LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Dunia imewatelekeza Wapalestina....hii sio sawa hata kidogo.

Ee Mungu uwakumbuke raia wema wa Palestine...๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Wakiwa Msikitini hapo wanafanya ujahili wao, laanatullah alayhim


View attachment 3043376
tunaambiwaga kuna kitu inaitwa albadili, kwani wakichafua misikiti hivyo hamuwezi kuwaombea hiyo albadili, au hiyo inafanya kazi kwa wabongo tu? na yale majini ambayo shehe mmoja alisema mnaswali pamoja na yenyewe yakimwabudu allah, hamuwezi kuyatuma? jaribuni na njia hizo pia. au allah hana nguvu kwa myahudi.
 
October 7 mwaka jana ulikuwa ukikata mauno huku ukibweka Allah akbar Allah akbar.

R.I P our lovely brothers Joshua Mollel and Clemence Mtenga.
 
Sawa tu si wanajifanya viburi,Mshaambiwa ondokeni wafe Hizborah wanajificha kwenu hamsikii.

Sasa mnapokezana,wanatoka Hamas wakifa na kupungua wanakuja Hizborah.
Safi tuu acha wafe
 
Dunia imewatelekeza Wapalestina....hii sio sawa hata kidogo.

Ee Mungu uwakumbuke raia wema wa Palestine...๐Ÿ™๐Ÿ™
Tatizo ukimkumbatia mwizi, nawe utakuwa na ajenda moja na mwizi
 
Ingekuwa hivyo, afghanistan, libya na Iraq wangeshinda
 
Israel alichobakiza ni kufanya air strike, wasingeweza kutuma special forces kwenda eneo alipokuwa anadaiwa yupo Mohamed Deif, IDF wangemalizwa wote, kwa hasira wamepiga kombora nadhani toka vita imeanza hilo kombora ni la kipekee, ni kama kimtaa kizima kimepigwa, watu 90 wamekufa, majeruhi 300.

Vita inatisha, Hamas nao watalipa kisasi.
 
As a black man, honestly I feel nothing for Arabs, when ISIS was killing Christians, and non Muslim, Arabs, and Muslims all over the world, saw nothing wrong, and claimed it was justifiable,
Black are dying in Congo, Sudan, I feel for them, but for Arabs in middle East,! Collateral damage
 
Lengo la mzayuni ni kumaliza kizazi, ndio maana anauwa watoto, wamama na wazee
Si October 7 2023 ulikuwa ukikata mauno kwa weledi wa aina yake huku ukibweka allah akbar. Sasa hivi hata huko kubweka unashindwa na hata ukibweka unabweka huku umebanamarinda.

R.I.P our lovely brothers wakulima namba moja Joshua Mollel na Clemence Mtenga (mromboo)
 
Mafilisti washauriwe kuacha uchokozi wa kijinga! Wakivuka mtihani huu wasipojifunza watakuwa wajinga wa milele.
 
Wavaa kibazi mna maujinga mengi sana. Haiwaumi mauaji ya Congo, Sudan wala Ethiopia ila hao waliokibembeleza kifo makusudi. Kajichanganyeni huko mhesabiwe na nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ