Ni kuomba Mwenyezi Mungu lakini hayo hayaepukiki. Yalikuwa yanafanywa kila siku na wayahudi lakini sasa wapalestina wameamuwa yafanyike huku na wao wanpigana, siyo wamekaa ytu.Nimeangalia kwny Tv station moja,da!Hawa jamaa walijipanga mda mrefu na kufanya mafunzo ila ni kuomba Mungu yasitokee mauaji hasa kwa raia wasio na hatia hususani kinamama na watoto maana yajayo yanahuzunisha
Ndio maana kumbe Palestina wananyukwa,kumbe wanatumia drones za kutengeneza Sido Yao? maskini Hawa ni wakuwaonea huruma tu itabidi waimbe msaada Iran hawana namnaWaisrael imeanza kuwanyeeshea tena usiku huu, sasa hivi waziri wao wa ulinzi kaomba msaada kwa nchi za magharibi ziwaongezee ulinzi wa mabomu ya mbali, hususan misail za sido za wapalestina.
Vijana wa ikipalestina wamerusha kama drone mbili, wayahudi wanshangaa wamezitowa wapi? Inasemekana hizo nazo wanaziunda sido ya gaza.
Unakumbuka Entebbe raid ya 1976?hao wakiwataka ndugu zao ni dkk 7 tu wanawakomboa halafu waone kichapo watakula hamna rangi wataacha kuona hao jamaa zakoWameambiwa waingie tu gaza, watu hilo walikuwa wanalisubiri.
Wapalestina walioingia israel alfajiri ya jana wamerudi na mateka wa kiyahudi wapo nao gaza, wamewaambia kina netanyahu rusheni mabomu yenu kwa ndege muwauwe wenyewe ndugu zenu.
Kimbembe.
Hawajaanza kupigwa leo, lakini kila unavyomuonea mtu ndivyo unazvyozidi kumjaza nguvu, kuanzia jana wameamuwa kama mbwai iwe mbwai.Ndio maana kumbe Palestina wananyukwa,kumbe wanatumia drones za kutengeneza Sido Yao? maskini Hawa ni wakuwaonea huruma tu itabidi waimbe msaada Iran hawana namna
Ndiyo wanye lakini watakumbuka tu, no free lunch. Wapalestina ni tofauti na wale mbwa wanaotemewa mate njiani na wao wameufyata tu.Unakumbuka Entebbe raid ya 1976?hao wakiwataka ndugu zao ni dkk 7 tu wanawakomboa halafu waone kichapo watakula hamna rangi wataacha kuona hao jamaa zako
Wameanza kulionja joto la jiwe. Wamejikunja kama panya kwenye mashimo, wanajambajamba hovyo hapo.
View: https://youtu.be/SvDnSkW0JFw?si=zc0lVMhg5aEC8fzt
Waisrael wanajiharia Hamas kawasukumia 150 Missiles Tel Aviv
Sawa ila majibu ya Israel yatakayotoka kwa wapalestina msianze kulia liaHhhhh tukubali tu leo Israel kapokea kichapo, na kama sio air supremacy, wakelambwa wengi sana.
Wapalestina hawajaanza kuliliwa na dunia leo wala jana. Labda huyajuwi tu. Sisi tupo nao mpaka mtu wa mwisho.Sawa ila majibu ya Israel yatakayotoka kwa wapalestina msianze kulia lia
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Wapalestina wanawajua vizuri Waisrael,we huoni majamamaa yanawashika mateka Waisrael?Unakumbuka Entebbe raid ya 1976?hao wakiwataka ndugu zao ni dkk 7 tu wanawakomboa halafu waone kichapo watakula hamna rangi wataacha kuona hao jamaa zako
Kuna wanaotemewa kama mbwa huko barabarani na wayahudi, wamekatazwa hata kutamka jina la yesu na wameufyata.😁We nadhani unajua Mapenzi yangu yalivyo kindakindaki Kwa Ukraine,
Hao Palestinian wanyukwe tu wanaleta ujuaji sana
Yaani bonge moja la series alafu liitwe fauda dah huu ni umamaKuna series inaitwa “Fauda” ukiiangalia utapata picha kidogo kuhusu hizi bifu zao. Ni bonge moja la series.
Yapo .. muislamu wa palestine amekuwa oppressed kwa muda mrefu sana .. yaani mtu anakuja kwako anakwambia toka hii sio nyumba yako tena anakuja kuwaweka mayahudi simply because kuna god father's nyumba yake wanamuwezesha kijeshi na kifedha ?! HAMAS are freedom fighters na hili ni jihad .. muislam hatakiwi kula mnyonge na pia tumeambiwa kwenye quran " kisasi ni haki" ingawa kusamehe ni bora zaidi lakini kwa wanayofanyiwa our brothers and sisters in Islam hapana ..Hapo hakuna mambo ya allah.... Kwa maana wote ni wauaji tu....
Kwa hyo atakae kuwa weak, ataomba yaishe, usiushe ugomvi huo na mambo ya dini
Kile ni Kisiwa na Vyema kikawa dependent kwa kila kitu kutoka bara ili siku kama ni wao au adui akitaka kuvitumia kuhujumu tunakata tu umeme mzee ns huduma zingineSasa nimeelewa kwa nini Tanganyika tumeamua kuwapa umeme Zanzibar, na hata wakati mwingine kufuta madeni ya bills zao
Wameuliwa Waisrael mia ngapi?Hhhhh tukubali tu leo Israel kapokea kichapo, na kama sio air supremacy, wakelambwa wengi sana.
Inafikirisha. Inawezekana kuna kitu dunia inajua wanajua. Haiwezekani kabisa ndiyo maana nasema yaweza kuwa intelligence failure an politcsKwa jinsi shirika la kijasusi la Israeli la mossad lilivyo na uwezo mkubwa Basi hii inanifanya niamini huenda hili jambo walikua wanalijua litatokea hivyo wameacha kwa makusudi kabisa litokee ili kuonyesha dunia uchokozi wa hamas na kupata sapoti kubwa pale watakapoanza kujibu mapigo, na hili linaenda sambamba kabisa na suala la Saudi Arabia na Israeli kutaka kuestablish diplomatic relationship. Hivyo Kuna mchezo Hamas na palestina wanachezewa bila kujua.
Hahaahha nimecheka sana mkuu.Hapa naona karibu tutaanzisha ngumi za kwanza za internet humu jf
Si umeona sasa wenyewe mnathibitisha dini yenu ilivyo ya kiluYapo .. muislamu wa palestine amekuwa oppressed kwa muda mrefu sana .. yaani mtu anakuja kwako anakwambia toka hii sio nyumba yako tena anakuja kuwaweka mayahudi simply because kuna god father's nyumba yake wanamuwezesha kijeshi na kifedha ?! HAMAS are freedom fighters na hili ni jihad .. muislam hatakiwi kula mnyonge na pia tumeambiwa kwenye quran " kisasi ni haki" ingawa kusamehe ni bora zaidi lakini kwa wanayofanyiwa our brothers and sisters in Islam hapana ..