LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Unaowaongelea ni hawa:

View attachment 2902220

Kwa hivyo waliokolewa lini?


View: https://twitter.com/Shayan86/status/1757190800155255078
Mtamezeshwa si matango pori tu, bali hadi mavi!
Shukrani sana bro, toka hii habari itoke, nilikuwa na doubt. Hii habari yao ya kuokoa mateka wawili imekaa kipropaganda sana. Nilikuwa najiuliza kwanini hii hapari itoke now wakati Israeli inapata upinzani mkubwa wa dunia ktk plan yake ya kutaka kuivamia Rafah? Nikahisi Israel inataka kuishawishi dunia na hiyo plani yao

Inawezekana maujiko waliokuwa wanapewa Israeli huko nyuma hazina uhalisia halisi. Ninaona aibu mimi kwa Israel kuja na propaganda ya kijinga namana hii. Manyumbu wengi wameshaanza kuwapa maujiko ambyoyo hawastaili hata kidogo

Last week Mwamba Putin alisema haiwezekani kuwashinda magharibi kwa propaganda. Israel ndio kinala wa propaganda na hii waliokuja nayo sasahivi inawatia aibu sana. Hamas walishawaachia hivyo vizee siku nyingi inachekesha kuona kikosi maalumu cha komando wa IDF kuitengenezea movi
 

Inatumika nguvu kubwa kuihadaa dunia.



Yanayowakuta watoto wa Congo yanawakuta watoto wa Gaza.

Israel anatafuta kuhalalisha kuwaponda UNRWA, kuhalalisha uvamizi wake Gaza na sasa kuivamia Raffah kwa namna yoyote.

Baba yake mwenye vita vyake huko huyu hapa:

Biden: Kuishambulia Raffah ni Operation yetu
 
Safi sana piga piga hapo Rafah ndio ngome ya mwisho ya magaidi wa dini, ukizingatia Misri imefunga mpaka sijui mtakimbilia wapi.

Yatima huyu DRC:



Anamuamusha mzazi wake marehemu waondoke.

Hata Gaza ni hivi hivi. Ni wapumbavu pekee wenye kuweza kukenua Kwa bashasha, kishabiki kwenye madhila ya vita kama haya.
 
two state hapo mashariki ya Kati ni ndoto, marekani na mpumbavu mwenzake israel wanaendelea kufanya maigizo kila kukicha.
Yaani wanajiongelesha Halafu bado mtu anaendelea na operation na hakuna wanalofanya.
Palestine aendelee kupambana mwenyewe Hakuna mtu wa kumsaidia hapo zaidi ya unafki wa magharibi.
Kama wameamua kufia katika ardhi yao wapambane tu hakuna muujiza wakuja kuwasaidia.
 

Nguvu za maskini ni nguvu zake mwenyewe.

Ikumbukwe:

Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS
 
Nguvu za maskini ni nguvu zake mwenyewe.

Ikumbukwe:

Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS
Huu ndio ukweli mchungu. Hakuna atakayekuja kuwasaidia hapo. Kuwepo kwa two state hapo ni mpaka marekani ashushwe kuwa super power kitu ambacho kiuhalisia bado kabisa hilo kutokea.
Waendelee kupambana ndio cha muhimu, wasiwaangalie jamii zao nyingine maana wote ni wanafki waliopo kwa ajili ya beberu marekani.
Watu maji hawana, wanakula chakula cha mifugo, mara misaada izuiliwe magonjwa aiseee.
Hakika wametengwa ni kumuomba mungu. ILA kusema kutengenezwa kwa nchi mbili wasubiri Anguko la marekani.
 

Unajaza server za watu mapicha ila itakuuma kweli kweli, ndio hivyo wameokolewa.
 
Hakuna kukimbia.Ni kufa au kurudi nyumbani.

Yeah...ukuta umezuia hawaingii kwa Wamisri, patapigwa mabomu hapo hadi basi tu....ndio mkome kumchokoza Myahudi, yaani Mungu wake anazidi wenu huyo.
 
Yatima huyu DRC:

View attachment 2902270

Anamuamusha mzazi wake marehemu waondoke.

Hata Gaza ni hivi hivi. Ni wapumbavu pekee wenye kuweza kukenua Kwa bashasha, kishabiki kwenye madhila ya vita kama haya.

Kuanzia leo anza kuongea ongea kuhusu weusi, acha kulilia waarabu kule ilhali weusi wanakufa huku.....dini inakutesa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…