LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mbona mmekazania ya wapelestina wakat hapo jirani congo. Sudani watu wanakufa kwa mtindo huo huo au mnajizima data?
Tumekazania ya watu kwa sababu wote ni ndugu zetu. Kwani wewe umefanya nini wapi?

Bure kabisa!
 
Jamaa umechanganyikiwa siku hizi hapa sijui umenitag na kuandika nini, ila ndio hivyo, kwa sasa hivi kipigo kimehamia Rafah

Uliyechanganyikiwa mbona ni wewe, kwa hakika nyani haoni kundule.
 
Kuanzia leo anza kuongea ongea kuhusu weusi, acha kulilia waarabu kule ilhali weusi wanakufa huku.....dini inakutesa sana.

Siku zote naongea kuhusu haki bila kujali iliko.

Ungejitendea haki kuwasema waovu bila kujali hata kama ni nduguzo au hata kama ni wakenya.
 
Huku familia za wengi zikipigwa mabomu huko juu, jamaa yeye na familia yake hawajawahi kupata shida.

============

WATCH: Hot on Sinwar's heels: IDF reveals footage of Hamas leader hiding in tunnel

The video marks the Hamas leader's first appearance since October 7 • Israeli forces will find Sinwar "dead or alive" - IDF spokesperson

IDF unveils footage of Hamas's Yahya Sinwar hiding in Gaza terror tunnel reveals footage of Hamas leader Yahya Sinwar in a tunnel in Gaza (IDF SPOKESPERSON'S UNIT)

Israel recovered a video of Hamas leader Yahya Sinwar in a tunnel under Gaza's Khan Yunis. The IDF revealed the video to the public on Tuesday evening.

Sinwar was captured on film on October 10 by a camera installed by Hamas, IDF Spokesperson R.-Adm. Daniel Hagari said that evening. The IDF has reportedly been operating in that tunnel in recent days. Hagari added that the video shows Sinwar fleeing with one of his wives and his children.

The IDF spokesperson noted that the IDF had arrested family members of Hamas terror leaders, adding that these relatives are "providing us with large amounts of intelligence."

 
Mapokeo
 
Nani akikudanganya hivyo?🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukisikia upumbavu bin utopolo ndio huu!
Ndio maana tunaamini kuwa hawa watu wana mungu wao kwani aliyowaambia haya sio yule Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo!
 
Toa ushetani wako, mnakuwa mbumbumbu ndo maana watu wanajitoa mhanga wakidhani wataingia peponi, Mungu hajui myahudi, mkristo wala mwislamu, bali Mungu anatambua wanaoishi maisha matakatifu.
 
Hayo ni mapokeo yake siyo ya waislamu wote, waislamu tunaamini binadamu wote ni ndugu
 
Huko peponi ulishafika mpaka uandike uharo!
 
Vipi sisikii tena yale makombora ya magaidi wa makamasi yanayorushwa toka hospitali na nyumbani mwao kwenda Israel kiholela holela kama yanaendelea, naona wamebanwa na IDF, dawa inazidi kuwaingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…