Yanayonikuta London, Uingereza - Part 2

Ni kweli lakini lazima nirudi. Yanayondelea ni ukihukaji wa haki za binadamu. Doctor kuandika uongo ili ku maintain narrative hakuna kitu kibaya kama iko
Hiyo Hali unayopitia ni ngumu MTU mwingine kukuelewa, niliwahi pata tatizo kama Hilo nilichogundua kuna mambo yanatokea katika mfumo wakati wengine hayawatokei hivyo ni ngumu kukuelewa, hapo kusema ni ugonjwa WA akili ni Sawa kwa vile unachopitia wengine hawakioni, wewe hama mazingira unayokaa na ujitahidi kufanya yanayokuepusha na ubaya utakaa Sawa tu.
 
Huna tofauti na dr shika ,unaimagine vitu ambavyo havipo,fear for unkown,unahitaji msaada wa kisaikolojia ,dish linacheza linarudi kidogo then linapotea tena
 
Hata hao wazungu wanakushangaa na hayo maswali yaliulizwa taratibu tena kwa vituo ila hilo wenge lako ndio ulikua unahisi muulizaji yupo spidi anachanga mafaili
 
Una shida mahali, nakuombea kila la kheri upate na kufanikiwa mambo yako
 
Wacha ku divert mambo.
Ficha ujinga wako
Wewe umehitimishaje hakuna anaye ni buli. Haujuwi maisha yangu ya kila siku zaidi ya kunisoma hapa!
Again ficha upumbavu wako
IlLussion tu hizo,UK kuna blacks kibao,why,only you,??labda unafanana tofauti na binadamu wa kawaida,niamini una mental case
 
Ni mpaka usome komenti zote ndiyo utajua jamaa anaumwa nini yaani usiache hata komenti moja

Jamaa ana ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu ndiyo maana kuna member humu amempa mbinu moja awe anaandika vitu anavyofanya leo na kesho na keshokutwa ili haone vitafanana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu ilipa shida kufikia uhamuzi wa kirudi nyumbani kwa sababu hapa nimeishi zaidi ya nusu ya umri wangu.
Lakini sasa hivi nina subiri ubalozi wa issue emergency travel document
Ulikaa black thats it,
Au ulipokwa baada ya kufanya uhalifu
Hizo nguvu za giza sometime unatumiwa toka home pia.
Jambo la kujiuliza ulifanya biashara gani hapo nyuma ya kutafuta pesa mingi mpk jamaa
Wakashtuka wakachukua vyti na passport zako km ulikua nazo.
Hayo mambo ya kuja kutumiwa madaktari.
Haiyumkini ulikaa jela,
Na una kifungo cha nje.
Otherwise hakuna mtu angekujali hivyo hapo UK kila mtu na mambo yake.
 
aliye karibu na huyu ndugu anaweza kumsaidia kisaikolojia?
 
Mkuu mtu akifuatilia kwa makini maelezo yako kuna mambo mawili anaweza kuyagundia, moja ni nini tatizo lako ( anaweza kuhisi ), na mbili ni kuna story ambayo hapa hujaiweka wazi lakini katika comment kama unaichomeka chomeka kiaina
 
Mizimu ya kwenu ikikutaka urud jimbon inakuaga na visanga sana hata kupndua kila rpot wengne mpka walionekana n hiv postve walvyorud kwao wakarecover na kuendelea na harakat
 
Napenda sana sec zao
Wanaweza kukuangalia wewe ukipata hofu gafla
Wakiona unedata wanachumba special relax heehee unaenda wap kwanani kufanya nn unavisa gani jichanganye uone
 

Huna kwenu? Wacha wakuue
 
Ila huko nje jamani wana huduma nzuri sana za afya unafuatwa nyumbani na dr. Wawili wakuhoji tu..
Ungekuwa huku sahii na huo ugonjwa wa akili ulionao ungesha pelekwa kwa mwamposa ukemewe mapepo hadi ukome..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Atakuwa anamatatizo huyu ya maradhi ya akili yanamuanza. Upweka nao alionao ni mtihani mwengine,rudi nyumba bro hutahitaji kwenda kwa daktari,mkusanyiko wa watu ni dawa tosha + ukipata mke.
Kama matatizo ya akili yananianza. Sasa kwanini Doctor haandike report ya uongo. Huoni kuna kitu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…