Yanayonikuta London, Uingereza - Part 2

Ntarud hapa kusoma ngoja nitimize majukumu ya kitaifa.
 
Your house is haunted
 
Unahitaji msaada wa Kiroho..! Yale ambayo huyaamini ndo yanayokupeleka chini...!

Hii Dunia tunaishi ni Spiritual, ama Unaamini ama huamini, chochote kinachotokea kwenye hii Dunia kilianzia kwenye Ulimwengu wa Roho...!

Kutokuamini hakukufanyi ukawa salama.
 
Namaanisha wewe ni mtanzania Sasa unalia Lia nini kwenye nchi za watu na kwenu kupo ?
Ndiyo maana nasema rudi haraka nyumbani sisi hatuwezi kuvumilia kuendelea kukuona unalalamika mauza uza alafu uko kwa watu si ni kututia aibu huko ?
Mkuu ilipa shida kufikia uhamuzi wa kirudi nyumbani kwa sababu hapa nimeishi zaidi ya nusu ya umri wangu.
Lakini sasa hivi nina subiri ubalozi wa issue emergency travel document
 
Mtafute Chris Lukosi aka Mzee wa madungu jeshi akupe ramani ya kuishi jiji la London.
 
Mkuu,
London ni ya UK.
Nimeandika nilikuwa nina fanya kazi hospitali ndio ilipoanzia ku experience bullying na baada ya kuacha ikaanza mitaani.
Unaposema hospitali watu wanaenda sijui unamaanisha nini!
Ninamaanisha kutibiwa na hata kazi
Najua jamaa zangu wengi na watoto wetu wakifanya kazi hospital za 🇬🇧
Kuanzia Dr's mpaka nurses na hata alienipima last week na kuniingiza kwenye scan alikuwa msomali msichana
Nawajua wengi sana hospital za london na hawana tatizo
Wewe ni mgonjwa unahitaji matibabu mkuu
Hakuna ubaguzi kazini ila wewe unavyojiweka
Nimekaa mwaka wa 34 london sijapata matatizo nao
Nimesimamishwa na polisi mara moja tu maishani
Sasa nashangaa tuhuma zote mara unatumiwa mionzi
Kama ni shushushu na umewasaliti wangekumaliza zamani
Unaumwa ila akili inakuambia mengine
Nenda Hospitali ukatibiwe
Hospital za London zimejaa watu weusi na wana furaha na kazi zao au nikutajie ukazione?
 
Kisa chako ni kigumu sana kuelewa tokea mwaka jana.

Ila kwa ninavyoona wewe utakuwa na electromagnetic hypersensitivity disorder(EHS). Mawimbi ya sumaku-umeme yanakuathiri.

Hiyo bullying 'inayotokana na incorrect beliefs' hata sijaelewa. Kwamba walivyojua wewe ni mtanzania wakakuona mchawi?

Andika kisa chako vizuri tukielewe.
 
Mkuu, hivi umenisoma kweli. Nimesema kwenye report ameandika ambacho sijamwambia na report ninay na nime faili malalmiko
 
Acha utoto…kama ujaelewa sehemu omba ueleweshwe au pita kimya

Paranoid! hamna mtu anakuhaunt kiongozi, nani anawekeza kwnye mambo ya namna hiyo? Pick your mind and look what's wrong au nenda kwa wazee wako kakanyage ardhi ya baba na mama huenda umekaa nje sana ukasahau ulipotoka! I know what I am saying, nimehudumia watu wa namna yako wengi tu
 
Rudi nyumbani jomba!

Umri umeenda na huoni future akili inakataa kuamini, lazima udate. We hujalogwa wala nini jomba, we una 'slesi'! Kwa lugha nyepesi umedata! Moja haikai mbili haikai. Ukiangalia wana uliowaacha bongo wa umri wako life limesonga wana familia nzuri, wamejenga, wana kazi stable, wanasukuma mandinga makali, mabata kama yote

Njoo tufuge nguruwe kerege huku.
 
Kwa nini ikupe shida kurudi nyumbani hili nalo tatizo mkuu.
Nyumbani pagumu hapo juu kuna sehemu amesema ½ ya umri wake ameishi London so kama ana 50 25 yote hajawahi kukaa hapa labda kutembea tu hivyo unaweza ukaona jinsi ilivyo ngumu kurudi kichwa kichwa.

Hii huwasumbua wengi sana waliosoma wakaondoka nje muda mrefu maana kuondoka halafu arudi kuanza from scratch bongo mtu anapagawa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…