Yanayonikuta London, Uingereza - Part 2

kwenu ni masikini kiasi gani hadi ung’ang’anie Uk london??
 
kwenu ni masikini kiasi gani hadi ung’ang’anie Uk london??
Mimi nimeishi hapa zaidi ya nusu ya muda wangu. Kwa maana maneno mengine nimeishi UK muda mrefu zaidi ya nilivyoishi Tanzania. Nilikuwa nimeshajenga maisha yangu hapa. Na kubwa zaidi nina watoto hapa. Haya yalioyotokea yameanza miaka ya karibuni.
 
Rudi home utibiwe mkuu ushapigwa jini baya sana.....

Wazungu hawana ubaguz huo sema wew ndo upo na shida mkuu may be Black magic inakusumbua.......
Kwani wale ni malaika acha uduwanzi mkuu.
 
Waliofuata nyumbani ni madaktari wa kawaida au wa magonjwa ya akili na therapists?
Ni muhimu utoe majibu ya maswali haya.Kama ni Home Treatment
Team madaktari waliokuja wame specialize kwenye magonjwa yapi?Kama ni magonjwa ya akili jiulize kwanini?Yaani ilitokea tu wakaja kwako bila historia ya tatizo lako?
Just thinking loudly.
 
Give me the hints; Are you not among of the inner circle of ADM,a former ZSO and now the RSO in one of the strategic Region ???? Be frank please.

Because all of your Codes are intact with the issue that relates to that person. That is not an alternative way to express that ongoing the clandestine covert ops?

Your story just goes with conformity to the story of the above-mentioned person. Let me dig more deeper and deeper. I will be back here again in the future coming days.
 
Una maradhi ya akili ila inarudi inakataa
London ipi hiyo unaishi
Hospital watu wanaenda ila labda uliingia kwenye anga zao
Network sio nzuri, bullying sio sbb ya ww kupata hayo matatizo, una matatizo ya akili ndio yanaanza, toka UK rudi kwenu

No, bado hamjamuelewa Mleta mada.
Mtu huyo ameamua kutumia njia hii ili kuweka wazi masuala ambayo kwa mujibu wa maadili ya viapo vyao huwa hayapaswi kuwekwa wazi, isipokuwa tu kwa kutumia Codes au kwa kutumia njia ya kuisukasuka habari kama hivi alivyofanya. The Art of the Black Magic!
 
Hapa utakesha
Kutaja Home treatment Team umedhihirisha wewe ni mwehu, hiyo team ni kwa ajili ya vichaa
Wewe ni mwehu unawapanga humu, ulitakiwa uwe kwenye mental asylum BEDLAM, ushafahamu

View attachment 3107377
Tabia ya viazi ni kuhamisha magoli. Wewe uliandika hivi, β€œNaijua NHS nje ndani usilete upupu wako humu kuaminisha waporipori”. Halafu ukaendelea kuposti hivi β€œhakuna dokta anakufata nyumbani kwako UK”. Hii imethirisha una tabia za kujifanya unajua. Kama ungekuwa unajua NHS nje ndani, usingeposti huo upupu.

Nikakuelimisha kwamba doctor wa NHS anaweza kuja nyumbani. Nikakupa mfano wa Home treatment team na Baadhi ya Rapid Response.
Hakuna sehemu nimesema nipo under Home Treatment team. Na nilisema huyo doctor nimekutana naye mara moja kwa ajili ya hizo shocks na assessment ilikuwa niya muda mfupi.
Halafu unaonekana una dharau sana watu wenye magonjwa ya akili. Na hii tabia pia ipo kwa Watanzania wengi. Wakipishana na mtu kioja anarukia ni kichaa.
Na hii ndio inachangia Watanzania wengi kuogopa ku seek for help pale wanapokuwa na tatizo la afya ya akili.
Angalia hapa chini wenzetu walivyo wawazi:

Prince Harry sharing his mental health struggles deserves our compassion, not criticism​

Link hapa: Prince Harry sharing his mental health struggles deserves our compassion

Prince William's mental health crisis: Duke reveals how he was engulfed by a dark cloud of depression after his air ambulance dash to accident involving a boy close to George's age left him feeling 'like the whole world was dying'​

Link hapa: Prince William reveals mental health crisis in frank new podcast
 
Huyo doctor nimekuta naye mara moja na kwa muda mfupi. Chanzo ilikuwa ni hizo eletrical shock- like na sharp needle pain.
 
I can assure you that I am none of those.
 
Huyo doctor nimekuta naye mara moja na kwa muda mfupi. Chanzo ilikuwa ni hizo eletrical shock- like na sharp needle pain.
Hiyo Hali yako jitahidi uanze kurudisha afya yako ya mwili ikae Sawa, watu hatakuelewa kabisa maana hawapitii ulichopitia, huko polisi pia wanaweza kuwa wanakufatilia baada ya kuripoti wakataka kujua nini kilikupata, ni kitu ambacho huwezi kukielezea watu wengine wakakuelewa maana nadhani Huo mfumo ulivyotumwa uliwafikia watu wachache hivyo wengine hawakuhisi chochote, ni mfumo unatrack background yako na mahusiano yako na dini, watu unaowafahamu, na inakuletea vitu vyako vyote kupitia mfumo unaoitwa mind reading, yaani ni shida Sana cha kufanya jitahidi uondoe makosa pale ulipokuwa unapitia ni vitu gani uliharibu na mahusiano yako uliyoharibu, Huo umeme ndo unakujulisha walihack mind yako ikaanza kuwa controled, jitahidi kurudisha mambo yako Sawa maana hata ukimbia huko utajikuta ni mfumo tu ulitumika kukuwekea believe yao waliyotaka uipate na siyo kukufatilia, na ndo maana wengi wanadhani ni ugonjwa WA akili lakini siyo Bali ni kitu kinapita kuchukua mind reading za watu so inategemea kilikukutia wapi.
 
Kuna swali watu wawili wameniuliza. Mmoja ni huyo doctor na kabla ya hapo niliulizwa na mtu mwingine. Nimebaki nikijiuliza kwa nini wameniuliza!
Nimekusoma!
 
Vunga Kaka ndiyo maana Mimi na yeye tushapanga kusaidizana hapo jumamosi nitakapo mrejesha hapa nyumbani specifically kaskazini .
 
Vunga Kaka ndiyo maana Mimi na yeye tushapanga kusaidizana hapo jumamosi nitakapo mrejesha hapa nyumbani specifically kaskazini .
Mmmhh! No.

Mkasa wa jambo hili umekuwa ukifuatiliwa kwa karibu zaidi tangu muda mrefu Sana. Tayari taarifa za kutosha zimepatikana, kazi Kama tayari imeahafikia hatua Kama ya 90% hivi.
So, I can't buy your idea.
Endapo kama ningekufahamu wewe binafsi japo kwa 50% tu, ningekutumia sehemu ya taarifa ili ujionee wewe mwenyewe na ili upate kufahamu sababu za kwa nini Mimi nimekuwa niki-respond kwa namna hiyo ninayo-respond.
 
Binafsi nimeelewa sana ulicho kiandika kwamtu anae kurupuka hawezi kukuelewa.
Ngoja badae kidogo nintakuja kwaushauli wangu pia.
 
Kwanini iwe wewe tu? Kwan london nzima uko wewe tu mkuu mpaka wakuandame namna hiyo??
Jaribu kuhama bas sogea mahala pengine au nchi nyingine
 
Pole sana mkuu dahh!!.. Haiwezekani kuja kufanyia kazi homeland au sehemu nyingine??? Why you then???

Wasije kukutoa roho huko!


"Go East go west home is best"



Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…