Sasa yule Mumeo ambaye alikuwa ameomba UN security Council iwasaidie kutafuta amani alikuwa anaingilia nchi isiyomhusu?Sikiliza kaka Mqundu...
PA inatawala West Bank.
HAMAS inatawala Gaza Strip.
Ha ha ha ha ni kweli, pia shukrani kwa kuipa ufafanuzi.Muelezee CDO nini asije akadhania ni Community Development Officer, hapo unamaanisha Commando.
Wapalestina asili yao ni Kanaani walikuwepo eneo hilo tangu zamaniJe wapalestina walitokea wapi kuishi hapo?
Mkuu labda nikulize wayahudi wapi hao wa Ethiopia na walifikaje? Ethiopia.Wayahudi Gani! unaowazungumzia wew Kama ndio hawa feki wa kizungu ambao sio uzao wa Ibrahim basi niseme unaota, maana wayahudi asilia ni wale wa Ethiopia ambao wamekuwa wakifanyiwa figisu nyingi na wayahudi feki wa kizungu mfano kuondolewa vizazi.
Lakini ukweli uliomchungu ni kwamba wayahudi asilia kwa asilimia kubwa ni wabantu wa afrika.
Hizi story unazitoa wapi?Si kweli mkuu, yaaqub mwenyewe ambaye ndio israeli alikaribishwa na waarabu wa kanaan hapo palestine na mmoja wa wake zake ni mkanaani, hawa waarabu ndio wenyeji wa mahali hapo tangu kale.
Na ukumbuke hiyo ni ardhi takatifu, mpaka walipoandikiwa kuingia hapo kutoka misri utumwani miaka zaidi ya 400 toka kufa kwa yuusuf amani iwe juu yake, na walikataa.
So kwa asili wakanaani wametangulia hapo kabla yaaqub baba wa waisraeli hajafikiriwa kuzaliwa.
Teh teh waje tuWatakuparura ngoja waje washika dini.
Mungu huyo hayupo.
Angekuwepo, Na ingekuwa kweli Israel ni Taifa lake teule, Ange zuia Roketi za makombora ya wapalestina zisiwafikie waisraeli.
Lakini Nothing happened.
Waisraeli hao wanakufa kama kumbikumbi.
Mkuu hii vita haiwezi kukoma kwa sasa. Hamas walifanya timing kubwa, tena kwa asilimia kubwa wakishambulia watu waliokuwa kwenye sherehe zao huko. Wale magaidi ukiwaangalia vizuri, kuna watu flan siyo weupe, ni kama Wasomali au Wahabeshi au Wairan. Wakati wa mashambulizi haya wananchi wakishangilia kwa furaha.Mi Ustaadhi ila sitaki vita iendelee wanaokufa ni watoto na Wanawake huku Hamas wakiwa wamejificha kwenye mahandaki na Mateka wao hii vita Iran na Hezboraa wapo ndani ingawaje hawajaongea Biden na Chama chake ni wachochezi sana na Vita tunaweza kuona ikiendelea kama Ukraine huko badala ya kutafuta suruhu...
Nani ana uthubutu wa kurusha hata risasi iran?Iran imesema ikishambuliwa itaelekeza mashambulizi Israel kutokea Iraq Yemen Lebanon na Syria
BREAKING:
Iranian officials say that if their country is attacked, there will be strikes on Israel from Lebanon, Yemen and Iraq, as well as the sending of fighters from Syria.