Yanayonikuta London, Uingereza - Part 2

Wewe una tatizo. Hao mabeberu unawasingizia tu. Kama huna hela za kutosha na hukuwekeza TZ nakushauri usirudi. Nenda hospitali katibiwe endelea na maisha hukohuko UK.
Kama nina wasingizia. Kwa nini kwenye report ya doctor iwe na mambo ya uongo?
 

Nadhani pia una tatizo la kisaikolojia. Rudi nyumbani. Na ukiwa sometimes na hilo tatizo unaona wenzio au wengine ndo wanakukosea wewe. Siyo wewe unakosea. Nimekusoma nimeona tatizo ni wewe una msongo wa mawazo. Na hilo kwa maisha ya Uingereza linawakuta wengi tu.
 
Na doctor kuandika mambo y uongo kwenye report yake paranoid

Daktari anaandika "Objective data" yani anachokiona kwako, mwilini na mazingira yako kama kaja kwako na pia anaandika ulichosema "subjective data" sasa kwa ujumla sioni daktari aje kwako kikazi hakujui wala humjui zaidi ya kazi yake aje kukuundia stori. Inakuwaje aandike taarifa za "uongo" against you. Na maelezo yako yote yanaonekana ni ya kufukirika tu, hayapo organized pia, hayana "empirical evidence" ndo maana nakushauri upate ushauri wa Psyche or Psycho utapata msaada. Wabongo bdo tuna stigma sana kwa magonjwa ya akili na hatupo tayari kuchukua hatua ya kutibiwa kwa hiyari mpaka mtu aje apate mental breakdown apelekwe kavua na nguo.

Dalili kubwa za mental problems ni lack of insight (kukataa huumwi, wkt wengine wanakuona una dalili kbs kama members hapa), hallucinations (visual, tactical, na paranoid) then illusions na kwa ujumla maelezo yako yanaconcide kbs na hizi dalili kwa njia moja au nyingine. So madaktari waliokuja kwako wapo sahihi kabisa. Hivi vitu vinatokea sana huku tulipo nci za watu na especially kama unaishi peke yako, huna mke, huna mtoto wala marafiki, so usiogope kuchukua hatua na kukubali unahitaji msaada toka kwa wengine sasa, akili yako ishafikia mwisho.

Chukua hatua kama utataka
 
Una tatizo, jitahidi uliwahi kabla halijafika point of no return, na limebakiza hatua chache sana kufikia point hiyo
 
Wacha ujinga wewe.
Una chochote cha kusema kuhusu doctor kuandika report ya uongo.
 
Wewe ni mdogo wake makanyaga bila shaka.mzee wa mkasa wa covid 19.
 
Fafanua unamahanisha nini “hii ya hapa ni tofauti”!
 
Usikute ndugu zake huku tz ndio wanampiga kipapai , acha kabisa
Wabongo kwa ulozi wako njema
Sasa we mwache ajichanganye arudi huku ,ataokota Makopo kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
Hata nikioka makopo leo sio kwa ajili ya kipapai! Hizi imani potofu ndio zinaturidisha nyuma.
 
Mkuu hakuna cha kukosea hapo. Doctor aliuliza, if I believe in black magic. Nikwambia, I don’t believe in black magic… I think it full of bullshit!
Yeye kwenye report akaandika kwamba mimi nimemwambia kwamba watu niliokuwa ninaishi nao kipindi cha nyuma wameniliga. Ambacho sio kweli. Halafu kilichonitia hasira zaidi miezi michache iliyopita kuna watu walitaka kunilisha haya maneno. Nikapinga na pia karibu tukosane.
Baadae wataanza kusema hata kilichotokea wakati ninafanya kazi hospitali ni mimi ndio nilieneza hizo imani potofu. Wakati mimi ndio nilikuwa victim na nika resign.
 
Umenena vema mkuu. Asante
 
Huna tofauti na dr shika ,unaimagine vitu ambavyo havipo,fear for unkown,unahitaji msaada wa kisaikolojia ,dish linacheza linarudi kidogo then linapotea tena
Badala ya kujaza ujinga wako hapa, ungeruka kimya kimya
 
Hata hao wazungu wanakushangaa na hayo maswali yaliulizwa taratibu tena kwa vituo ila hilo wenge lako ndio ulikua unahisi muulizaji yupo spidi anachanga mafaili
Unapoandika “hayo maswali yaliulizwa taratibu”. Ulikuwepo wakati akiuliza hayo maswali. Ficha ujinga wako
 
Dogo unaumwa..unahitaji msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…