Yanayonikuta London, Uingereza - Part 2

Kuna namna Kwa kweli- story imechanganya na dish kuanza kuyumba… msaada wa haraka unahitajika…electric wavelength mtu anatumiwa…?hii huwa naisikia tu Kwa wanaoamini uchawi. Doctors kazi munayo…
Soma vizuri nilichoandika. Nimesema, feels like electrical shock and sharp needle pain. Lazima zitakuwa some sort of waves lakini sijui ni waves za aina gani.
 
Kesi yako ni ugonjwa wangetaka usingeweza hata kujibishana humu
Kusema docta ameandika mambo ya uongo kwenye report. Hii ipo kwenye makaratasi. Sio nina jisemea tu na nilipo ongea nae kwenye simu alisema atabadilisha. Lakini nikamjukisha kwa ni file malalamiko kwa sababu asingeandika mambo ya uongo.

Kuna watu walishanionya kuhusu kuendelea kulala electrical shock-like. Jamaa akawa anionya nitapoteza maisha nikijifanya mjuhaji na mwingine nikwambia siogopi nikaendelea kulalamika akakimbia.
Nenda hata private hospital ukatibiwe
Zipo top hospital Harley Street london ila bei zake uwe umejipanga haswa
Nilimpeleka mwanangu
Consultation tu ilikuwa £400
Matibabu yoyote utakayo pata NHS ndio hayo hayo utakayo pata Harley Street. Ma doctor asilimia kubwa ni hao hao wanaenda kufanya private extra hours.
Tofauti ni muda. NHS utakuwa kwenye waiting list kwa muda mferu. Ukienda A&E utachomeshwa mahindi masaa kadhaa kabla ujamwona doctor. Hiki ndio wanachoepuka wenye pesa wanaona bora waende private na wapate huduma haraka haraka kuepuka karaha za kusubiri.

Mimi nilishawahi kwenda clinic moja Harley Street miaka kama 17 iliyopita. Kifaa walichotaka kuniuzia kipindi iko nadhani ilikuwa kama £3000. Sasa hivi kifaa iko iko unapata Ebay sio zaidi ya £200
 
Mfano jamaa ameshindwa kujua kwanini wale madoctor walitaka kumuoji hakiwa chumbani kwake ? Kuna kitu walikuwa wanachunguza bila ya yeye kujua.
Ofisi ni kwamba kuna uwezekano wa watu wengine kusikia na chumbani hakuna. Na huo ni unamuzi wa patient. Mimi nilipojulishwa kwamba doctors wapo reception. Akaniuliza kama nina taka waje chumbani au ofisi downstairs, nikasema ofisi. Lakini nilipofika reception, doctor akanishawishi tufanyie chumbani. Nikaona hakuna tatizo lolote.

Wewe unahisi ni kitu gani walikuwa wanachunguza!
 
Ndugu hauko sawa kifikra, mawazo na akili. Na kama unaonwa na daktari, nafikiri wanaokuzunguka wameshajua kuna mambo hayako sawa juu yako. Nachelea kudhani ya kuwa utanichukulia na mimi ni moja wao. Kama una WaTz karibu washirikishe ili angalau wasimamie kwa kiasi fulani yanayojiri kuliko kufanya mambo kivyako na hao wazungu.
 
Huyo dokta umemtengeneza kichwani kwako kwenye stori yako, hakuna dokta anakufata nyumbani kwako UK
Wewe una msongo wa kukamatwa na kurudishwa unatengeneza mbaambaa, rudi tu nyumbani kumenoga
Wewe kiazi kweli….
You didn't even use Google before making that stupid comment.
If you had googled. You could have found different pathways. For instance, Home treatment teams. Even GPs can make home visits, but it depends on your circumstances. Some rapid response teams also have doctors.
 
Mimi nina doctor wangu wa miaka mingi (GP). Nanilisha mweleza matatizo yangu.
Huyu doctor ni mara yangu ya kwanza kukutana nae na pia team aliyotokea. Na assessment ilikuwa ya muda mfupi.
Tatizo langu na huyu doctor ni kuandika uongo kwenye report na amendika mambo ambayo sijamwambia. Na kutaka ku justify yanayoendelea ni makosa yangu
 
Wewe ni mwehu
Naijua NHS nje ndani usilete upupu wako humu kuaminisha waporipori ili kupata sympathy ya kichawi
Wewe ni kiazi…
Unasema unahijua NHS halafu umeandika hivi “hakuna dokta anakufata nyumbani kwako UK”. Na HOME TREATMENT TEAM ni nini?
You just tell you don't know shit about NHS without actually telling me!!
 
Visit a psychiatrist or a psychologist, kwa hii post yako surely kuna kitu hakiko sawa.
 
Namaanisha wewe ni mtanzania Sasa unalia Lia nini kwenye nchi za watu na kwenu kupo ?
Ndiyo maana nasema rudi haraka nyumbani sisi hatuwezi kuvumilia kuendelea kukuona unalalamika mauza uza alafu uko kwa watu si ni kututia aibu huko ?
Kwamba hata kama 'network' yake inayumba Tanzania ndiyo kuna doctors na medical facilities bora kuliko England? Kurudi TZ si suluhisho tena itakuwa ndiyo anazidi kujididimiza, bora apambanie afya yake(mental or physical or both) akiwa hukohuko.
 
Kwamba hata kama 'network' yake inayumba Tanzania ndiyo kuna doctors na medical facilities bora kuliko England? Kurudi TZ si suluhisho tena itakuwa ndiyo anazidi kujididimiza, bora apambanie afya yake(mental or physical or both) akiwa hukohuko.
Kuna ma Psychiatrist wa JF wanasoma post na wana ku diagnosed!! Lakini hawawezi kukuonyesha tatizo lipo wapi kwenye posti yako.
 
Mleta mada una viashiria vya "waraibu"....WANAO ENDELEA KUPATA NAFUU( tamka nafoo)... 🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…