS NDIO WAMEOMBA KUWAACHIA MATEKA IJUMAA, ILI WAPUMUE KIDOGO!
 
Ila wasibweteke sana Israel ni wajanja wa vita wasije wakawavutia muda kisha wakawasagasaga. Mwarabu wa Egypt wana historia yao
 
Your browser is not able to display this video.


Binti mmoja mdogo kabisa wa umri alimuuliza Mama yake, Mamaa naona wenzangu kule Ghaza wanauawa, wanateswa!

Kwanini Mwenyezi Mungu (S.W) hawatumii adhabu hawa Mazayuni? Mama akafikiriaa akamwambia👉 Mwenyezi Mungu (S.W) amesha-waadhibu mazayuni.

Vipi Mamaa? Akasema👉 ukiwaona hawa Mazayuni utamuona kwamba Mwenyezi Mungu (S.W) hayupo kabisa katika nyoyo zao, na ndio maana hata ukiwaona katika vyombo vya habari wanapokua wanajibu maswali unaona shari inayodhihirika kabisa wazi wazi katika macho yao na nyuso zao, ina maana hakuna adhabu kali kama Mungu au Mwenyezi Mungu awe hayupo kabisa katika moyo wa binaadam, lakini pahala pake huo ugumu, ukatili, unyama, kumbe Mwenyezi Mungu (S.W) ameshaanza kuwaadhibu Mazayuni kabla adhabu kubwa inayowasubiri kwa Qiyamani, jibu zuri kwa huyo mama!

Mkono kwa Mkono hadi Peponi!
 
Hii Vita pamoja na mambo mengine pia tunaandika na kuhifadhi kumbukumbu kwa ajili ya Rejea za baadae

Anayajua aliyeomba Vita isimame temporarily ni nani?

Ahsanteni sana 😄🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…